Dilemma!!!

Dilemma!!!

Some things are easier said than done. I wish it was as simple as you put it,unfortunately my heart has fallen for him and regardless of his shortcomings i don't love him less. Nimeomba ushauri coz i want to make this relationship work.

relationship is a two way game...its you both win or loose...kupanga ni kuchagua
 
Hahaa kuna comments zingine zimenifurahsha

Jamaa alitakiwa asimamie show mwanzo mwisho

cc amu
 
Last edited by a moderator:
Mara nyingi nimezoeza excuse from mdada, sasa mwanaume anatoa excuse?.. haya bhana am speech less.

Babu yangu aliwahi kuniambia ''Meku mwanamke akudharau wewe ni masikini lakini sio kwenye uanaume wako''.

RIP Babu, sitasahau.
Mkuu nakubaliana na wewe. Nyumbani kuna usemi unasema Mungu akunyime vyote, lakini akupe uwezo wa kiuno. Kiasili tunasema OBHUNIBHI BHWO MULUME NKUKIBHUNU. Yaani mwanaume Hata ukiwa maskini vipi, ukijua kuwachezesha wanawake, hutajutia kuwa huna kitu ila utapata wenye vitu wasiopata mavituz kama huyu dada yetu.
Vijana wapunguze machips, ma burgher, sausage etc wanatuaibisha bhana. Game 2 usiku mzima unafanya nini sasa. Si hiyo inamaana uki sign in midnight haustuki usingizini unasubiri kusign out au vyote vinafanywa at once? Pole dada, tafuta kijana wa kazi. Raha ya hiyo kitu ikunwe na ikunike. Siyo ikunwe na iachwe ipanuke na inuke...ahahahahaaaaaaaa
 
Hello wana JF. I have never posted anything on this forum ila leo mwenzenu yamenikuta! I got into a relationship with this guy about a couple of months ago. He is loving, caring, understanding....you name it. Tumejuana miaka mingi iliyopita kumbe yy alikua ananipenda toka siku nyingi akawa anaogopa kuniambia. So as fate would have it about 3 months ago we exchanged numbers and we started chatting and one thing led to another and i finally fell for him. We love each other,that is as much as i know. Tumeshapima na afya zetu and we are both ok,tatizo jamaa si mwelewi elewi when it comes down to business. Tangu tujuane tumefanya mapenzi only twice and i pretty much did most of the work. I had abstained from sex for over 2yrs and so as you would imagine i was so looking forward to making love with the man i loved ila jamaa haeleweki. The first time we did it we only went twice akasema amechoka so he promised that we would make love again in the morning, asubuhi jogoo alishindwa kuwika akasingizia kwamba last nyt i did him too much,mmhhh! The second time we made love we only did it once. Sasa kila wakati nina hamu ya kufanya mapenzi yy anasingizia kuchoka,kuumwa,mara kazi,yaani the excuses are endless. And its not like he doesn't feel me or anything,the romance btw us is intense, we can kiss and fondle and do stuff that gets us all horny ila nikitaka twende all the way he comes up with some sort of excuses. Nimechoka kumbembelezea penzi and i am beginning to get frustrated with all these. I am a 'one man woman' so i can't go get it from someone else however the temptations ila jamani mwenzenu nachoka kusubiri. And this is a guy we are talking "forever after" and stuff ila i am beginning to have seconds thought coz kama kwenye courtship yenyewe mambo ndo haya huko kwenye ndoa si ndo itakua ukamee balaa! Someone please tell me what could be the problem,is it me or him or us???? He's not even 30yrs old yet!

pole xana mdada,
jamaa yako ana Hofu kubwa kuliko wewe,inatokana na kuona una -expectation kubwa kwake kuliko uwakika wa yeye kucheza hiyo mechi vizuri, na ndipo hofu yake inapokuwa juu. chanzo chake ni kuwa amejikuta anapoteza confidence kwa kucheza mechi mbili mfululizo akiwa chini ya kiwango,

jaribu kuwa mwelewa zaidi kwake, anaonesha ana hofu kuharibikiwa tena akienda mechi ya 3, na ndio maana hajui afanyaje? Gosh!!!!!!!!!!1 ukipuuza anaweza kuharibu zaidi mechi kuliko hizo zingine.

ushauri: kutangatanga ni hatari pia, kwakuwa mmepima, fahamu hofu inaweza kummaliza uwezo wake mpirani, hivyo basi mtengenezee mazingira ya faragha ambapo mwishowe ajikute yupo kwenye gemu bila ya yeye kutegemea.
hata kama anadai amechoka, unaweza kutumia mbinu ya kumtaka uwe unamgusa njumu zake, ukimruhusu apumzike sabu kama anavyodai.nahop baada ya muda atatamani kuingia kucheza mpira. i think its may work!!!
 
