Dilemma

Wanawake wa dar wana mambo ya Dar,wanawake wa dar wanawezwa na wanaume wa dar lol
Kunawengine watakwambia kwenye miti hakuna wajenzi lakini its okay,nakupongeza sana kwakua na msimamo
Thats what i call a MAN haijalishi wakuone mshamba watajaza wenyewe,na a real Woman hakimbili kufanya ujinga
huo wanadanganyana sana kua eti mwanamme ukimpa hivi hachomoi lakini siunamsoma mwanamme mwenyewe
kama ni TEJA wa huko karoni wengi wanakurupuka tuu,matokeo yake wanaharibiwa wanaishia kujitia watoto wa
mjini kumbe hana lolote huko nyuma kuna piga firimbi balaa.........
 
Naomba mnipe ushauri sahihi....

Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana
tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili...

Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao
wao wana prefer "mambo ya pwani" na
mimi sio mtu wa kupenda sana hayo mambo so huwa
na napata tabu .....
Sababu huwa sipendi kushindwa kumridhisha mwanamke....but
at the same time....my own belief ni kuwa its not right.

Na ajabu ni kuwa most of womens now in daresalaam wako
so into that game.....

Leo nina date na namhisi huyo lady ni walewale na jiuliza
nifanyaje iwapo atataka ni....
Sipendi kutomridhisha but my own moral standard sikubaliani...

Nimkwepe????????

Nakushauri the boss acha huyo/hao mwanamke asiridhike ,kazi ya kuzibua vyoo haina maana na ina madhara yake kwa pande zote mbili na sasa hivi hasa mjini Dar asilimia kubwa ya wanawake hata wasomi wamekolea kwenye mchezo huo mchafu kwa kujidai kuwa ni fashion na kama huifuati unaonekana bwege ila sio certificate ya wewe kusaport uchafu huu ambao tunajidai wazungu wanafanya wakati tunaona only kwenye sex movies.For me i dont support anal sex 100% regardless of any big booty attracting at anytime.
 
Kitambo hicho daaa kweli tumetoka mbali ifike mahali threads nyingine tuzidelete hivi hakuna uwezekano huo Invisible
 
ilikuwa once by accident,sikujua kuwa nimeunganishwa kwingine.but
since then never........
ccm ni wezi wa kupindukia wana uwezo wa kuiba id ya mtu wa anzishe uzi na kuchangia hili ionekane ni the boss wakati sie. Mmmh
 
Naomba mnipe ushauri sahihi....

Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana
tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili...

Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao
wao wana prefer "mambo ya pwani" na
mimi sio mtu wa kupenda sana hayo mambo so huwa
na napata tabu .....
Sababu huwa sipendi kushindwa kumridhisha mwanamke....but
at the same time....my own belief ni kuwa its not right.

Na ajabu ni kuwa most of womens now in daresalaam wako
so into that game.....

Leo nina date na namhisi huyo lady ni walewale na jiuliza
nifanyaje iwapo atataka ni....
Sipendi kutomridhisha but my own moral standard sikubaliani...

Nimkwepe????????

my dear brother a perfect woman is coming for you usiwe na haraka usitende USODOMA NA GOMORA ili kumridhisha mtu ni DHAMBI hata kama utaingia katika ndoa na mwanamke wa SODOMA hautakaa ukasikia Baraka za mungu katika ndoa yako, achana those foolish I believe umesoma, Elimu yako ikusaidie achana na hiyo madness Tena wewe ni kijana Ambaye YESU KRISTO atajivunia kuwa ni wake.....
 
It's hard to do things against your morals and standards, huo mchezo ni mchafu sana bahati mbaya baadhi yetu tumeuhalalisha na tunafurahia kabisa, anyhow uzinzi pia ni chukizo kwa Mungu.
 
my dear brother a perfect woman is coming for you usiwe na haraka usitende USODOMA NA GOMORA ili kumridhisha mtu ni DHAMBI hata kama utaingia katika ndoa na mwanamke wa SODOMA hautakaa ukasikia Baraka za mungu katika ndoa yako, achana those foolish I believe umesoma, Elimu yako ikusaidie achana na hiyo madness Tena wewe ni kijana Ambaye YESU KRISTO atajivunia kuwa ni wake.....
Faith, kwani kufanya ngono kabla/nje ya ndoa si dhambi pia?
 
Faith, kwani kufanya ngono kabla/nje ya ndoa si dhambi pia?

ni Dhambi my kaka hakuna BORA hapo Lakini is better ufanye mapenzi kwa njia sahihi kuliko kufanya kwa njia tofauti, coz itakuathiri kisaikolojia itafika wakati hutaweza kufeel chochote ukifanya in normal way only ukifanya SODOMA ndio utakua unafeel ok USIJARIBU SHETANI NI MJANJA WALA ASIKUTAMANISHE KWA HILO MWAMBIE SHETANI HAPO UMENIKOSAAA ANZA UPYA
 
Back
Top Bottom