I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,730
- 10,033
- Thread starter
- #41
Karibu tujifunzentarudi
Karibu tujifunzentarudi
Naam.Ni jamii ya reptilia! Meaning walikuwa wanataga!
Hakuna info za kujitosheleza sana juu ya kitu hicho ila kuna baadhi ya viumbe vya vilikuwepo zamani hizo na mpaka leo bado vipo mfano mdudu mdogo kabisa MENDE. ni ajabu sana😁Hivi kama zamani walikuwa hao, hawa wapya wametoka wapi?
Uki sawa kabisaMambo ya jurassic Park haya
Ova
Kuna kitu kinaitwa genetic evolution.Hivi kama zamani walikuwa hao, hawa wapya wametoka wapi?
Najiuliza kwanini wali perish wakati inaonekana ni strong creatures? Halafu wakabaki viumbe kama fisi sungura na nguruwe
AhahahahahahNajiuliza kwanini wali perish wakati inaonekana ni strong creatures? Halafu wakabaki viumbe kama fisi sungura na nguruwe 🤡
Good Dinasour
Violent dinasour
Mad dinasour
Stupid dinasour
Calm dinasour
Unpredicted dinasour
Rare dinasour
Tafiti na ushahidi mbalimbali havioneshi dunia kuwa na mamilioni ya miaka kiasi hiko.Inakadiriwa kuwa mambo haya yalitukia miaka milioni 66 iliyopita!