Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Hahahahahahahahhaahahaha
teacher snowhite! Kukimbiwa noooma! Ok am so sorry manyanyau and your fellow!
Pole sana Da Sophy
mkono wa mtu!
nani aweke mkono wake kwenye looser kama hili!
yani kabisa ujiongzee dhambi tuu eti na wewe ulikuwa mshirikina kwa kuroga aliyesharogwa toka analia NG'aa ah! lawyer banaa watake radhi kna manyau nyau fasta!
 
Last edited by a moderator:
staha ni malezi

kumwibia tu mtu mme ni aibu, sasa kujisifia kwa kumuiba jumla ni kipaji.

atatuliaje nae kapewa lifti honi inamuwasha. hahaha wa mbili havai moja dada. kama umeandikiwa ukimada bhaaaaasss, ukipewa chnge acha kupiga makelele. si utulie basi kona yako?
mwalimu gfsonwin, asante kwa recap lmao
 
Last edited by a moderator:
kapewa bure y nini aibanie na kuna nyenyere wanamngoja ardhini hehehee! sijawahi kudhani kuwa small hausi ni ushindi ten wa mezani. mweeh, tembea ujionee!
ha ha ha;, asilaze damu kukata kanyaboya?
 
Sasa nimeelewa ngoja nifuatilie post zake za nyuma.
huyu hana lolote mwizi wa mume mtu halafu anajiona bingwa.
angejua akitangaza vita awe na kifua, mbona yanamshinda anayaleta huku??
kama kijike kweli amfwate akamwambie haya.

anajitia kujamba humu ilihali akimwona angwaya, angekuwa anatimiziwa yote asingefurukuta hapa
amuwache mama wa watu apumuwe na ndoa yake jamani. hajui walikaotoka na walivuka vingapi.
 
Hahahahahahahahahah
naona umeamua kujifariji na kumdanganya mwenzie?
Sasa machozi ya nini kama jogoo yupo?
Daa pole sana !

Njoo umuone alivyotulia baada ya timbwili la jana. Nikupe namba yake akusimulie mwenyewe?
 
Hahahahahahahahhaahahaha
teacher snowhite! Kukimbiwa noooma! Ok am so sorry manyanyau and your fellow!
Pole sana Da Sophy

ahahahahhahahha aulize wenzie ndo atajua 1\!watu wakituona tunashika napkin kila siku wasifikiri jamvi hatujui matao yake msscxbsndfefnefuefnreifejfieemf zake!
 
hahaha, wenzie tunabook toka mchana ' baba hiyo daladala ije imesimama kabisa ukifika tu home nipande!'

morning glory inanikosesh jumuiya mie manake nataka iwe brunch kabisaa hehehe chezeiya kiu ya stress. nyumba ndogo ndo inaposhondikana hapo kwenye soul break fasteee!
HAPO SASA!
cchezeya morning glory wewe!
atabaki kusubiri cha after lucnh hivo hivo full kuwahi kazini na njaa juu!ale saa nagpi sasa kama sio juice ya azam tena ili ajione kashiba anakwambia uagize GUAVA!ahahahahhahahahhahha nguvu ya omo mi napenda!
 
Imeandikwa apataye mke apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana (kwa mkiristu maneno hayo yanapatikana katika Mithali 19:22 na hakuna sehemu kwenye muunganiko wa mume na mke panataja Elimu yaani hizo Degree, hii inamanisha kuwa hizo elimu mbalimbali is just added advantages and not otherwise, so inatakiwa zitumike vema ili kuendelea kutimiliza mapenzi ya Mungu na si vinginevyo).

Kama kuna mtu anatumia Elimu yake kuvuluga ndoa yake au ya mtu mwingine yeyote hakika huyu anatenda kinyume na mapenzi ya Mungu na wito wake alioitiwa hapa duniani, anapaswa atubu na amrudie Mungu wake.
 
Kivumbiii na kwa nini Da Sophy umekimbia sasa???

Chezea watoto ya mujini wewe?. snowhite & King'asti mmemvuruga mwenzenu

hatutakagi tu kuuza ramani za vita!
hizi degree na mithesis tuzikiweka kando vanga la kiwalani tunaliweza sana basi tu!
yani amkoseshe raha dada wa watu na ndoa yake thn aje hapa kutuletea akili ya dekio la choo ala!
 
ahahahahahhaha mume wangu hawezi date takataka kama hii isee!
akifanya mastuzi hata mi mwenyewe huwa nakaa chini naseeema YEEEES!hapa best hata mimi natamani niweke dede!
af much worse kidisco vumbi hiv ahahahahahhah
llo!
Kwa hiyo vodate vyake unavijua?!... Maana hadi kufikia hatua ya kukikubali kidate cha mumeo ni kwamba kimekuzidi kwa vingi. If that is the case, kwa nini asihamie kabisa huko videtini?
 
hahaha, wenzie tunabook toka mchana ' baba hiyo daladala ije imesimama kabisa ukifika tu home nipande!'

morning glory inanikosesh jumuiya mie manake nataka iwe brunch kabisaa hehehe chezeiya kiu ya stress. nyumba ndogo ndo inaposhondikana hapo kwenye soul break fasteee!
ahahahahhahahhaa kitu kinapigwa nina biashara na wewe best!
kinapigwa kwapani kitu kabaaaaaang!
chimbo!kwa hela za degree SAAAAA NGAAAAPI WAO WASUBIRI simu ziwashwe nikiwa na hangover zangu za daladalani ahahahhahahahhahahhaha pana chezeya kabisa mihangover na mzimuo wake wa saa tisa mchana!
af atuleteee kelele kelele hapa!
 
he he he, hii profesheno yangu kabisa

tena wewe kuku huria, kila jogoo wako! hahaha, unanchekesha.
proffessional small house. hebu tuambie akiwa kwa mkewe unakaribisha serengeti boy ama mume wa mtu mwingine?
 
Kwa hiyo vodate vyake unavijua?!... Maana hadi kufikia hatua ya kukikubali kidate cha mumeo ni kwamba kimekuzidi kwa vingi. If that is the case, kwa nini asihamie kabisa huko videtini?

aahahhahhahahah ungekuwa na akili kama yangu ungenielewa!ila kwa kuwa sio mimi wala huwezi kunielewa!
 
atatuliaje nae kapewa lifti honi inamuwasha. hahaha wa mbili havai moja dada. kama umeandikiwa ukimada bhaaaaasss, ukipewa chnge acha kupiga makelele. si utulie basi kona yako?
mwalimu gfsonwin, asante kwa recap lmao

baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaassssssssssss

kuna wengine wana mihuri ya uvibwengo tu, hata wafanyaje

da sophy yumo humo
 
Hahahahahahaha
Hivi kuna haja ya kupiga kelele kama mtu una uhakika jogoo atarudi muda wowote!

ahahahahhahahha aulize wenzie ndo atajua 1\!watu wakituona tunashika napkin kila siku wasifikiri jamvi hatujui matao yake msscxbsndfefnefuefnreifejfieemf zake!
 
Back
Top Bottom