Dilemma!!!

Dilemma!!!

Hapa ndipo mtu unatamani kumpa mtu zawadi ambayo hataisahau ila unajikuta umefungwa mikono na miguu....

Mwanamume hawezi kucheka cheka na mechi ya kwanza hata kama ina ugumu wake.... Lazima mtu apata adhabu hadi ahisi kama vile kamwagiwa pili pili kwenye macho.... May be huyu ticha gfsonwin anaongelea mambo mengine..lol!!

Hapo pengine hapna maana kwa wastaafu (na kwa maana hiyo sijapaona)...lol!!

Babu DC!!
ha haaa, na mimi nimefanya makusudi babu, lol!
nimecheka zaidi hapo kwenye pilipili kwenye macho, kuna mahusiano kweli? lol! ila mfano wa pilipili upo sahihi....
 
Kwa analysis zako za haya mambo huwa sina neno la kuongeza....

Ni kweli kwamba hawa vijana wote wanahitaji msaada.

Ila kitendo cha kijana cha kijana wa KIUME kukimbia mechi uwanjani tena kwenye viwanja vikubwa vikubwa kama Old Traford au Santiago Benarbeu ndiyo kinanatutisha sisi wastaafu...

Cc: Kaizer, The Boss, Mtambuzi, BAK, Eiyer, Asprin....

Babu DC!!

Dunia ya sasa imekuwa the opposite
wanawake wanavaa suruali,wanaume wanavaa hereni.
basi tabu tupu..
 
Nimefurahi kuwaona gfsonwin na Fixed Point
babu dc leo umeamua jamani.
Mimi nachoshangaa kijana kalala na ke mpyaaa afu eti asubuhi haijastand?hivi kweli inakuja?
juzi kuna comment niliirushia watu wakaniona mimi kama mwehu, lakini nilimaanisha...
hebu babu Dark City tuambie ukweli, kweli kabisa unaweza kulala na key (mpya au ya zamani) halafu mwili ukawa wa baridi? yaani hata shock ndogo tu hakuna?
binafsi sijawahi ona hii, na ndo maana nikatafsiri kuwa labda huyo me havutiwi nawe, otherwise ana matatizo ya kiafya
 
Last edited by a moderator:
Special copy kwa mjasiria ujumbe unafiki mbaya

Hizi justification nyingine bwana tabu sana. Kwanza hata kama kila mtu anafanya dhambi fulani, hii haifanyi hiyo dhambi kuwa sahihi. Pili wewe kama unazini usidhani ni kila mtu anazini, na inaonekana ulianza kutobolewa mapema ndio maana unadhani kila mtoto wa miaka 12 anafanya zinaa!!!. Tatu hata kama unazini sio lazima utangazie watu maana sio jambo la kujivunia. Nne kwa kutambua kwamba kwenye hili jukwaa "everyone is entitled to their own thoughts" should make you realize that I am entitled to mine too. Wewe (Sio wewe amu. Nadhani itabidi unisaidie kum-cc mhusika maana cc yako ndiyo imefanya niione hii posti yake) na miaka yako 28 unashauriwa kuacha zinaa unakuja na justification za kitoto kabisa eti kila mtu anafanya so what??!!!
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, na mimi nimefanya makusudi babu, lol!
nimecheka zaidi hapo kwenye pilipili kwenye macho, kuna mahusiano kweli? lol! ila mfano wa pilipili upo sahihi....

Hahahahahahhaah,

Tulipokuwa wadogo sana na endapo mtu anakula pili pili ya baba au mama kwa bahati mbaya, basi anakimbiziwa kikombe cha maji kuosha mdomo. Hii strategy pia ilinisaidia siku nilipofika kwa kwa Wahidi. Yaani unakula kijiko kimoja halafu unasukumiza na maji....

May be ndo maana kumbukumbu zangu zinanionesha mtu akikimbia kutafuta maji ili kupoza makali baada ya kupigishwa kwata......

Jamani 1947 haitakaa ilirudi aisee....

Babu DC!!
 
