Dilemma!!!

Dilemma!!!

Akina kaka tumezidi kula chipsi yai usiende kwenye mishe mchana kuta kila siku unaagiza chipsi mchana matokeo yake ndo haya,usijali sister unaweza kumbadilisha ila huyo boy wako nae sio mdadisi mtafutuie mikanda ya kamasutra au how to make love!!! Atajua akuandaaje.
 
Trust me i know myself way better than this. Kama suala ni usafi basi ningeshapata hii complain from my previous relationship. I was in a steady relationship for 5yrs and my spouse would gimme head and stuff so tatizo sio usafi. I have a strong feeling that the guy is feeling a lil incompetent compared to me coz the first time we made love he was wowed by my expertise,sasa naona kama anajiona yy sio mwanaume kamili compared to what i could do to him.
now bob's your uncle...so you know where the problem lies huh...
 
Yaani mwanaume unafanya mapenzi na mwanamke nashindwa kujua kama ameridhika au la kweli watu tunakurupuka sana,njia rahisi niliyoisikia hivi karibuni na hii ni message kwa wanaume wote ni kwamba du ukimshughuliia vizuri wakati wa match lazima alale halftime
 
Special copy kwa mjasiria ujumbe unafiki mbaya
Hahahahaaa!!!! Unajua hata bible imeeandika "bora mchawi kuliko mnafiki!". Asiyeshiriki hili tendo na awe wa kwanza kurusha jiwe, khaaaa!!! Watoto wa miaka 12 wanafanya sex sembuse mm mdada wa miaka 28, najitambua na nazijua haja zangu! Ww Mjasiria kama huna ushauri pita kushoto, this is a forum where anyone is entitled to their own thoughts!
 
Last edited by a moderator:
Hello wana JF. I have never posted anything on this forum ila leo mwenzenu yamenikuta! I got into a relationship with this guy about a couple of months ago. He is loving, caring, understanding....you name it. Tumejuana miaka mingi iliyopita kumbe yy alikua ananipenda toka siku nyingi akawa anaogopa kuniambia. So as fate would have it about 3 months ago we exchanged numbers and we started chatting and one thing led to another and i finally fell for him. We love each other,that is as much as i know. Tumeshapima na afya zetu and we are both ok,tatizo jamaa si mwelewi elewi when it comes down to business. Tangu tujuane tumefanya mapenzi only twice and i pretty much did most of the work. I had abstained from sex for over 2yrs and so as you would imagine i was so looking forward to making love with the man i loved ila jamaa haeleweki. The first time we did it we only went twice akasema amechoka so he promised that we would make love again in the morning, asubuhi jogoo alishindwa kuwika akasingizia kwamba last nyt i did him too much,mmhhh! The second time we made love we only did it once. Sasa kila wakati nina hamu ya kufanya mapenzi yy anasingizia kuchoka,kuumwa,mara kazi,yaani the excuses are endless. And its not like he doesn't feel me or anything,the romance btw us is intense, we can kiss and fondle and do stuff that gets us all horny ila nikitaka twende all the way he comes up with some sort of excuses. Nimechoka kumbembelezea penzi and i am beginning to get frustrated with all these. I am a 'one man woman' so i can't go get it from someone else however the temptations ila jamani mwenzenu nachoka kusubiri. And this is a guy we are talking "forever after" and stuff ila i am beginning to have seconds thought coz kama kwenye courtship yenyewe mambo ndo haya huko kwenye ndoa si ndo itakua ukamee balaa! Someone please tell me what could be the problem,is it me or him or us???? He's not even 30yrs old yet!

Weka Picha yako hapa tukupe ushauri zaidi. Unaweza kuwa haulipi ndio maana jamaa akawa hajakuambia muda wote huo kuwa anakupenda wala kukuomba namba ya simu. ulivyojipendekeza tu akaona aweke historia. Labda wewe ni fourth choice kwake huna uzito kivile kwake .
 
hili ni janga la kitaifa sasa, kuna vitu vingi sana vinasababisha nguvu za kiume kupungua. style ya maisha, vyakula tunavokula, hatufanyi mazoezi, na maradhi mbali mbali. huenda your man akawa muhanga wa tatizo hili. (dah.., mie dem kwa mara ya kwanza nikeshe nae lazima nipige bao 7++)

pia angalia kwa upande wa pili..., inawezekana na wew ukawa chanzo.., labda una kasoro flan ambayo inamkera jamaa yako alaf anashindwa kukwambia..,( labda k kubwa anaogelea, kiharufu kisicho cha kawwaida, au si mhamasishaji mzuri nk..nk..).

kutatua tatizo hili kaa nae mzungumze, kuwa muwazi kuwa huridhiki na huduma yake.., akwambie kama anaona wew una tatizo, au yeye ana nin kinamsumbua. kama kweli unampenda, usimkimbie tafadhali, maliza tatizo muishi kwa amani.
 
Tutake radhi aiseee
Sio wote wenye matatizo haya ya kijinga

Halafu rekebisha lugha
Sio wanaume ni wavulana

Pia hilo sio tatizo la uume bana ni uvivu na ujinga ukichanganya na u digitali
CC: Kaizer kwa taarifa!


Mkuu Eiyer taarifa hii imepokelewa.......
 
Last edited by a moderator:
Yaani mwanaume unafanya mapenzi na mwanamke nashindwa kujua kama ameridhika au la kweli watu tunakurupuka sana,njia rahisi niliyoisikia hivi karibuni na hii ni message kwa wanaume wote ni kwamba du ukimshughuliia vizuri wakati wa match lazima alale halftime
wengine wanakuwa na mausingiz yao, kafanya kazi kutwa nzima amejichokea, unapretend kafika ili umalize apige zake usingiz... kalaghabaho
 
babu naona unajipigia pande...


Wewe kalou,

Nani kakwambia babu anahitajia hizo marketing strategies zenu na promos??

He is safe and comfortable with his pension....

Kama huamini shauri yako...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Inachekesha na kusikitisha sana.....

Yaani boy ndiye anakimbia na kutia mpira kwapani??

Bado sijawahi ona kitu kama hii....

Tunawasaidiaje sasa?? .....We need to help them before we getting asked to do their job!!

Babu DC!!
kweli mimi nashangaa sana, jipangeni aisee, mambo yanaharibika.....
enzi zetu yaani hutamani hata kulala kwake maana unajua unaweza zimia kabla ya asubuhi. yale masaa mawili ya kutoroka home tu ukirudi home unawahi glasi ya maji na panadol, unanywea mbele ya mama, kudanganya kuwa unaumwa ili usipewe kazi ya kuunga mboga, hali tete, unahitaji kulala tu. sasa usiku mzima si unaweza fia njiani!
 
Back
Top Bottom