DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

Kaka hapo mbona Pagumu kidogo, maana kama hao ni magiant basi hata uume wao pia ni mkubwa kuendana na size ya miiki yao, waliwezaje kuwaingilia wanawake wa kawaida na kuwapa mimba?
kituko, Kwanza watu/binadamu wa kale walikua na maumbo makubwa sana, ukiachilia mbali hao jamii ya (MAJITU) pia wanadamu wa kawaida tu, wa enzi izo walikua na miili na maumbo makubwa hivyo ilikua rahisi pengine kufanya mapenz na hiyo mijitu.

Lakini pia hao giant ni miroho ambayo pia ingeweza kuwaungilia binadamu kwa njia tofauti tofauti, kwani majini yanauwezo wa kujigeuza kivyovyote kwaiyo hata kama walikua na maumbo ya kutisha pia wangeweza kujigeuza kuwa mfano wa binadamu kama hao waliyokuwepo enzi hizo, kwahiyo inawezekana kabisa.
 
We jamaa muongo sana.
 

1. Hata kama unasema hao Binadamu wa Zamani walikuwa ni wakubwa bado hawakuwa wakubwa kuliko hao majitu, na ndio maana tofauti ilionekana kati ya hao Binadamu wa kawaida (Wanawa watu) na hiyo mijitu

2. Kumbe hao Majitu yalikuwa ni Miroho, so walijigeuza na kuwa size ya kawaida ya watu waliokiwepo na kifanya nao tendo la ndoa
 
Dinosaurs walikuwepo kweli...hata ushahidi wa fuvu lao lipo china na Afrika

Lakini Donosaurs sio wanyama ila wapo kwenye jamii ya Ndege na wanaruka.

Dinosaurs kamwe hawatemi moto...waliokuwa wakitema moto ni Dragons.
 
Dinosaurs walikuwepo kweli...hata ushahidi wa fuvu lao lipo china na Afrika

Lakini Donosaurs sio wanyama ila wapo kwenye jamii ya Ndege na wanaruka.

Dinosaurs kamwe hawatemi moto...waliokuwa wakitema moto ni Dragons.
Mkuu naongelea BEHEMOTH sio dinosaurs..... Huyo mnyama ameongelewa kwenye AYUBU 40....kwamba ana mbavu za chuma na mkubwa kma mnazi na anatema cheche!!! Huenda ni tofauti na dinosaurs maana sio kwa maelezo yale ya job!!
 
Mkiamini bible mtapotea tafuteni vitabu vizito vilivyofichwa,tatizo hamjishughulishi kuvitafuta,wale walojiunga na forum ya quora kuna nondo kule za maana mtajua haya vizr.
Mkuu Tanzania 80% wanaamini vitabu vya dini ndio shida ukiwaletea mada ya asili za wanadamu bila reference kwenye vitabu vya dini wanaishia kukupinga tu kisa mahaba ya kiimani!!

Nakumbuka kuna mtu aliwahi kuleta mada kuhusu asili ya wazungu akaitoa mada kwenye vitabu vya kihistoria wakaishia kumuita freemason na mpotoshaji na hawakuchangia mada zaidi ya kumtukana mleta mada hao ndio watanzania

Hata mshana jr alileta mada kuhusu lilith ila kwa kuwa hakuweka reference kutoka kwenye bible hadi baadae kabisa hoja ile ilipingwa sababu tu haipo kwenye Quran au Biblia!!!

Hivyo ili hawa wafia dini waweze kuona sense kwenye mada ndio maana kila thread nayowekaga hmu lazima nitafute some dots kwenye biblia au quran ili wafia dini waone mada ina uhalali wa kujadiliwa!!! Otherwise wangeshaniita pandikizi la shetani 😀😀!!
 
Umewasahau wale wa lindi wakiongozwa na mkuu wao WINJI BIN UNYUKI walikua na urefu takribani mita 8... Mpaka leo makaburi yapo jaribu kudadisi..
Pia kule morogoro milimani kuna nyayo kubwa sana ipo kwenye jiwe karibu na camp kubwa ys maskauti wanapaita morning site... Nishawahi fika na kuishuhudia wakati wa harakati za kiskauti miaka hiyo....
 
tunaambiwa walikua watoto wa MUNGU, kwa kipindi hicho wakizubgumzia watoto wa MUNGU walikua wanamaanisha malaika.