Dunia ya sasa imekuwa the opposite
wanawake wanavaa suruali,wanaume wanavaa hereni.
basi tabu tupu..

Tunawasaidiaje sasa hawa wazukulu (wajukuu)??

Au ndiyo tunakubali kuondoka na mbegu zetu kama wagumba??

Babu DC!!
 
Hahahahahahhaah,

Tulipokuwa wadogo sana na endapo mtu anakula pili pili ya baba au mama kwa bahati mbaya, basi anakimbiziwa kikombe cha maji kuosha mdomo. Hii strategy pia ilinisaidia siku nilipofika kwa kwa Wahidi. Yaani unakula kijiko kimoja halafu unasukumiza na maji....

May be ndo maana kumbukumbu zangu zinanionesha mtu akikimbia kutafuta maji ili kupoza makali baada ya kupigishwa kwata......

Jamani 1947 haitakaa ilirudi aisee....

Babu DC!!
ha haaa, mfano wa maji pia nimekupata vizuri, lol!
kumbe siku nyingine ukilaza unaondoka, ha haaaa
 
juzi kuna comment niliirushia watu wakaniona mimi kama mwehu, lakini nilimaanisha...
hebu babu Dark City tuambie ukweli, kweli kabisa unaweza kulala na key (mpya au ya zamani) halafu mwili ukawa wa baridi? yaani hata shock ndogo tu hakuna?
binafsi sijawahi ona hii, na ndo maana nikatafsiri kuwa labda huyo me havutiwi nawe, otherwise ana matatizo ya kiafya

Mkubwa mwenzangu, umeme wa opposite sex zinapogusana (zikiwa mupya kabisa....na zina usongo) ni hatari sana.

Nadhani ni bidhaa ambayo nyie na shule yenu ya uchumi mmeacha tuendelee kukalia uchumi kama wajinga......

Its more than electricity.... Na ndiyo maana sitaki kuamini kwamba vijana wa namna hii ni wazima!

Babu DC!!
 
ha haaa, mfano wa maji pia nimekupata vizuri, lol!
kumbe siku nyingine ukilaza unaondoka, ha haaaa

Wewe siyo kilaza wala kiazi....unafanyaga makusudi tu mkubwa mwenzangu ili kuleta ladha ya mastory....

Ndiyo maana wajukuu hawatuelewi tunavyojipigiaga story zetu za 1947.....

Ili ufikie point unaanzia kama Kimara, kumbe mwenyewe unataka kumwelekeza mtu mazingira ya Kisutu....

Ina raha yake lakini, kwa wale ambao wanajua maana yake.....au siyo mkubwa mwenzangu??

Babu DC!!
 
Tunawasaidiaje sasa hawa wazukulu (wajukuu)??

Au ndiyo tunakubali kuondoka na mbegu zetu kama wagumba??

Babu DC!!

Unajua whats funny ni kuwa kadri wanaume wanavyobadilika
ndo kadri wanawake wanavyolalamika..

so bora wanawake wakubali tu kuwa
mfumo dume ni bora kuliko mfumo jike wanaotaka kuuweka in the name of equal gender..

sababu hasara wote tunaiona
 
Duuuuuuuuhhhhhhh,

I can now see the JF I knew.....hiyo dimension unayoiingiza hapa kwa sasa sina tena ujasiri wa kuijadili kaka....!!!

Ila umegusa penyewe....

Ngoja tuwasubiri wadau watueleze kwa nini wanataka kusababisha genocide ya hii jinsia tukufu...

Babu DC!!
 
Mkubwa mwenzangu, umeme wa opposite sex zinapogusana (zikiwa mupya kabisa....na zina usongo) ni hata sana.

Nadhani ni bidhaa ambayo nyie na shule yenu ya uchumi mmeacha tuendelee kukalia uchumi kama wajinga......

Its more than electricity.... Na ndiyo maana sitaki kuamini kwamba vijana wa namna hii ni wazima!

