Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Kwa taarifa yako mie situnzwi na ningependa kujua hicho kinachomtunza mume.

Kiongozi na wewe umeingia kwenye haya malumbano?!...sitaki kuamini...

Kaka sisi tusome tu hizi post....darasa tosha hili...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
Kiongozi na wewe umeingia kwenye haya malumbano?!...sitaki kuamini...

Kaka sisi tusome tu hizi post....darasa tosha hili...

najua leo utakuwa ume ni grade katika lile kundi jingineee lkn no sweat ngoja nimuadabishe mtu kwanza
 
Umbea unaniuma, uzi huo uliwekwa wapi? Siwezi kuupata kweli?

halafu pia hata wanaume waangalie watu wa kutoka nao jamani.
yaani huu uzi ilibidi mkaka wa watu aombe utolewe manake uliabisha sana na hyu da sophy anasema eti amsamehe aliweka ili kutaka kumuadabisha. mara ooh anajisifu huyu mwanaume ananipenda sana hafurukuti kwangu huoni aliomba mweneywe uzi utolewe na leo hii niko nae.

aaggggrrrrrrrrrrrrr nilitamani nivunje screen nimpige mangumi huyu mshezyyyyyyyyyyyyy.

hili lijianaume na lenyewe kama boya mweeh! bora hata msomi wa watu kajikalia pembeni hebu imagine mumeo ndo anatembea na kichaa kama huyu kweli si kukudhalilisha huku?? sijui hili likaka limelogwa ama sijui ni jinga la kuzaliwa. yaani nafkiri nina hasira hata sijui naandika nin.
 
we dada wewe

hebu niombe radhi tafadhali
yaaaaaaaaaaaaani umenidhalilisha kuniweka kundi la makahaba

pleasssssssssssssss soam post vizuri sio unarukia tu dada

skiliza mimi nime ku quote wewe na kukumention tu ila nimekosea kupunctuate ili ionekane kwamba nilikuita kukupa ujumbe juu ya da sophy na eliza wa tegeta.
lolz! yaani umefuka kama moto wa kifuuu.
 
sasa nimekuelewa mpz.......unajua mikosi inaanzaga hivi hivi

haya manungayembe si ya kuchanganywa nayo utakosa hata salamu barabarani
 
[Da Sophy] yaani utajuta this time,utatembea uchi.Yule mama akiamua kumsamehe mumewe wewe huna chako.Shwain pori wewe.Natamani ningejua username ya huyo mbaba ningehakikisha anamrudia mkewe
 
usjali mamii hata nimekwenda ku edit ili isomeke kama nilivyotaka.
hili lijianamke kenge kabisa, mwanamke hana haya, wala hajui vibaya kaumbwa na uso usokuwa na soni.
hata huyu baba anayetembea kalogwa si bure mweeeeh!

yaani kutembea na mtu low kiasi hiki ni mkosi hata kwenye kazi zako.
 
[Da Sophy] yaani utajuta this time,utatembea uchi.Yule mama akiamua kumsamehe mumewe wewe huna chako.Shwain pori wewe.Natamani ningejua username ya huyo mbaba ningehakikisha anamrudia mkewe

yaani Azote huyu baba anajitia nuksi kwa kutembea na mtu wa hadhi ya dekio lenyewe kutwa kukanyagwa tu.
wanaume angalieni hawa wanawake wengine mikosi kabisa kutoka nao.
 
Last edited by a moderator:
mwanamke akiwa na digirii anaandika ndoa kwenye karatasi halafu anaweka saini. anadhani ni mkataba wa upangaji halooooo. wenzie hatuandiki tunatenda. akasome upya au atupe vyeti havimsaidii.
Sikubaliani na wewe Da sophy siyo wote ambao wana degree hawaolewi wala hawatunzi ndoa. mm nina degree na namshukuru Mungu sina matatizo na Mume wangu. So sio wote.
 
najua leo utakuwa ume ni grade katika lile kundi jingineee lkn no sweat ngoja nimuadabishe mtu kwanza

Labda niandike hivi...nakupenda wewe mwanamke...sijakuona kwa macho lkn napenda busara yako...ila leo?! mhhh...nimeogopa kidogo...usiwe mkali hivyo baby

yaani Azote huyu baba anajitia nuksi kwa kutembea na mtu wa hadhi ya dekio lenyewe kutwa kukanyagwa tu.
wanaume angalieni hawa wanawake wengine mikosi kabisa kutoka nao.
Yaani huyu baba inaelekea pia hata huwa anaenda kumuomba msamaha mkewe,hili li Sophy limejuaje kama mmama wa watu anashindia wine?Huyu Sophy juzi katukana sana hapa anasema mbaba anashinda bar,ana kibamia basi tu anamsitiri.Mkewe kamfukuza na yeye atamfukuza.Watu si tukakumbuka tukamwambia yeye alijiona keki nae leo anachitiwa
 
Mama....muwe mnatuombea waume zenu tunapotoka asubuhi kwenda kwenye shughuli zetu za kila siku...njiani ndiyo tunakutana na watu wa hiyo sampuli...wakati mwingine inakuwa ngumu....ngumu sana mama yangu...naomba sala zako..

thanks ma broda!
ila nisamehe tu kwa leo as nataka nimwonyeshe huyu dada nini maana ya mume wa mtu.
inaumiza sana jinsi ambavyo mtu unaanza na mtu wako halafu ghafla shetani ka a huyu anaingia ni experience mbaya sana acha tu.
 
[Da Sophy] yaani utajuta this time,utatembea uchi.Yule mama akiamua kumsamehe mumewe wewe huna chako.Shwain pori wewe.Natamani ningejua username ya huyo mbaba ningehakikisha anamrudia mkewe

tutamuanzishia thread atajulikan tu. mke na mume lazima warudiane afu tuone, mi nafikiri tufanye hii kazi
hili li da sophy kwanza limesha expire
 
Mama....muwe mnatuombea waume zenu tunapotoka asubuhi kwenda kwenye shughuli zetu za kila siku...njiani ndiyo tunakutana na watu wa hiyo sampuli...wakati mwingine inakuwa ngumu....ngumu sana mama yangu...naomba sala zako..

sala utapata usijali ila pia jitunzeni sana. hawa ni mikosi nawaambia.
 
Yaani huyu baba inaelekea pia hata huwa anaenda kumuomba msamaha mkewe,hili li Sophy limejuaje kama mmama wa watu anashindia wine?Huyu Sophy juzi katukana sana hapa anasema mbaba anashinda bar,ana kibamia basi tu anamsitiri.Mkewe kamfukuza na yeye atamfukuza.Watu si tukakumbuka tukamwambia yeye alijiona keki nae leo anachitiwa
huyu sophy sio mzima kichwan nawaambia.
 
Back
Top Bottom