Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
Aiseee...nice day mkuu:shocked:
Acha kukimbia bana
Au unapenda wenzio kupata shida kimawazo?
Aiseee...nice day mkuu:shocked:
Khaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!
Tafadhali Mods hebu nisaidieni kumpiga ban ya muda Heaven on Earth ili asiione hii
Halafu wewe nimekuonya kwa herufi kubwa,ole wako ukazifikisha hizi taarifa
Na mwenzako Ennie nimeshamuonya
Atakae mwambia tu sijui atampa nini baba paroko ili asimshikishe adabu!!!
Mi nakushauri uache uzinzi na pia acha tabia ya kutangaza kwamba unafanya uzinzi.
dah! hivi baba paroko ni wewe kweli? au?
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
Heaven on Earth akija utaielewa tu bila shakaHii sentensi yako ni tata na sijaielewa!
Hapo kuna matatu aidha
- Jamaa hana uwezo mkubwa wa kungongoka ka wewe kwasababu watu wana sexual desires tofauti
- Au ni mgonjwa si mzima
- Au kuna mtu anamridhisha na kumchosha akifika kwako ndo kama hivo!!!
Hizo ni assumptions zangu tu kwasababu hakuna kisichowezekana!!Ndio maana nikataja vitu tofauti!!Wengine si wa mwendo mrefu na nje wanatafuta coz wanatamani vingine kuliko walivyonavyo...Ni tamaa!!!Bi dada hiyo namba tatu inanipa shida kidogo, mwanaume akiwa mzima atakufia kifuani hivihivi ukimuona kuliko asusie game!
Kama mwendo wake si mrefu huko nje alifuata nini asitulie na mmoja sasa?
duh! haya baba paroko. bwana asifiwe!Kwani nimemtusi mtu?
Au kuna kipengele chochote kile cha kwenye parokia yetu ambacho kimevunjwa?
Mashaka meeengi ya nini sista?
Heaven on Earth akija utaielewa tu bila shaka
duh! haya baba paroko. bwana asifiwe!
duh,binti unalilia kuto..bw!dah,kazi sana
Naanza kuhisi una kitu unataka wewe....!!!!!!!!!!
ni kweli, nataka tufunge na kusali sana tumshinde shetwaini.
aione sista mwenzangu Heaven on Earth.