Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,648
pole xana mdada,
jamaa yako ana Hofu kubwa kuliko wewe,inatokana na kuona una -expectation kubwa kwake kuliko uwakika wa yeye kucheza hiyo mechi vizuri, na ndipo hofu yake inapokuwa juu. chanzo chake ni kuwa amejikuta anapoteza confidence kwa kucheza mechi mbili mfululizo akiwa chini ya kiwango,
jaribu kuwa mwelewa zaidi kwake, anaonesha ana hofu kuharibikiwa tena akienda mechi ya 3, na ndio maana hajui afanyaje? Gosh!!!!!!!!!!1 ukipuuza anaweza kuharibu zaidi mechi kuliko hizo zingine.
ushauri: kutangatanga ni hatari pia, kwakuwa mmepima, fahamu hofu inaweza kummaliza uwezo wake mpirani, hivyo basi mtengenezee mazingira ya faragha ambapo mwishowe ajikute yupo kwenye gemu bila ya yeye kutegemea.
hata kama anadai amechoka, unaweza kutumia mbinu ya kumtaka uwe unamgusa njumu zake, ukimruhusu apumzike sabu kama anavyodai.nahop baada ya muda atatamani kuingia kucheza mpira. i think its may work!!!
Nakubaliana na wewe mkuu,
Ni kazi ya mwanamke kumpa confo mume au BF wake...Mwanamke akicheza ina emotions za uanamume wa mtu wake anakuwa kama kampiga nusu kaputi...
Bibi zetu waliyajua vizuri haya!!
hebu ielezee vizuri hii theory! iam impressed!
pili pili za aina gani?
Hata mimi ndo kwanza nasikia...
Kama ingekuwa kweli basi wahindi wangekuwa hawashikiki...
Apige pilipili kwa wingi, na ndizi mbivu...mshipa utakaa sawa na kazi utaiona!
Hebu tueleze vizuri basi mkuu....plus scientific evidence!!
Hapo kuna matatu aidha
- Jamaa hana uwezo mkubwa wa kungongoka ka wewe kwasababu watu wana sexual desires tofauti
- Au ni mgonjwa si mzima
- Au kuna mtu anamridhisha na kumchosha akifika kwako ndo kama hivo!!!
Inawezekana kabisa....ila bado nina wasi wasi sana na misosi ya vijana wetu!!
au pia, mind set ziko kwingine kabisa!!
ushaona ile mtu wakati wa sex yeye anawaza test kesho! wallahi m.boo haisimami!
maandalizi nayo dada mabovu!! msirukiane kama kuku! japo nao wanajiandaa kwa kupeana mikiki mikiki ya riadha!
That's also another line of thinking...and may be many more!!
Mi nakushauri uache uzinzi na pia acha tabia ya kutangaza kwamba unafanya uzinzi.
Kwa dunia ya sasa unadhani hayo mafundisho yako yana wateja??
Hahaaa, sawa sawa mkuu. Ndio uanaume wenyewe huo%.
Kwa sisi wa mjini, kula kula vitu vya kichipsi, chipsi, sijui piza, burger na vya kiwanga sana inachangia sana underperformance. Unakuta hata proteins ambazo mwili unazihitaji hazipatikaniki kabisa, zaidi watu wanakua na vitambi vya kiajabu ajabu tu na kuvifurahia. Poor them wafurahia vitambi....
Pili kwa kuwa kazi zetu ni kupanda gari, kaa ofsini kupanda gari, oga lala, Mazoezi ni ya lazima kwa yeyote anayejitambua.
Na chakuzingatia pia, anakula nini wakati anajiandaa na mechi, ni vizuri mtu akazingatia hilo pia.
''we are what we eat''
Nakubaliana na wewe mkuu zaidi ya 100 kwa 100...
Vijana wanakula marojo rojo utadhani wana ugonjwa wa koromeo??
Hii kitu inahitaji kupigwa vita kabisa!!
Wapo wenzio wanawakamua hadi wanameza dawa unafikiria kwako itafanya kitu kweli.
Nimeona dada mkubwa...no comment kwa sababu najua hayo ni matokeo ya mauzoefu toka 1947!!
duh im speechless...ila makosa mnayo nyie wanawake!
1)..unajijua kabisa we ni mkimbia mbio ndefu halafu unatafuta mwanaume anaekimbia mita mia moja kwa kigezo cha fedha,kujiamini,sense of humor,kazi,smart na ndo maana yanayotokea ni haya...atakudoo kifedha namaanisha wewe ndo umridhishe...kwenye papuchi yako ataleta sense of humor and u gentle.
2)operatinjg system ya mwanaume inategemea sana the way mwanamke anavyokua kimaandalizi ya penzi...chochote ambacho kitaleta negative effect on him ni wazi kua hata commitment yake na papuch yako itakua ndogo.
3)unatoka na boyfriend wako na unajua siku hiyo unawadudu wanakunyevua halafu unamuona mwenzio anakula chips unanyamaza angalia ni nini he should eat and drink ili baadae asikuangushe!
4) nyie mnakula vitu vingi na mawazo hamna na hata mazoezi ya kutembea tu shida kwahiyo mnakusanya minye...ge tu halafu unashindwa kutafuta strong man for the job unaleta u-sister du wakutaka braza-du akuondoe zote...ataweza?
Hahahahahahahahah....
Comments zako zinatisha mkuu!!
Inashangaza kuona kuwa kila mtu anamlaumu jamaa ! Mbona round mbili ni standard jamani ? Yale mambo ya zamani sijui round tano sita yalishapitwa na wakati, Tena round moja tu iliyopangwa ikapangika inatosha. Ila wakati mwingine mwanamme unashindwa kwenda hatua zaidi kwa sababu chakula chenyewe kinaisha hamu mapema. Kuna wanawake ambao hawaishi hamu, ukimaliza round unaunganisha hata kama kawaida yako ni round moja au hamjayaona hayo jamani? Pengine mdada baada ya goli moja uwanja unajaa maji kibao inafanya mtu akate tamaa ya kuendelea na mechi na wanawake wengine baada ya goli hali ya hewa ni kama vile unapita dampo ! Msiwe rahisi kuangalia upande mmoja.
You have a point...the boy might be purely innocent ila dada naye ana katatizo!
Babu DC!!