Dilemma

Dilemma

JAMII FORUMS - WHERE WE DARE TO TALK OPENLY!
Mambo ya pwani ni slang ya kulana Tigo ama mwanamke/mwanamme kuingiliwa kinyume cha maumbile= kupitia kwenye njia ya haja kubwa.

Kumbe hivi vitu huwa vinafanyika Pwani!!
 
😱 Umeambiwa Slang sasa wewe unaenda kwenye direct translation?
Hapana hivi vitu vinafanyika sehemu kama vyumbani nk, mbona uko so interested to know more au ndio walewale anaowaongelea the Boss?
 
Ndugu yangu hayajakukuta bado. Mwanamke anaweza kukupa hilo tundu bila hata ya wewe kujua, ukashangaa tu mbona kisamvu kwa wingi na mvuto si wa kawaida?.

ndugu yangu ishanitokea,we acha tu,viumbe hawa wana mambo.
 
Mkuu Boss kwani umeshawaridhisha wangapi kwa njia hiyo? manake kwa maelezo yako umeshakumbana nao wengi, na pili as a gentleman hupendi kumwacha mwanamke hajaridhika, sasa ina maana umeshawaridhisha baadhi....?
 
ilikuwa once by accident,sikujua kuwa nimeunganishwa kwingine.but
since then never........
 
Naomba mnipe ushauri sahihi....

Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana
tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili...

Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao
wao wana prefer "mambo ya pwani" na
mimi sio mtu wa kupenda sana hayo mambo so huwa
na napata tabu .....
Sababu huwa sipendi kushindwa kumridhisha mwanamke....but
at the same time....my own belief ni kuwa its not right.

Na ajabu ni kuwa most of womens now in daresalaam wako
so into that game.....

Leo nina date na namhisi huyo lady ni walewale na jiuliza
nifanyaje iwapo atataka ni....
Sipendi kutomridhisha but my own moral standard sikubaliani...

Nimkwepe????????

Yaani sijui kama Masanilo na Fidel80 watakuelewa we unaombwa utumie mtandao unadengua,wenyewe saa zingine hutumia muda mwingi kumuimbisha demu mpaka ukubali kuji-express.
 
watu tupo tofauti,,,
 
umeingia mchezo wa kula samaki (ukila samaki upande mmoja shurti umgeuze upande wa pili). umegundua kuna kautamu fulani lakini nafsi yako inakushitaki lol. wewe kula tu si unajua tena gentleman hatakiwi kumkatalia kimwana matakwa yake? lol
 
umeingia mchezo wa kula samaki (ukila samaki upande mmoja shurti umgeuze upande wa pili). Umegundua kuna kautamu fulani lakini nafsi yako inakushitaki lol. Wewe kula tu si unajua tena gentleman hatakiwi kumkatalia kimwana matakwa yake? Lol

mhhh.
 
JAMII FORUMS - WHERE WE DARE TO TALK OPENLY!
Mambo ya pwani ni slang ya kulana Tigo ama mwanamke/mwanamme kuingiliwa kinyume cha maumbile= kupitia kwenye njia ya haja kubwa.
KUNA MAUTAM NDO MANA KUNAJADILIWA.. tembelea TIgo utaona lkn usimtangazie mtu. kimyakimya tu mpolempolee
 
Naomba mnipe ushauri sahihi....

Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana
tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili...

Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao
wao wana prefer "mambo ya pwani" na
mimi sio mtu wa kupenda sana hayo mambo so huwa
na napata tabu .....
Sababu huwa sipendi kushindwa kumridhisha mwanamke....but
at the same time....my own belief ni kuwa its not right.

Na ajabu ni kuwa most of womens now in daresalaam wako
so into that game.....

Leo nina date na namhisi huyo lady ni walewale na jiuliza
nifanyaje iwapo atataka ni....
Sipendi kutomridhisha but my own moral standard sikubaliani...

Nimkwepe????????
Nimepita tu hata kama uzi ni wa 2009..

Anyway...ushananiliu? Jiko???
 
Naomba mnipe ushauri sahihi....

Sijaoa bado so huwa na date wanawake au wasichana
tofauti ninaokutana nao,but tatizo langu ni hili...

Huwa inatokea nakutana na wasichana au wanawake ambao
wao wana prefer "mambo ya pwani" na
mimi sio mtu wa kupenda sana hayo mambo so huwa
na napata tabu .....
Sababu huwa sipendi kushindwa kumridhisha mwanamke....but
at the same time....my own belief ni kuwa its not right.

Na ajabu ni kuwa most of womens now in daresalaam wako
so into that game.....

Leo nina date na namhisi huyo lady ni walewale na jiuliza
nifanyaje iwapo atataka ni....
Sipendi kutomridhisha but my own moral standard sikubaliani...

Nimkwepe????????
Unaonekana kuwa mtumwa wa matakwa ya wengine:kama sio jambo zuri huwa wanakushikia bastola kichwani kwamba utakufa usipowafanyia hayo? Si unakataa basi
 
Wish nikueleze
Sio issue mbona, hakuna dawa wala nn. Juzi amemwaga mara kumi
 
Dah! Kumbe hii michezo imeanza muda eh? Mi nilijua ni miaka mi-wili/tatu nyuma, cuz ndipo nilianza kuisikia.

At this rate, I bet the man on the wheel ain't about to give it up for nobody. So we're headed where we're headed at a "Dale Earnhardt Jr behind the wheel" pace. Better strap on your seat belt, and pray to survive the crash.
 
Back
Top Bottom