min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,616
- 168,938
Kwa vijana wa kiume, acha kupenda wanawake wabovu wa sura na umbo , wao vigezo vyao ni pesa , hivyo jichimbie ,saka pesa , ukizisaka tafuta mwanamke mzuri wa sura na umbo.
Kwa wanawake acha kusaka wanaume kisa tu ana pesa bila kufikiri future ya mtoto utakae zaa nae inakuaje 🤔
Wadada wajinga wapiga pesa ,ndio wanatuletea mabinti , ambao kuwasifia uzuri wao lazima uhusishe imani za kidini na uungwana.