Inashangaza kuona kuwa kila mtu anamlaumu jamaa ! Mbona round mbili ni standard jamani ? Yale mambo ya zamani sijui round tano sita yalishapitwa na wakati, Tena round moja tu iliyopangwa ikapangika inatosha. Ila wakati mwingine mwanamme unashindwa kwenye hatua zaidi kwa sababu chakula chenyewe kinaisha hamu mapema. Kuna wanawake ambao hawaishi hamu, ukimaliza round unaunganisha hata kama kawaida yako ni round moja au hamjayaona hayo jamani? Pengine mdada baada ya goli moja uwanja unajaa maji kibao inafanya mtu akate tamaa ya kuoendelea na mechi na wanawake wengine baada ya goli hali ya hewa ni kama vile unapita dampo ! Msiwe rahisi kuangalia upande mmoja.
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
Inasikitisha sana kaka,
Wakati wenzie tulikuwa na kibarua cha kuzuia mtu asipilize huyo kijana anakimbia match??
Mie ninachojua ni kwamba enzi zetu ilikuwa mechi za mchangani au baada ya ukame wa muda mrefu zinakuwa na hatari ya kuanza kupepea mtu au kummwagia maji baada ya kukaribia kupoteza fahamu....
Eti sasa vivulana vyetu ndiyo vinapepewa??
Tusipokuwa makini tutalazimika kurudi kibaruani wenyewe kutoa demo kama yanayomkutana Sir Alex Ferguson...lol!!
Babu DC!!
Daah umenikumbusha siku moja nimelala na demu wangu acha nijitume usiku kucha, matokeo yake alishindwa kula wiki mbili, akawa anazani ana mimba duuh! kumbe dozi nilizidisha......sema kwa sasa magoli mengi hayana maana kivile, ishu ni ubora wa goli, linaweza likawa moja na ukatosheka kabisaaaaa....mimi nina uhakika moja linatosha, mbili mwisho kwa mtu anayetengeneza magoli yaliyothibitishwa na TBS
Uko sawa Babu
Wengine watu ikifika muda wa kurudi nyumbani anaanza kuwaza sijui leo itakuwa vitano au saba maana anakuwa anajua mzee akipanda hadi anahisi inawaka moto
Hivi vivulana eti vinajidai ni vi mtu vya digitali wakati vinatia aibu sana,itabidi babu mrudi ili kutoa somo la uhakika maana hii sasa ni hatari
Nina hasira sana na hako kavulana,najua huyo dada ameshajenga hisia za kuidharau hii jinsia adhimu kabisa ambayo Mungu alipoiumba aliipa heshima kubwa sana
Natamani nimuoneshe huyo dada namna MWANAUME anavyotakiwa kushughulika..lol!
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
Uko sawa Babu
Wengine watu ikifika muda wa kurudi nyumbani anaanza kuwaza sijui leo itakuwa vitano au saba maana anakuwa anajua mzee akipanda hadi anahisi inawaka moto
Hivi vivulana eti vinajidai ni vi mtu vya digitali wakati vinatia aibu sana,itabidi babu mrudi ili kutoa somo la uhakika maana hii sasa ni hatari
Nina hasira sana na hako kavulana,najua huyo dada ameshajenga hisia za kuidharau hii jinsia adhimu kabisa ambayo Mungu alipoiumba aliipa heshima kubwa sana
vNatamani nimuoneshe huyo dada namna MWANAUME anayotakiwa kushughulika..lol!
pole dada kumbe wanaume wengi wanamatatizo ya uume .............. nini tatizo?
Hapo kuna matatu aidha
- Jamaa hana uwezo mkubwa wa kungongoka ka wewe kwasababu watu wana sexual desires tofauti
- Au ni mgonjwa si mzima
- Au kuna mtu anamridhisha na kumchosha akifika kwako ndo kama hivo!!!
Babu DC nimemsoma ila wasiwasi wangu mtaenda kwa wangapi? Maana hili limeshakuwa janga la kitaifa ujue,nanyi ndio umri unakaribia semester ya mwisho wasije wakawa over work mka under perform heshima yenu nanyi ikashuka.Wewe hujui hata parokiani wale waumini wanaofanya mzaha na huduma hii adhimu tunalazimika kuingia kazini wenyewe ili kuwaonesha waume wa hao waumini wetu namna ya kushughulika?
Hebu msome Babu Dc hapo uone namna hali inavyotulazimisha wakati mwingine kuingia mzigoni wenyewe ili hivi vivulana vione umuhimu wa hiyo makitu
Halafu umbea wako huu!!!!
Ole wako ukamuambie Heaven on Earth
Nitakufukuza parokiani...lol!!!!!!!!
Babu DC nimemsoma ila wasiwasi wangu mtaenda kwa wangapi? Maana hili limeshakuwa janga la kitaifa ujue,nanyi ndio umri unakaribia semester ya mwisho wasije wakawa over work mka under perform heshima yenu nanyi ikashuka.
Kuhusu parokiani nitaongea na Heaven on Earth tuanzishe kitengo cha marriage counsellors wamama watupu ili kuokoa parokia