Dini na kabila vina mchango gani katika mahusiano?

Dini na kabila vina mchango gani katika mahusiano?

habari ya ninyi wana JF

napenda tujadili kiasi gani mahusiano yanaathiriwa na tofauti ya dini au kabila au vyote kwa pamoja...

Nimeamua kutupia huu uzi kwa sababu huwa nackia sana kuhusu hii kauli 'mapenzi hayachagui dini wala kabila'
Na wakati mwingine unasikia wengine wanaapa kuwa hawezi kuoa / kuolewa na mtu wa dini/ kabila fulani.

Swali linalohitaji maoni yako mkuu
Ni kwamba ww binafsi unaonaje kuhusu nguvu ya tofauti ya dini/kabila baina yako na mwenzi wako katika mahusiano yenu..?
Nafasi ya dini ni kubwa kuliko kabila na pengine hata ndugu
 
love unconditionally, By the way Mungu ni mmoja mwembwe kibao njia ndefu,fupi n.k ila wote binadamu bwana mkiendana mkakubaliana mtavyoishi kiimani basi baraka zinakuja kwenu
 
Kiukweli naweza olewa na mtu Wa kabila tofauti na langu ila napo nabagua kidogo lakini mutu isiyo ya dini yangu, bas tena!!!! Cwez kumkana Mungu kwa sababu ya mutu.
Basi umelost Mkuu.
 
habari ya ninyi wana JF

napenda tujadili kiasi gani mahusiano yanaathiriwa na tofauti ya dini au kabila au vyote kwa pamoja...

Nimeamua kutupia huu uzi kwa sababu huwa nackia sana kuhusu hii kauli 'mapenzi hayachagui dini wala kabila'
Na wakati mwingine unasikia wengine wanaapa kuwa hawezi kuoa / kuolewa na mtu wa dini/ kabila fulani.

Swali linalohitaji maoni yako mkuu
Ni kwamba ww binafsi unaonaje kuhusu nguvu ya tofauti ya dini/kabila baina yako na mwenzi wako katika mahusiano yenu..?
Dini ina mchango mkubwa sana ktk mahusiano. Husaidia kuwaweka karibu zaidi na Mungu tofauti na utakapooa au kuolewa na mtu asiye Wa imani yako. Wengi wanaooana wakiwa na imani tofauti bas hawakua na msingi mzuri ktk imani wanayojisema waneshikilia.

Mf: Mwanaume anahitaji kunyenyekewa na kuheshimiwa siku zote, let say Mimi situmii vyakula vya aina fulan kama KM (kit mot) halafu ndo siku hiyo kaleta home, wakati huo siruhusiwi hata kugusa, na obviously sitapika, unadhani hapo kutakuwa na maelewano ndani au ni ugomvi tu??
Huo ni mfano mmoja tu, kuna mambo mengi sana tutatofautiana. Kwa mtu anayeelewa anachokiamini bas hawezi tafuta mtu Wa tofauti...
 
Kiukweli naweza olewa na mtu Wa kabila tofauti na langu ila napo nabagua kidogo lakini mutu isiyo ya dini yangu, bas tena!!!! Cwez kumkana Mungu kwa sababu ya mutu.
mungu ni wa wote dini zisiwe kikwazo
 
mungu ni wa wote dini zisiwe kikwazo
Ndo ujiulize kama n wa wote kwann dini ni nyingi na kila mfuasi anampinga mwingne. Kwann kila mtu aamini tofauti?
Narudia kusema tena, wale waliooana dini tofauti na wanaishi vzuri bas kati yao, mmoja hayupo deep kiimani au wote wawili.

Lakini kwa mtu anayejua anachokiamini bas hakuna urafiki kati ya nuru na giza.
 
Kabila sio Tatizo kwangu ila DINI ....Na mara nyingi hutokea mitihani ya aina hiyo kwenye maisha..
 
Kwangu DINI ni suala la kawaida sana,Nimezaliwa kwenye familia ambayo Mama yangu ni Mkatoliki,Baba yangu anasali AICT!!Kwetu dini sio issue,kwenye kabila Mimi sio muumini sana wa kabila,though Niko kwenye mgogoro na mama yangu hataki nimuoe mchumba wangu wa kichaga!!Lakini ntamuoa tu Mchaga wangu!!
 
Kiukweli naweza olewa na mtu Wa kabila tofauti na langu ila napo nabagua kidogo lakini mutu isiyo ya dini yangu, bas tena!!!! Cwez kumkana Mungu kwa sababu ya mutu.
NANI KAKWAMBIA MUNGU ANA DINI?
 
Mimi dini wala hainisumbui. Mimi ni mkristo but naamini MUngu hana dini full stop. So ntaona yoyote yule ilimradi kukubali KU shi nami.
Ndio.maana swali watakalokuuliza wazazi ukipeleka mchumba ni Kabila gani? Hilo.la dini wanakuuliza baadae u know why?? Dini unaweza badili coz MUngu ni huyo huyo mmoja but Kabila hauwezi badili na wakabila ni root ya mizimu full mizimu so unaweza isiendane na Mizimu ya kabila zenu....Ndio maana Nyerere alisema kilichobaki kwenye Makabila ni kutambikia Mizimu coz ndio baba yao. But dini zote baba yao ni MUngu aliyetuumba kasoro hizi za kishetani.
So kwangu dini haina shida hata kidogo labda kabisa coz baba yao ni MIZIMU.
 
Back
Top Bottom