Hapo kuna matatu aidha
  • Jamaa hana uwezo mkubwa wa kungongoka ka wewe kwasababu watu wana sexual desires tofauti
  • Au ni mgonjwa si mzima
  • Au kuna mtu anamridhisha na kumchosha akifika kwako ndo kama hivo!!!
 
au pia, mind set ziko kwingine kabisa!!

ushaona ile mtu wakati wa sex yeye anawaza test kesho! wallahi m.boo haisimami!

maandalizi nayo dada mabovu!! msirukiane kama kuku! japo nao wanajiandaa kwa kupeana mikiki mikiki ya riadha!
 
Ni kweli kuna uwezekano pia hayupo tayari kifikra!!
 
Mi nakushauri uache uzinzi na pia acha tabia ya kutangaza kwamba unafanya uzinzi.
 
The first time we did it we only went twice akasema amechoka so he promised that we would make love again in the morning, asubuhi jogoo alishindwa kuwika akasingizia kwamba last nyt i did him too much,mmhhh! The second time we made love we only did it once. Sasa kila wakati nina hamu ya kufanya mapenzi yy anasingizia kuchoka,kuumwa,mara kazi,yaani the excuses are endless.

Da isha mi nataka kuuliza kwanza;
... the first time you did it you only went twice,..sasa hiyo twice mliyoenda, kwanza alitumia mda gani kupiga cha kwanza, then alipunzika mda gani mkaanza cha pili?
...katika hivyo viwili mlivyopiga, je wewe uli cum? Na kama uli cum, ni mara ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa, sawa sawa mkuu. Ndio uanaume wenyewe huo%.

Kwa sisi wa mjini, kula kula vitu vya kichipsi, chipsi, sijui piza, burger na vya kiwanga sana inachangia sana underperformance. Unakuta hata proteins ambazo mwili unazihitaji hazipatikaniki kabisa, zaidi watu wanakua na vitambi vya kiajabu ajabu tu na kuvifurahia. Poor them wafurahia vitambi....

Pili kwa kuwa kazi zetu ni kupanda gari, kaa ofsini kupanda gari, oga lala, Mazoezi ni ya lazima kwa yeyote anayejitambua.

Na chakuzingatia pia, anakula nini wakati anajiandaa na mechi, ni vizuri mtu akazingatia hilo pia.

''we are what we eat''

Mkuu nakubaliana na wewe. Nyumbani kuna usemi unasema Mungu akunyime vyote, lakini akupe uwezo wa kiuno. Kiasili tunasema OBHUNIBHI BHWO MULUME NKUKIBHUNU. Yaani mwanaume Hata ukiwa maskini vipi, ukijua kuwachezesha wanawake, hutajutia kuwa huna kitu ila utapata wenye vitu wasiopata mavituz kama huyu dada yetu.
Vijana wapunguze machips, ma burgher, sausage etc wanatuaibisha bhana. Game 2 usiku mzima unafanya nini sasa. Si hiyo inamaana uki sign in midnight haustuki usingizini unasubiri kusign out au vyote vinafanywa at once? Pole dada, tafuta kijana wa kazi. Raha ya hiyo kitu ikunwe na ikunike. Siyo ikunwe na iachwe ipanuke na inuke...ahahahahaaaaaaaa
 
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

Daah umenikumbusha siku moja nimelala na demu wangu acha nijitume usiku kucha, matokeo yake alishindwa kula wiki mbili, akawa anazani ana mimba duuh! kumbe dozi nilizidisha......sema kwa sasa magoli mengi hayana maana kivile, ishu ni ubora wa goli, linaweza likawa moja na ukatosheka kabisaaaaa....mimi nina uhakika moja linatosha, mbili mwisho kwa mtu anayetengeneza magoli yaliyothibitishwa na TBS
 
Wapo wenzio wanawakamua hadi wanameza dawa unafikiria kwako itafanya kitu kweli.
 
