we Da Sophy huna jipya,juzi umekuja unalialia hapa jamaa kakucheat,tena ukawa unasema jamaa ana kibamia,huo ni mwanzo tu cinema kamili inakuja utajuta na hiyo mitoto yako.
naombeni samare mmemfikisha wapi huyu ngumbaru jameni. nna kikao cha posho kinanitoa jasho hapa nasaka hela ya kumhonga Paw wangu easter holiday. mwenye kisu kikali anakula nyama mwanawani. ntampa na chabge amgee na Da Sophy walau wenetu wasitembee makalio nje. cheizeya digirii kadhaa hahaha
Hii sredi inaburudisha kuliko hata mech ya jana ya madridi. Walikuwa wanacheza na timu flani siikumbuki tena
Nikugawie soda na popcorn? Mechi kali san hii
chezea!
ahahhahahhahhha mwenye kibamia chake anajua jinsi ya kukikamulia limao kinatutumuuuuuuka!
ye anakuja na mikelelle hapa!
niijua ana jeuri japo ya unyago wa kike!
kumbe mtu mwenyewe MSUNGO!hana somo hana kungwi.
kazi kuoga wima tu hata chutamo la kike halijui!
ala!
wenzie tuna degree zote kudadeeeki !aje hapa
Natamani hiyo thread mungeiona,atakuwa aliifuta.Kinachoshangaza yeye kamchukua jamaa,lakini kutwa kumfuatilia dada wa watu,mara anashindia wine yeye anayajuaje?aisee dunia haina hurumachezea!
ahahhahahhahhha mwenye kibamia chake anajua jinsi ya kukikamulia limao kinatutumuuuuuuka!
ye anakuja na mikelelle hapa!
niijua ana jeuri japo ya unyago wa kike!
kumbe mtu mwenyewe MSUNGO!hana somo hana kungwi.
kazi kuoga wima tu hata chutamo la kike halijui!
ala!
wenzie tuna degree zote kudadeeeki !aje hapa
Naona pamechafuka hapa.
mpeni vidonge vyake huyo mwizi wa ume za watu, hana hata aibu, uibe uje kujigamba huku, nyambafu zake kbs.
da sophy ungekuwa na wewe ni mwanamke kweli ungekuwa na mume wako sio kuparamia waume za watu, naona hujitambui kbs mwombe Mungu wako afungue ufahamu wako.
Azote ana bahati..........Natamani hiyo thread mungeiona,atakuwa aliifuta.Kinachoshangaza yeye kamchukua jamaa,lakini kutwa kumfuatilia dada wa watu,mara anashindia wine yeye anayajuaje?aisee dunia haina huruma
hahahahahhahah kifua anacho?mwali chutamo la kike nalo kipaji atii na si wote wamejaliwa.
anakazi ya kukinanga kibamia cha mwenzie ilihali mwenye nacho kinamkoleza.
aje hapa kwanza nimfunde siri za kike.
mwanamke kigego huyu msungo wa kimakonde nyambaffff zake.
Hahahahahahahahahahahahaha
anakuja muda si mrefu anawalisha wanae!
Aseeeeee!!!chezea!
ahahhahahhahhha mwenye kibamia chake anajua jinsi ya kukikamulia limao kinatutumuuuuuuka!
ye anakuja na mikelelle hapa!
niijua ana jeuri japo ya unyago wa kike!
kumbe mtu mwenyewe MSUNGO!hana somo hana kungwi.
kazi kuoga wima tu hata chutamo la kike halijui!
ala!
wenzie tuna degree zote kudadeeeki !aje hapa
tukiwa kazi kama hizi huwa hatunaga utani ujue!Aseeeeee!!!
Duh!!!
zitawapalia sana degree za watuwakipata hata kama za kufanyiwa research utawasikia hata mimi nina degree,kumbe degree ya kiuno
Ombi kwa modd lile rungu la BANN liwe pembeni