Dilemma!!!

Dilemma!!!

Hata kama zipo, zikiisha mechi haiahirishwi:A S-confused1:

Nimeshindwa kukuelewa

Nashindwa kukuelewa kwasababu nakosa kabisa mntiki nikiunganisha nilichosema na ulichosema
Please madam,help me understand you!
 
Nachosema ni hivi, tatizo la nguvu za kike ni managable kiurahisi kuliko la nguvu za kiume

Ndio maana, ni mara chache kusikia mwanamke kashindwa kabisa kufankisheni sababu hajasimamisha pembe.

Nimeshindwa kukuelewa

Nashindwa kukuelewa kwasababu nakosa kabisa mntiki nikiunganisha nilichosema na ulichosema
Please madam,help me understand you!
 
daah...............nimemaliza tu kusoma story mdudu akasimama..........yaani kwenye miti hapanaga wajenzi always ,mimi natafuta wa kuoa kumbe wapo humuhumu? LOL cc Kaizer
 
Hizo ni assumptions zangu tu kwasababu hakuna kisichowezekana!!Ndio maana nikataja vitu tofauti!!Wengine si wa mwendo mrefu na nje wanatafuta coz wanatamani vingine kuliko walivyonavyo...Ni tamaa!!!
Nakuelewa sana dada yangu kwenye hakuna kisichowezekana na tamaa...Lakini mechi za nyumbani ni zaidi ya tamaa ni zaidi ya mechi.
Heshima yako ndio iko pale. Kiukweli watu wengi wanaotoka nje ni kwa sababu ya overconfidence! Yani alishajengewa confidence nyumbani kuwa anaweza sana ndo anashawishika akaipate hiyo "Unaweza sana" kwingine ndo ataamini for sure kuwa anaweza.
Pia ili mwanaume akufuate haangalii kuwa kakutamani tu pia anaangalia ntaweka heshima? nisiende nikaaibika bure manake wengine mziki mrefu!
Sasa huyu mwenzetu ndani majanga huko nje ndo itakuwaje?
Ama mwenzetu ni mtaalamu wa kushinda mechi za ugenini?
 
Sawa mkuu, tunasubiri feedback :smile-big:
Ngonja niongee na bibi anisaidia kujifunza hii kitu ya kutoa machozi. Bibi ni mpenzi sana wa kula pilipili....

Labda ndiyo maana enzi zake alikuwa anapiga kelele hadi majirani wanakuja kwa rescue kumbe mtu yuko kwenye maraha...lol!!

Hii biashara ya kustaafu hii....nyie isikie tu....

Babu DC!!
 
Kuna tatizo sana, ila thank God hamnaga kuishiwa nguvu za kike, akikuchosha unaitenga kama tenga tu.


Mbona unanitaisha kiasi hicho Kongosho?

Basi ngoja nikueleze, dili ya kupungua kwa nguvu za kike ni muzee kukosa hamu au kuzimika zimika njiani.

Huyajui hayo?

Babu DC!
 
kama ishu nyingine yuko powa.. na umeridhika nae.

Vunja ukimya huenda ana tatizo la kiafya au msongo wa mawazo. Huenda hajui kama una ukame kiasi hicho, na huenda hana tatizo serious.. kupitia mazungumzo mnaweza kupata solution.

but bado napata dillema na mie.. Mwanaume unashindwa kupiga game mpaka mpenzi alalamike?? hizi kesi za namna hii ni adimu sana huwa hazipo lolz.
 
Yaani Babu majanga matupu, sijui nitaleaje wajukuu zako wasije kukosa heshima huko mbeleni.

Hii ni hatari kwa kizazi kijacho kabisa, injini zina mgawo hatare sana wa mtera.

Mbona una itaisha kiasi hicho Kongosho?

Basi ngoja nikueleze, dili ya kupungua kwa nguvu za kike ni muzee kukosa hamu au kuzimika zimika njiani.

Huyajui hayo?

Babu DC!
 
Nachosema ni hivi, tatizo la nguvu za kike ni managable kiurahisi kuliko la nguvu za kiume

Ndio maana, ni mara chache kusikia mwanamke kashindwa kabisa kufankisheni sababu hajasimamisha pembe.

Sina uhakika kama unajua nguvu a kike zinavyohusika kwenye sual zima la ngono a.k.a kungonoka!
 
Hello wana JF. I have never posted anything on this forum ila leo mwenzenu yamenikuta! I got into a relationship with this guy about a couple of months ago. He is loving, caring, understanding....you name it. Tumejuana miaka mingi iliyopita kumbe yy alikua ananipenda toka siku nyingi akawa anaogopa kuniambia.

So as fate would have it about 3 months ago we exchanged numbers and we started chatting and one thing led to another and i finally fell for him. We love each other,that is as much as i know.

Tumeshapima na afya zetu and we are both ok,tatizo jamaa si mwelewi elewi when it comes down to business. Tangu tujuane tumefanya mapenzi only twice and i pretty much did most of the work. I had abstained from sex for over 2yrs and so as you would imagine i was so looking forward to making love with the man i loved ila jamaa haeleweki.

The first time we did it we only went twice akasema amechoka so he promised that we would make love again in the morning, asubuhi jogoo alishindwa kuwika akasingizia kwamba last nyt i did him too much,mmhhh! The second time we made love we only did it once.

Sasa kila wakati nina hamu ya kufanya mapenzi yy anasingizia kuchoka,kuumwa,mara kazi,yaani the excuses are endless. And its not like he doesn't feel me or anything,the romance btw us is intense, we can kiss and fondle and do stuff that gets us all horny ila nikitaka twende all the way he comes up with some sort of excuses. Nimechoka kumbembelezea penzi and i am beginning to get frustrated with all these.

I am a 'one man woman' so i can't go get it from someone else however the temptations ila jamani mwenzenu nachoka kusubiri. And this is a guy we are talking "forever after" and stuff ila i am beginning to have seconds thought coz kama kwenye courtship yenyewe mambo ndo haya huko kwenye ndoa si ndo itakua ukamee balaa! Someone please tell me what could be the problem,is it me or him or us?

He's not even 30yrs old yet!

Tupia na ka-picha basi ili tumdhaminishe huyo jamaa
 
Back
Top Bottom