snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,320
hakya nani tena mbona huyu Da Sophy harudi??
mwanamke mwenyewe sura kama barabara ya moramu hata apake lukaria bado atakwaruza.
lukaria la kimasai hta liwekwe maji ya vaseline !linadunda !
angekuwa mwanamke kweli si angekuwa na wake wa kuibwa na yeye!
wacha apigwe mimba kila uchao!
sisi na shule zetu twala raha tu sa hz!
wine hainyweki kwa asiyejua maana ya wine!