Dilemma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dilemma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Boss, Oct 10, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Naomba mnipe ushauri sahihi....

  Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana
  tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili...

  Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao
  wao wana prefer "mambo ya pwani" na
  mimi sio mtu wa kupenda sana hayo mambo so huwa
  na napata tabu .....
  Sababu huwa sipendi kushindwa kumridhisha mwanamke....but
  at the same time....my own belief ni kuwa its not right.

  Na ajabu ni kuwa most of womens now in daresalaam wako
  so into that game.....

  Leo nina date na namhisi huyo lady ni walewale na jiuliza
  nifanyaje iwapo atataka ni....
  Sipendi kutomridhisha but my own moral standard sikubaliani...

  Nimkwepe????????
   
 2. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sasa unataka kujiridhisha wewe ama kuridhisha watu wengine???If you have your own morals and principles,why dont you stand up to them???
  Utakuwa mtu wa kupelekwa pelekwa tuuu?
  You need to grow up and stand up for what you believe!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Pole sana The Boss!

  Actually hali kama hiyo mimi pia niliwahi kukutana nayo,...kijitu kinanikalia mkao wa Hasara na kuniwekea linanihii lake hazarani...weweee! nilimwambia sitaki ujinga huo, and iwas not ready 4 it!

  Mi sipendi upumbavu bana...usikubali kuchezewa mkuu!
  Iongoze akili yako kule unakoamua, na si kulazimishwa na mjingamjinga fulani.

  Kama vp nenda kijijini kaoe bana, wachana na maCD wa huko mabarabarani.

  BOra nikae hukuhuku nanililu ambako wasichana hawajui mambo ya matakomatako...shiiiiit!
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  naishi kwa standard zangu but
  ukiwa gentleman sometime unajisikia vibaya kumuacha
  mwanamke kitandani akiwa hajaridhika......i just feel guilty of something,thats alll.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nimekuelewa but hao womens ninaowazungumza ni professionals so machangudoa

  ni wafanyakazi makampuni na taasisi tofauti...
  I like corporate babes,if u know what i mean....
   
 6. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  One of the embarrassments of being a gentleman :oops: is that you are permitted to be violent in asserting your rights”
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ha ha i cant be violent to a woman who is naked in bed.
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  But i did it and i do!
  U seem to be extremely weak!
  Can`t mention a word when a woman gets naked?...huh!

  Angalia sana....Ukimwi utakuua kama huwi strong!
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  natumia condom so najilinda....

  Sio kuwa weak......its not romantic kuanzisha ugomvi kwenye
  kitanda na mwanamke.....

  Whats wrong if i decide to be a fool in love??????
  Love itself is foolish.
   
 10. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 784
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 80
  Is not right! u said it all then never do that, umelelewa vizuri i belive then usivunje maadili kisa unafikiri utaonekana mpumbavu mbele ya mwanamke, INSTEAD atakuheshimu na kukuona unamsimamo.Binafsi naamini mwanaume anayetaka mambo ya pwani ni kuvunja maadili pia ni kunidhalilisha na kujidhalilisha yy mwenyewe kwani hata yy analo hilo tundu.
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280

  mhhh i am curious about u.upo hapa dar??????
   
 12. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 784
  Likes Received: 469
  Trophy Points: 80
  Nilifikiri unataka ushauri na kweli uko kwenye dilemma, i was wrong then!!
   
 13. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  do it then
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  nimesema curious sijasema kingine.umeelewaje?????

  Just curious tu.
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  its hard to do something u believe is wrong.....
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2009
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  wanaume..wa..namna..yako..ndio..wanasababisha..dimbwi..la..kutoa..tigo..kuendelea!
  kwa..nini..usindwe..kumkatalia..mwanamke..kwa..kuwa..unataka..kumridhisha..tu?

  jee..Boss..siku..mwanamke..akikwambia..haridhiki..mpaka..a-strap-on...pia..utamkubalia..ili..apate..kujiridhisha?
   
 17. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu hayajakukuta bado. Mwanamke anaweza kukupa hilo tundu bila hata ya wewe kujua, ukashangaa tu mbona kisamvu kwa wingi na mvuto si wa kawaida?.
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  mmeniacha, mambo ya pwani ndio kitu gani?
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,754
  Likes Received: 82,732
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha ha Pretty kaangalie kwenye kamusi (kicheko) ;):)...au kama huna kamusi basi mtafute msukuma wa Pwani Mkuu Masanilo kwa kumPM akutafsirie msamiati huo.
   
 20. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  JAMII FORUMS - WHERE WE DARE TO TALK OPENLY!
  Mambo ya pwani ni slang ya kulana Tigo ama mwanamke/mwanamme kuingiliwa kinyume cha maumbile= kupitia kwenye njia ya haja kubwa.
   
Loading...