Dilemma!!!

Dilemma!!!

Kupata erection kwa m'ume kunahitaji hisia kwa 100% sijui upande wa kike unaweza complaign kua jamaa ana tatizo kumbe wewe pia tatizo kila m'ume ana kitu kinamsisimua toka kwa m'mke so once u miss it booooom mfn napenda round breast wit' erected nipples alafu nakuta tofauti simply i do u 1 round au uko naked naona navel ile ya kutoka nje izo excuse inawezekana anaogopa kukuambia kua uko tofauti... nimekupa side B cuz most of raia umu ndani wamempa lawama mtu wako wakiamini ur on safe side dont perceive me negative plz just talk to him upate source dont blame him bc naona umeanza ooooh simuelewi that aint fair mm nshawahi mfatilia binti kwa mda mrefu siku nam-undress nakuta ana mshono wa operation chini ya tumbo ilichukua muda kupata erection n after that day ckumgusa tena nikawa ni visingizio daily km unampenda vunja ukimya.
 
Yaani Babu majanga matupu, sijui nitaleaje wajukuu zako wasije kukosa heshima huko mbeleni.

Hii ni hatari kwa kizazi kijacho kabisa, injini zina mgawo hatare sana wa mtera.

Nafurahi kwamba ukweli umeuona.....

Matatizo ni makubwa sana na yako kote kote mpendwa Kongosho....


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, kaa nae chini and discuss the matter together, I believe mtapata a way forward!
 
Jaribu kumshauri awe anakula nafaka zisizokobolewa.....mboga za majani kwa wingi.....anywe tangawizi iliyochanganywa na mdalasini pamoja na asali kama vile chai....kwa wingi kadiri awezavyo ....halafu ajaribu kupata muda mrefu wa kuupumzisha mwili........
 
Duu kuna watu wanayo yamoyoni humu akuu yangu siyaleti
 
579257_335034786594041_380756422_n.jpg
 
Pamoja na heshima zote kwako teacher,

Bado natofautiana na wewe kuhusu siku ya kwanza kwa Me. Hata kama perfomance siyo Maximum ila mtu anajitahidi kuonesha viwango vya kutosha ili kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza.... Kwa KE nasikia huwa imetawaliwa na hofu kibao...mtasema wenyewe!!

Kama nakosea, ngoja wakubwa wenzangu wakuje watusaidie kukata hili shauri...
Kaizer, The Boss, Asprin, BAK, Eiyer, Mtambuzi, Fixed Point,

Babu DC!!

mkuu wangu Dark City ukishasema wewe mzee wmenzangu baaas,, neno linakuwa sheria
gfsonwin my sweetlo thanks for analysis, nimekusoma uzuuri kabisa...sina tabu miye
Hommie, tazama, mimi ni nani nayeweza kufunga vidamu vya viatu vya Dark City?

Ni mimi tu hapa nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari....

Sasa waweza niruhusu mtumishi wako nienende na amani??? Kwa kuwa macho yangu yamemwona Bwana......:amen::amen::amen::amen:
 
Last edited by a moderator:
Hommie, tazama, mimi ni nani nayeweza kufunga vidamu vya viatu vya Dark City?

Ni mimi tu hapa nimebakia, ni mimi tu kuwaletea habari....

Sasa waweza niruhusu mtumishi wako nienende na amani??? Kwa kuwa macho yangu yamemwona Bwana......:amen::amen::amen::amen:

Hii ndo zawadi murua ya mwalimu mtukufu gfsonwin kwa week end hii....


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....

Vijana wa Dar es salaam chips zinawaharibia.
 
kwani kuna nini hapa Kaizer na Eiyer puleeez hebu doeni ze needful mi hata sielewi!naona tu babu Dark City analalamikia tu ustaafu wake!
alikuwa wapi kuchapa kazi enzi za ujana wakeeeeee aaaargh ASITUCHOSHE!ahahaahhahah
babu sikamoo!
 
Last edited by a moderator:
I MISS IT THE TIME WHEN SIKU YA GAME YA KWANZA MTU UNAANDAA BESENI LA BARAFU!NA KESHO YAKE HUAMKI!
aahahhahahahahhahahhahhaa
my bad!
bora haya majadiliano sikuyaona yakiwa page ya kwanza!
 
hapo hakutakua na mabadiliko asee tafuta kazi mahali pengine la sivyo chakula ya ucku hautaifaidi hata kidogo
 
Back
Top Bottom