Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,012
- 5,613
Umeona? We mwache tu, dawa yake naijua.Huu ni udhalilishaji wa kijinsia
Umeona? We mwache tu, dawa yake naijua.Huu ni udhalilishaji wa kijinsia
Wapi sasa kwa boys au girls?
yaani jamani umenichekesha,naimagine ningekuona face2face unavyomwambia hauitwi hvyo....sio buforo ni boflo.....usije ukaniita buffalo....lol
boflo na buforo wapi na wapi.....
mijitu mingine ya ajabu sana!