Viongozi wa dini wote wakubwa ni matajiriHii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
Kwa kadiri unavyotoa ndivyo unavyopataHii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
Unafikiri mkiwa masikini watupu utajiri utautolea wapi?Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
"Kula uliwe" - Kikwete.N
Watoto watazingatia utowe ili uingize 😀
There is where you religious people keep failling and failling and Failling.Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
Dini hazifungamani na utajiri, kwani mfalme Suleimani alikuwa mwenye ufalme na mali nyingi lakini alikuwa mtu wa Mungu sana. Tatizo sisi tunatumia dini kama njia ya kujinufaisha kiuchumi badala ya kutumia dini katika kujenga mahusiano mazuri kati ya Muumba na wanadamu.Hii ni kwa sababu Ili uwe tajiri ni lazima utawaliwe na ubinafsi kwanza. Kama ukifuata dini kwamba usaidie wahitaji ipasavyo hautaweza kukusanya Mali au fedha kwa kuwa wahitaji ni wengi mno
Unamaanisha amewafikia wahitaji wote?Hapana umenukuu vibaya, kutoa mali kusaidika wahitaji hakupunguzi mali au kukufanya uwe masikini bali kinyume chake ni sahihi, kama huamini angalia mfano kwa mtu mmoja mmoja mfano:Tajiri mkubwa kama Bill Gate fuatilia msaada anayotoa halafu linganisha na falsafa yako utapata jibu, lakini pia angalia mataifa yanayosaidia mataifa yenye uhitaji uone wanavyobarikiwa na kuzidishiwa utajiri
Mbona ulaya na uarabuni wao ni matajiri au Biblia na Quran zao ni tofauti na zetu.Dini imeletwa Africa kwa ajili ya kuendelea kudumisha umaskini... Hakuna kingine zaidi ya hapo.