Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Tuambie sasa wewe unaeufahamu, ukoje?Sijamtagg kwa sababu yako.
Ni kawaida kumtagg katika nyuzi zangu.
Ni kwamba hufahamu hata huo udikteta na demokrasia
Tuambie sasa wewe unaeufahamu, ukoje?Sijamtagg kwa sababu yako.
Ni kawaida kumtagg katika nyuzi zangu.
Ni kwamba hufahamu hata huo udikteta na demokrasia
Mimi mchangia mada yako.Nikuambie wewe na nani ?
Kwani nini maana ya Udicteta mkuuSiyo kweli.
Huwezi kuendesha nchi kwa mfumo wa ''One man show'' upate maendeleo.