Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
sawa kaka....... nashukuru
hebu ielezee vizuri hii theory! iam impressed!
pili pili za aina gani?
Pamoja na heshima zote kwako teacher,
Bado natofautiana na wewe kuhusu siku ya kwanza kwa Me. Hata kama perfomance siyo Maximum ila mtu anajitahidi kuonesha viwango vya kutosha ili kujihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza.... Kwa KE nasikia huwa imetawaliwa na hofu kibao...mtasema wenyewe!!
Kama nakosea, ngoja wakubwa wenzangu wakuje watusaidie kukata hili shauri...
Kaizer, The Boss, Asprin, BAK, Eiyer, Mtambuzi, Fixed Point,
Babu DC!!
Nguvu za kiume kwa vijana ni janga la taifa.
Huyo mwanaume hafai raha ya mwanamme akukoroge ukorogeke.
Piga chini wenzake siku ya kwanza wakipewa gemu hawalali.....
Do we share the same men?
Pilipili inasaidia sana katika kuongeza uwezo wa kuperform, Madactor wanasema ili uume usimame vyema inategemea na mzunguko wa damu, na pilipli inasaidia sana katika kusafirisha damu!
Ndizi mbivu inasaidia sana kuimarisha mishipa, na misuli yote, hasa kwenye uume!
Pia, vanilla, parachichi...
Hili tatizo liliwahi kunikumba, nilikaa zaidi ya miezi 6, bila uume kusimama, sioa asbh, sio ucku..Nikawa namdanganya wife kuwa ni stress, mara nimechoka, mara naumwa..mwenyewe akaamua kwenda kwa doctor...
Ila siku moja katika kuperuse kwenye mitandao, ndio nikakutana na hiyo segment ya matumizi ya pilipil, ndizi mbivu, vanila n.k..Nilipotumia tu, kaka asikuambie mtu, nipo wima everytime, mpaka mamsapu anashangaa!
Jaribu, utaniambia!
Hizi justification nyingine bwana tabu sana. Kwanza hata kama kila mtu anafanya dhambi fulani, hii haifanyi hiyo dhambi kuwa sahihi. Pili wewe kama unazini usidhani ni kila mtu anazini, na inaonekana ulianza kutobolewa mapema ndio maana unadhani kila mtoto wa miaka 12 anafanya zinaa!!!. Tatu hata kama unazini sio lazima utangazie watu maana sio jambo la kujivunia. Nne kwa kutambua kwamba kwenye hili jukwaa "everyone is entitled to their own thoughts" should make you realize that I am entitled to mine too. Wewe (Sio wewe amu. Nadhani itabidi unisaidie kum-cc mhusika maana cc yako ndiyo imefanya niione hii posti yake) na miaka yako 28 unashauriwa kuacha zinaa unakuja na justification za kitoto kabisa eti kila mtu anafanya so what??!!!
Take a chill pill and get a life! Eeiish! Una joto hasira,dang!
Do we share the same men?
Babu amepaona hapa....
Vijana wetu nyote (Me na Ke) mnahitaji msaada.....hapa watu wasijekunisingizia eti naongelea msaada wa kiroho. I am not a preacher... Ila mnahitahitaji demo na migwaride ili muweze kutimiza majukumu yenu.
cc: Eiyer et al!
Babu DC!!
Ulivyojibu umenikumbusha mbali sana..!!!!!!!
wapi huko?
Nyakati zile unakatumia sms ka dem kako halafu kana kujibu
"Poa"
Nilikuwa naudhika sana,nilikuwa naona kama ni kama dharau fulani hivi!!!!
Kuna tatizo sana, ila thank God hamnaga kuishiwa nguvu za kike, akikuchosha unaitenga kama tenga tu.
ki ukweli inaboa sana aisee bora aongeze hapo na neno baby, honey au poa nimekuelewa.......