Dini haziruhusu kuwa tajiri

Kwann tusiwe matajiri hali still utajiri tele umebakia hata robo hawakuumaliza.
Nchi ya kwanza Dunia kwa utajiri mali ni congo,tza ya kumi hapa shida ni sisi.
Dini imeleta ustaarabu na chanzo cha maendeleo ya ulaya na uarabuni
• Hatuwezi kuwa Matajiri kwa sababu Africa akili hamna

• congo, utajiri upo ardhini lakini siunaona wanavyo pelekeana moto, ( rangi nyeusi kwa nyeusi, wamekuwa vibaraka wa mzungu, ni tosha kabisa kusema Africa akili hamna)

• Aman gani dini imeleta! kwani kabla ya Dini, amani haikuwepo???
• Hao wazungu na waarabu walijuaje kuwa Africa hakuna Amani.??
 
Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
Nusu ya watanzania awafuati dini lakini wengi wao mafukara hata na wewe ukiwemo
 
Zingatia kale kamstari ka kutatanisha kuwa"tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano".
 
• Hatuwezi kuwa Matajiri kwa sababu Africa akili hamna

• congo, utajiri upo ardhini lakini siunaona wanavyo pelekeana moto, ( rangi nyeusi kwa nyeusi, wamekuwa vibaraka wa mzungu, ni tosha kabisa kusema Africa akili hamna)

• Aman gani dini imeleta! kwani kabla ya Dini, amani haikuwepo???
• Hao wazungu na waarabu walijuaje kuwa Africa hakuna Amani.??
Waafrika tumefanyiziana ushenzk sana watu waliuwana mbaya Koo kwa Koo kabila kwa kabila,kabla ustaarabu ( dini na elimu).
 
Waafrika tumefanyiziana ushenzk sana watu waliuwana mbaya Koo kwa Koo kabila kwa kabila,kabla ustaarabu ( dini na elimu).
• Kwa sababu kipindi hicho tulikuwa manyani, ubongo ulikuwa mzito Zaidi.

. Hata walio leta dini nao, walipigana kweli kweli WW|, WW||, Tunasubilia ya AFRICA WAR |(Ukosefu wa akili mwilini na kichwani) ,
 
Back
Top Bottom