Digirii haitunzi mume

Digirii haitunzi mume

Da Sophy bana sasa unakuja na ID nyingine ili iweje??
so far nani alikuwa na flirt na huyu hawara wako??
Teacher,mimi mwenyewe ndo nimejua kumbe jamaa kiwembe,hahahaha Da Sophy atakufa kwa pressure.Mwenye mme katulia tuli na wine zake,Amuwache miaka 1000
 
Na huyo mume wa mtu utamtema tu

Nakwambia hivi hapo hakuna chochote, hakuna mapenzi wala nini

laiti kama kungekuwa na mapenzi usingemuanika huyo mume wa mtu hivyo

halafu eti unajisifia kaomba amani, sijui kaomba msamaha!!!!!!!!!!kha

Umeona uchungu wa kuchitiwa ulivyo? sasa hapo ni hawara, angekuwa mume si ungekata roho????
 
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.

eti umeokota huna haya malaya wewe..............
tena usijishaue hapa na hii ID yako ya Eliza wa Tegeta yaani leo zote lupango kesho njoo na nyingine tena uone.
 
Last edited by a moderator:
Jamani eeeeh. Cha kuokota si cha kuiba sawa jama. Yule kule anatamba kamtimua mumewe kumbe kabaki na wine. Mi nkajiokotea zangu. Ye kasusa miye nala nna kosa gan? Nimekumbuka hata juzi maneno niliyomtupia baba wa watu hapa hadi machozi yamentoka, samahani laaziz ni hasira tu. Manake ningempiga chini kweli si ajabu leo tungekuwa na msiba mana hana pa kwenda zaidi ya hapa kwangu. Kwanini nipate dhambi bure. Chapa kazi baba watoto wangu na uwe na amani. Ukimaliza kazi njo nyumbani nakusubiria laaziz uskonde wala nini. Watakufa na kijiba cha roho.
mh

hallluufu, hallluuuuffffu....

hebu kaoge kwanza
 
hicho kimbelembele chako ndio kimefikia mwisho sasa

hapo ndo breki ya mabarazuli kama wewe, waibaji wa waume za watu

kama ulivyomuiba mume wa mwenzio na wewe unaibiwa.......hiyo inaitwa NGOMA DROO
 
We ndio umekula hasara shosti

mume wa mtu kakuzalisha na atakudampu, tena very soon,

shule hujasoma, mume wako huna

utabaki kuwa single mother ndani ya muda mfupi ujao

na kibaya zaidi mume ameshaanza kurudi kwa mkeweeeeeeeeeee

kama kujinyonga we jinyonge tu

huyo ni mkewe wa ndoa wewe ni hawara tu, jina lako limeandikwa kwa penseli
 
He he he, tena hii ya kuchukua wamme za watu nataka iwe eria of speshilaizasheni

hahaha, soma shosti. mume atahamia kwa kahaba kama Da Sophy na sarakadi zote ila digirii haitokuacha kamwe. mwenzioa nasoma post-doctoral digirii nna mchezo? nna masters ya chumbani, digirii ilikuwa ya jikoni na phd ofisi. nasomea digirii ya kuvhukua waume za watu saa hizi. maliza risechi hapo tuje kutesa na vingereza vyetu, zombi mwenyewe atabloo.
 
Mbona mnamshambulia sana mwanamke mwenzenu?
Nyie ndo mlochukuliwa mabwana zenu nini?

watoto wa kike wa siku hizi hata haibu hamna.
Mnajisifu kwa kuyajua sana, mbona Da Sophy anaendelea kuwabeba waume zenu sasa?!
Ebooo!!!:A S 39:

we nawe hujaolewa na wala hujui maana ya ndoa

hebu kaa kando kwanza tupishe wenye ndoa zetu

majukwaa kama haya hatutaki watoto wadogo

au nawe mwanachama wa nyumba ndogo nini
 
He he he, tena hii ya kuchukua wamme za watu nataka iwe eria of speshilaizasheni

halafu namshangaa eti anaona wivu watu waki m-pm, huyo hawara wake,
wewe mtu sio mali yako, sasa wivu wa nini??
acha na wenzio wazalishwe kama jinsi ambavyo wewe umezalishwa ama afikiri wenzio hawapendi kufaidi utam wa kibamia??
 
Mwizi anaogopa kuibiwa kuliko mtu yeyote

Huo uzi wa kibamia sikuuona, ila kama ni kweli hii ni 'mental case'
Huwezi mvua nguo hadharani mzazi mwenzio, no matter what

Hivi we da sophy kama mzuri kweeeeeeeeli kwa nini uhangaike na waume za watu

ingekuwa una hata chembe ya mvuto basi leo ungekuwa umeposwa na ungekuwa na mume wako

huko kukosa wa kukuposa inonyesha jinsi gani ulivo nungeyembe

huna lolote............huna shule..........huna sura............huna mume.............ilimradi mikosi mwanzo mwisho
 
mwache mama watu apumuwe na mume wake

vimada kama nyie ni msimu tu ukipita basi, wife yuko pale pale

ndio ujue thamani ya ndoa..........na huyo mume atarudi kwa mkewe ndio utasoma namba my dear
 
Mwizi anaogopa kuibiwa kuliko mtu yeyote

Huo uzi wa kibamia sikuuona, ila kama ni kweli hii ni 'mental case'
Huwezi mvua nguo hadharani mzazi mwenzio, no matter what
halafu pia hata wanaume waangalie watu wa kutoka nao jamani.
yaani huu uzi ilibidi mkaka wa watu aombe utolewe manake uliabisha sana na hyu da sophy anasema eti amsamehe aliweka ili kutaka kumuadabisha. mara ooh anajisifu huyu mwanaume ananipenda sana hafurukuti kwangu huoni aliomba mweneywe uzi utolewe na leo hii niko nae.

aaggggrrrrrrrrrrrrr nilitamani nivunje screen nimpige mangumi huyu mshezyyyyyyyyyyyyy.

hili lijianaume na lenyewe kama boya mweeh! bora hata msomi wa watu kajikalia pembeni hebu imagine mumeo ndo anatembea na kichaa kama huyu kweli si kukudhalilisha huku?? sijui hili likaka limelogwa ama sijui ni jinga la kuzaliwa. yaani nafkiri nina hasira hata sijui naandika nin.
 
Back
Top Bottom