Babu DC!!
Achana na mupya babu....
hebu niambia hapo kwako pamoja na kuwa ndo mnakula pension na bibi inawezekana kabisa usiku upite hivi hivi? na wote wazima wa afya?
pale home huwa namtaniaga babu kuwa siku ambapo atashindwa kula basi nitampeleka akatundikiwe drip maana atakuwa kwenye hali mbaya sana kiafya....... mtu yupo kwenye dose ya quinine na msosi unapanda kama kawaida
 
wengine wanakuwa na mausingiz yao, kafanya kazi kutwa nzima amejichokea, unapretend kafika ili umalize apige zake usingiz... kalaghabaho
sasa hiyo itakuwa kesi nyingine kila siku atakuwa amechoka na ukimpiga analala!!!
 
Unajua whats funny ni kuwa kadri wanaume wanavyobadilika
ndo kadri wanawake wanavyolalamika..

so bora wanawake wakubali tu kuwa
mfumo dume ni bora kuliko mfumo jike wanaotaka kuuweka in the name of equal gender..

sababu hasara wote tunaiona
ha haaaa, ndo maana pale kwangu marufuku usawa......
baba ni baba, ataendelea kuwa kichwa cha familia...... mimi ndo mama mwenye nyumba, lol!
 
Wewe siyo kilaza wala kiazi....unafanyaga makusudi tu mkubwa mwenzangu ili kuleta ladha ya mastory....

Ndiyo maana wajukuu hawatuelewi tunavyojipigiaga story zetu za 1947.....

Ili ufikie point unaanzia kama Kimara, kumbe mwenyewe unataka kumwelekeza mtu mazingira ya Kisutu....

Ina raha yake lakini, kwa wale ambao wanajua maana yake.....au siyo mkubwa mwenzangu??

Babu DC!!
ha haaaa, si-regret kuwa wa mwaka 1947, nitakuwa hivyo again and again nikipata chance.... kuna raha saaanaaaa😎
 
Achana na mupya babu....
hebu niambia hapo kwako pamoja na kuwa ndo mnakula pension na bibi inawezekana kabisa usiku upite hivi hivi? na wote wazima wa afya?
pale home huwa namtaniaga babu kuwa siku ambapo atashindwa kula basi nitampeleka akatundikiwe drip maana atakuwa kwenye hali mbaya sana kiafya....... mtu yupo kwenye dose ya quinine na msosi unapanda kama kawaida

Mie sisemi tena,

Unajua mpaka mwanamume anakimbia mechi, kule kwetu (na enzi zetu za 1947) wakubwa wenzake wangeanza kufanya maandalizi ya msiba.....Midume inaumwa na kutetemeka ila bado inang'ang'ania msosi tu kama mtoto wa mwaka mmoja na nusu anavyopigania ziwa ili asiachishwe kunyonya....Chezeya michozo ya kikubwa wewe!!

Kuna babu mmoja (kule kijijini) alikuwa na kama miaka 85, ila alikuwa anakimbizana na vimama kwenye kilabu za matapu tapu utadhani ndiyo kabalehe...ingawa nasikia waliomwenea huruma nao waliishia kumwomba Mungu wasiishie jela kwa kusababisha kifo cha babu wa watu....Dozi ilitoka wakati mtu anakuwa kama anakaribia kukata roho!!

Haya yanayotkea sasa hivi bwana sipati picha mie....

Babu DC!!
 
ha haaaa, ndo maana pale kwangu marufuku usawa......
baba ni baba, ataendelea kuwa kichwa cha familia...... mimi ndo mama mwenye nyumba, lol!

Wewe sina tatizo...ila unadhani hawa watoto wa dotcom watakubaliana na wewe?

Nadhani mnapoteza muda wenu huko kwenye kitchen parties!!

Babu DC!!
 
sasa hiyo itakuwa kesi nyingine kila siku atakuwa amechoka na ukimpiga analala!!!

Kama mtu ni mlemavu hata angeficha vipi, lazima ataumbuka tu...

Dawa ni kuwa mkweli ukapewa tiba sahihi tena kabla hujachelewa.

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom