Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,735
Dikteta bora Park Chung Hee former South Korea Military General.
Rais wa Korea kusini 1963-1979.
Dikteta aliye itoa Korea Kusini kwenye matope na umasikini uliotopea kwa mkono wa Chuma.
Bintiye alikuja kuwa Rais wa Korea Kusini akaishia jela.
Toka harakati za uhuru Asia imewahi kubahatika kupata madikteta bora walioumizwa na umasikini wa nchi zao kinyume kabisa na Afrika.