Hello wana JF. I have never posted anything on this forum ila leo mwenzenu yamenikuta! I got into a relationship with this guy about a couple of months ago. He is loving, caring, understanding....you name it. Tumejuana miaka mingi iliyopita kumbe yy alikua ananipenda toka siku nyingi akawa anaogopa kuniambia. So as fate would have it about 3 months ago we exchanged numbers and we started chatting and one thing led to another and i finally fell for him. We love each other,that is as much as i know. Tumeshapima na afya zetu and we are both ok,tatizo jamaa si mwelewi elewi when it comes down to business. Tangu tujuane tumefanya mapenzi only twice and i pretty much did most of the work. I had abstained from sex for over 2yrs and so as you would imagine i was so looking forward to making love with the man i loved ila jamaa haeleweki. The first time we did it we only went twice akasema amechoka so he promised that we would make love again in the morning, asubuhi jogoo alishindwa kuwika akasingizia kwamba last nyt i did him too much,mmhhh! The second time we made love we only did it once. Sasa kila wakati nina hamu ya kufanya mapenzi yy anasingizia kuchoka,kuumwa,mara kazi,yaani the excuses are endless. And its not like he doesn't feel me or anything,the romance btw us is intense, we can kiss and fondle and do stuff that gets us all horny ila nikitaka twende all the way he comes up with some sort of excuses. Nimechoka kumbembelezea penzi and i am beginning to get frustrated with all these. I am a 'one man woman' so i can't go get it from someone else however the temptations ila jamani mwenzenu nachoka kusubiri. And this is a guy we are talking "forever after" and stuff ila i am beginning to have seconds thought coz kama kwenye courtship yenyewe mambo ndo haya huko kwenye ndoa si ndo itakua ukamee balaa! Someone please tell me what could be the problem,is it me or him or us???? He's not even 30yrs old yet!
duh im speechless...ila makosa mnayo nyie wanawake!
1)..unajijua kabisa we ni mkimbia mbio ndefu halafu unatafuta mwanaume anaekimbia mita mia moja kwa kigezo cha fedha,kujiamini,sense of humor,kazi,smart na ndo maana yanayotokea ni haya...atakudoo kifedha namaanisha wewe ndo umridhishe...kwenye papuchi yako ataleta sense of humor and u gentle.
2)operatinjg system ya mwanaume inategemea sana the way mwanamke anavyokua kimaandalizi ya penzi...chochote ambacho kitaleta negative effect on him ni wazi kua hata commitment yake na papuch yako itakua ndogo.
3)unatoka na boyfriend wako na unajua siku hiyo unawadudu wanakunyevua halafu unamuona mwenzio anakula chips unanyamaza angalia ni nini he should eat and drink ili baadae asikuangushe!
4) nyie mnakula vitu vingi na mawazo hamna na hata mazoezi ya kutembea tu shida kwahiyo mnakusanya minye...ge tu halafu unashindwa kutafuta strong man for the job unaleta u-sister du wakutaka braza-du akuondoe zote...ataweza?
 
Inashangaza kuona kuwa kila mtu anamlaumu jamaa ! Mbona round mbili ni standard jamani ? Yale mambo ya zamani sijui round tano sita yalishapitwa na wakati, Tena round moja tu iliyopangwa ikapangika inatosha. Ila wakati mwingine mwanamme unashindwa kwenda hatua zaidi kwa sababu chakula chenyewe kinaisha hamu mapema. Kuna wanawake ambao hawaishi hamu, ukimaliza round unaunganisha hata kama kawaida yako ni round moja au hamjayaona hayo jamani? Pengine mdada baada ya goli moja uwanja unajaa maji kibao inafanya mtu akate tamaa ya kuendelea na mechi na wanawake wengine baada ya goli hali ya hewa ni kama vile unapita dampo ! Msiwe rahisi kuangalia upande mmoja.
 
Inashangaza kuona kuwa kila mtu anamlaumu jamaa ! Mbona round mbili ni standard jamani ? Yale mambo ya zamani sijui round tano sita yalishapitwa na wakati, Tena round moja tu iliyopangwa ikapangika inatosha. Ila wakati mwingine mwanamme unashindwa kwenye hatua zaidi kwa sababu chakula chenyewe kinaisha hamu mapema. Kuna wanawake ambao hawaishi hamu, ukimaliza round unaunganisha hata kama kawaida yako ni round moja au hamjayaona hayo jamani? Pengine mdada baada ya goli moja uwanja unajaa maji kibao inafanya mtu akate tamaa ya kuoendelea na mechi na wanawake wengine baada ya goli hali ya hewa ni kama vile unapita dampo ! Msiwe rahisi kuangalia upande mmoja.
 
Back
Top Bottom