Digidigi wa mapenzi.

Digidigi wa mapenzi.

Point yangu ni hii ke wazuri wengi huko nyetini ni wabovu mno kutokana na kutumika sana. Hao sura za remi kidogo wana ahueni
Nakuelewa vizuri, lakini ndo nakuambia hiyo ni mindset ya watu wenye exposure, ila kuna kundi kubwa la wanaume hawajali sana muonekano, wao wanaangalia urahisi wa kupata K,
Ni kama porini Simba na chui wanawinda fresh meat, wakati fisi yeye chochote kilichombele yake ni halali yake

Nb: Mwanamke yoyote yule kwenye simu yake hakosi wanaume chini ya watatu wanaomsumbua kuomba mzigo regardless ya muonekano wake
 
Minnie katika jumlisha na toa!! Dogo utafika mbali, endelea kulisongesha😄
 
Nakuelewa vizuri, lakini ndo nakuambia hiyo ni mindset ya watu wenye exposure, ila kuna kundi kubwa la wanaume hawajali sana muonekano, wao wanaangalia urahisi wa kupata K,
Ni kama porini Simba na chui wanawinda fresh meat, wakati fisi yeye chochote kilichombele yake ni halali yake

Nb: Mwanamke yoyote yule kwenye simu yake hakosi wanaume chini ya watatu wanaomsumbua kuomba mzigo regardless ya muonekano wake
Naunga mkono hoja
 
Ukiwa wa hovyo unapata mke wa hovyo ukiwa mwanaume kuwa spesho upate mke bora siyo bora mke
 
Kwani huwa mnatakaje?
Screenshot_20260906-204420~2.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom