Hebu screen shot hiyo sheria tuzishuhudie isee ili next time niamini kuwa MTU ambaye natofautiana naye DINI nimuone kama Haramu!!
Nimeshaachana naye inabidi nitafute wa dini yangu Isee
Kwani uongo? Wewe huwezi kupenda mtu wa dini nyingine?Daaah !
Nasubiri jibu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani uongo? Wewe huwezi kupenda mtu wa dini nyingine?
Ahaa kumbe, unaweza kumuoa mtu akabaki na dini yake au lazima ahamie?Sisi tumeruhisiwa mpaka kuwaoa. Ila nyinyi hamruhusiwi kuoa dada zetu.
Ahaa kumbe, unaweza kumuoa mtu akabaki na dini yake au lazima ahamie?
You don't have to. Nimridhika na jibu lakoNdio lakini kwa masharti. Katika Uislamu kuna watu wanaitwa "Ahlul Kitaab" (Yaani waliopewa kitabu ambao ni Wayahudi na Manaswara). Hapa kuna masharti,masharti ambayo ni magumu kweli kweli,masharti ambayo au sifa ambazo huwezi kuzikuta kwa wanawake hao.
Nakuja kukutajia masharti/sifa hizo .....
Huwa tuna ambiwa hivi "Ukitaka kuiharibu jamii basi ruhusu mahusiano (Mahusiano ya kimapenzi) ya watu wenye imani tofauti"Oaneni wenye dini sawa kuliko kuleta mkanganyiko kwenye familia. Dini ina nguvu sana(kama unaamini)
Unaweza kuniambia mwanadamu alijengaje dini ? Yaani historia ya dini kwa munasaba wa muanzilishi binadamu ilianza lini ?
Unaweza kulithibitisha hili ?
Kama ni kweli hili mbona rahisi tu,una muua mjengaji.
Sawa mkuu wa kitengoMbona utaratibu upo? Mnafunga ndoa ya serikali mnaanza kutotoa
Swali rahisi sana nimekuuliza na huwa najua kabisa hamna majibu ya swali hili,zaidi ya kusema tu na mkiombwa ithibati ndio inakuwa kama ulivyo andika.Dini kajenga
Hili jambo kwangu ni jipya na silijui na ndio maana nyote mnao sema hivi,pindi ninapo taka mnipe ushahidi huwa mnatokomea na ujinga wenu.And you know this well!
Hata nikupe miaka miaka na mikaka uthibitishe ya kuwa mimi mnafiki hutaweza kwani tamko "Mnafiki" lina vidhibiti vyake huko liliko toka.Kama unajifanya hujui wewe ni mnafiki kupita kiasi!
Ndio ututhibitishie sasa,mbona rahisi sana kama wewe ni msema mkweli.Religion is human own invention!
Wewe ndio mavi. Yaani watu wote duniani tunaoamini katika dini unapata wapi ubavu wa kutuambia tunaamini mavi, kama wewe siyo mavi? Au usikute najibishana na kichaa!!!Dini ni mavi
Wewe ndio mavi. Yaani watu wote duniani tunaoamini katika dini unapata wapi upavu wa kutuambia tunaamini mavi, kama wewe siyo mavi? Au usikute najibishana na kichaa!!!
Swali rahisi sana nimekuuliza na huwa najua kabisa hamna majibu ya swali hili,zaidi ya kusema tu na mkiombwa ithibati ndio inakuwa kama ulivyo andika.
Hili jambo kwangu ni jipya na silijui na ndio maana nyote mnao sema hivi,pindi ninapo taka mnipe ushahidi huwa mnatokomea na ujinga wenu.
Hata nikupe miaka miaka na mikaka uthibitishe ya kuwa mimi mnafiki hutaweza kwani tamko "Mnafiki" lina vidhibiti vyake huko liliko toka.
Huujui unafiki ni nini wala mnafiki ni nani,unasema tu kama unavyosema "Dini imejengwa na binadamu" bila kuthibitisho,haya ni matumizi mabaya ya akili na unaihujumu elimu na watu wake.
Ndio ututhibitishie sasa,mbona rahisi sana kama wewe ni msema mkweli.
Nasubiri uthibitisho wa kuwa Mjenzi wa dini ni binadamu mwenyewe.
Nipo ......