BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
heh! ndo huyu aliachwa na mimba y one night stand?
hahahaha, nicheke mie!
Da Sophy ungetuacha kwanza ukamhudumia mume wa mwenzio chap chap kabla hajaenda kwa mkewe na wanawe. wenzio hatuna wasiwasi hata saa nane usiku tunauamkia tunaupasha bibi weeh. na alfajiri tunauraukia hahahahha.
kumbukumbu zangu zinaonyesha ndo huyu....sasa mwanaume anamtumia kama choo cha stendi...akibanwa analipa anakojoa na kusepa....... yeye anaona sifa
Kongosho unalaghai wenzio...wanaume chomvya chomvya unafikiri akiwaoa wote atatulia?????? Ataenda kuchukua kifaa kipya sophy lazima ajirestishe....
yaani ukae uongee sense gani na huyu ngumbaru. are you serious? hana akili hata moja, utaongea nae nini aelewe sasa. hapo alipo hajajua anaenda ama anarudi? mtaongea ya kushoto, kulia, juu ama chini? mwanamke kama huyu nikimkuta na Paw wangi nitaishia kumuonea huruma tu mume wangu kwa kubakwa kwenye chaka la miiba aisee.
si bora waongee huko kwao kuliko kuja kuanikwa hapa??
Imagine mmeo kakukimbia, kaenda kwa kimada, afu ananangwa ana kibamia??
jamani eeeeeeeeeeeh!!!Hakuna uchawi wala nini. Ufundi tu dada. Kama hujafundwa ndo bas tena watakucheka wenzio.
Kongosho ukiskia aibu hii ni aibu sana.heri nusu shari kuliko shari kamili
bwana mwenyewe ndio huyo wanashare, afu wanakuja kuvuana nguo hapa, kipi bora?
Wakati huo huo wote wana watoto, hao watoto si ni ndugu?
Au mie sielewi?
Hivi namba zangu za simu ulishapoteza?nimekumissije?
Where have you been?
Mwalimu naomba nitungie shairi la mipasho. Kuna kibwengo kinataka nikigegede kinadai eti mama Matesha wangu nlomtolea burungutu la mahari kishazeeka. Shutuuuu, yazeeka sura bana, kikojoleo manati LOLkuna mwenye SWAAALI!
NAULIZA KUNA MTU ANA SWAAALI! Asprin umeridhika na majibu ya Shantel au unantaka nianze!
leo mwalimu wako niliweka degreee na manyota yake pembeni
nkajitia kibwebwe,wanja wa kungu u wapi!
shurti fusho la kimombasa nikamweka mkole huyo sijui Da Sophy sijui kaendesha cha wapi! ala