ndo tatizo la digrii hili
na akitaka tumuonyeshe niaje niaje pale kati mods wahamishe jukwaa!hahahahahah! wine nanywa kitu strawberry lips, G&T napata kazi nafanya na ndoa inapepea kila siku iko paradiso.
bahati nzuri ama mbaya ni degree za shule na za kitandani nina masters ya sexology, nina phd ya vibration na mafyonzo. nina BSC ya orgasmiology na g spotting unalo la ziada??
WEWE UKISEMA UNAYAJUA MAPENZI MIE NTAKWAMBIA NAJUA KUT.OMBANA.
na we usiturudishie visirani hapa!
uliona degree ulioa mke!
kama ulioa degree kitanda chenu kipo yombo au nkurumah hall
kama ulioa mke kitanda chenu mahaba yenu hutaki kaaa kushoto!
Halafu wewe. Unajua thaman ya mimi kuku miss? Ntamwambia kaka. Halafu ile mambo ya jana inaendelea kuwa ngumu ujue. Sijajibu
we na we ni mBAAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH! ahahahaahha kuhus kunimiss hili nalitambua sana!
ubishi tu tabia yangu!
Niliapa sitaoa mwanamke ambaye hakusoma!! Ninaheshimi elimu yake na yeye anaheshimu yangu! Maendeleo yangu yote kimaisha (kazini, elimu zaidi, social relations, etc) kwa mchango mkubwa umetokana naye. Always ukishaweza kumsoma mtu na kumuelewa hakuna shida. Nakuhakikishia kama hujamsoma vizuri mke/mume wako na ukamuelewa basi jua utaishi naye maisha magumu sana na ndoa itakuwa ndoana na maendeleo sifuri. Make her CEO hapo nyumbani, mbona utaishi kwa raha!! Wanawake wengi wanakuwa submissive kwa waume zao just how you treat her well hasa kwa maneno ya kumkuza na si kumdhalilisha!!
na we usiturudishie visirani hapa!
uliona degree ulioa mke!
kama ulioa degree kitanda chenu kipo yombo au nkurumah hall
kama ulioa mke kitanda chenu mahaba yenu hutaki kaaa kushoto!
elimu ni mkombozi kwa mwanamke bahati mbaya pamoja na mazuri yote inayo weza kuleta bado haijawasaidia baadhi walio kariiri vyema "handout za profesa mgongo" na kufanikiwa kupata digrii.
Hahahaha! Nlichojifunza leo sitathubutu kuwabeza wamama wa JF wenye digrii zao. Wana mipasho kuliko Khadija Kopa lol
Mpaka watunzi wa taarab wameingia mitini.... Chezeya vitabu wewe?
weweeeeeeeeeeeeeee, hapa tunajua anatusoma tu hata kama akiwa invisible...ha ha ha ha, umenichekesha ujue?
Ila hata mie nimewavulia kofia.
Heh, wanasuta hadi kivuli.
usisahau kuwa degree yangu ya pili ni ya linguistics,sasa hapa hata aje na id gani!nitamjua tu kwa mistari atakayokuwa anatambaa nao chezeya socio linguistics wewe!weweeeeeeeeeeeeeee, hapa tunajua anatusoma tu hata kama akiwa invisible...
yaani mume atuibie na kukesha kwetu akuone hakuna maana?
nakuambia na mipasho yake yote hapa hatarudi, labda kwa ID nyingine
usisahau kuwa degree yangu ya pili ni ya linguistics,sasa hapa hata aje na id gani!nitamjua tu kwa mistari atakayokuwa anatambaa nao chezeya socio linguistics wewe!
Wachaga tumeujua umuhimu wako ndio maana tukakuchukua jumla
na we usiturudishie visirani hapa!
uliona degree ulioa mke!
kama ulioa degree kitanda chenu kipo yombo au nkurumah hall
kama ulioa mke kitanda chenu mahaba yenu hutaki kaaa kushoto!
Easy easymhhhh! Taratibu mamaa snowhite et al, duh manake leo mmeamua, kwa maneno na misemo hii! Yaani unabaki kusema kumbe na wenye 'degree' wanaweza eeh! Leo utajuta kuwabipu wanawake wenye 'degree' wa JF, ni watakupigia wao tena kwa style ya bhaaang ya TiGO wa twanga kote kote!
Duh anyway jokes aside big up sana wanawake woooote wa JF ofcourse wenye 'degree' zao. What you are doing is simply teaching or rather reminding some little b.i.t.c.h. kuwa na staha akionewa huruma na kuonjeshwa na mume wa mtu na kamwe asifurahie kumtenda ubaya mwanamke mwenziwe, na wala asijisifu na kutangazia umma kwamba sasa yeye ndie mwenye 'hati miliki' wakati yeye identity yake ni mwizi tu anytime anywhere, no matter the language used.
Daamn! ladies wa JF wote wenye 'degree' zao mmenikosha haswa! Na tusipoangalia huu uzi unaweza vutika hasa kwa uchangiaji
nimesema haya coz I cherish and like family stability, hata kama kuiba kupo lakini kuhalalisha wizi ni kutumia kilicho katikati ya miguu kufikiri na kuamua
nite nite people