Na malaika wanauwezo wa kuuvaa mwili wakawaida kabisa wa kibinadamu, tunaona wale walio mtokea Ibrahimu wakati wa hali huko karibu na mialoni ya mamre alipoluwa ameketi malangoni mwa hema yake .

Ukisoma ule mstari wa 16 sura ya 18 kitabu cha mwanzo, biblia inatuambia "kisha watu hao wakaondoka huko wakaelekeza nyuso zao sodoma "

Lakini ukiendelea kusoma unagundua kwamba hawakua watu walikua malaika ila walioamua kumtembelea Ibrahim kwa maumbo ya kibimadamu.


Hivyo kumbe hata hayo majitu yaliweza kuja kwa wanadamu kikawaida kabisa yakiwa umbo la kibinadamu la kawaida sawa na wanadamu wa enzi hizo.

Na inawezekana kabisa ukuaji wa mimba na kuzaliwa watoto ilikua kawaida tu, ila huenda mabadiliko ya maumbo ya watoto wa (MAJITU) yalianza tu mara baada ya watoto hao kuzaliwa.
 

Ni kweli malaika kama malaika au ROHO yeyote hawezi kuzalisha sababu haikuumbwa kwa sababu hiyo ila mwili unaweza kuzalisha sababu uliumbwa kwa kazi hiyo na ndipo mjadala unapoaanza.

kutokana na ushahidi wa kibiblia (sijui imani yako utaniradhi) tunaweza kuona mwandishi wa kitabu cha Yuda ambaye alikuwa kaka yake Yesu anaongelea kisa hiki cha malaika kuwaingilia wanadamu,twende pamoja

Waraka wa YUDA
6 Na malaika wasioilinda enzi yao wenyewe, lakini wakayaacha makao yao yaliyowahusu, amewaweka katika vifungo vya milele chini ya giza kwa hukumu ya siku ile kuu.
7 Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele
.

Hapa tukisoma tunaona wazi mwandishi anafananisha dhambi waliofanya watu wa sodom ya uzinzi kma walivyofanya wale malaika.... Neno JINSI MOJA NA HAWA.... Linaweza kusummarise kuwa iliwezekana malaika kuwaingilia wanadamu na kuwazalisha viumbe na watafiti wengine wanadai ndio moja ya sababu Mungu aliamua kufuta uzao huo kwa gharika ila Yuda hapa anaelezea kuwa malaika hao kwa sasa wamefungwa kuzimu hivyo kuna uwezekano kwa sasa hawana uwezo huo wa kuhamisha asili yao kwa mwili kama walivyofanya kwa WANEFILI

2. Nadharia ya pili malaika kuvaa mwili wa binadamu ili aweze kuzalisha however swali lako linahoji kivpi anaweza hamisha genes zake

Kwa maoni yangu binafsi nachoona kuna uwezekani mtoto asiwe na gene yoyote ya kimapepo/kimalaika sababu mwili umezaa na mwili ila MAKUZI yanaweza kumbadilisha huyo mtoto kuwa wa mazingara..... Mfano mtoto aliyezaliwa kibinadamu akachukuliwa na wachawi lazima atakua tofauti na mtoto wa kawaida maana atapandikizwa matambiko ya ajabu yanayomuwezesha kupaa...kuyeyuka....kuua....nguvu za ajabu n.k

Hivyo kwa nadharia hii ya pili hao wanefili wanaweza kuwa walizaliwa kwa malaika kuvaa miili ya binadamu wengine na watoto walizaliwa kma wanadamu tu ila makuzi mfano waliwafanyia matambiko.... Walihamishia mapepo yao mengine humo..... Waliwapa nguvu zao n.k mwisho wa siku miili yao ikabadilika ikawa ya kimazingara maana mfano kma leo hii mchawi anaweza akakuotesha busha...tumbo n.k kwa nni tusiamini hao MALAIKA walikuwa na uwezo wa kuwapa urefu wa ajabu... Nguvu za ajabu nyingine kma leo hii tu wachawi wakawaida wanavyoweza kuotesha viungo flani vya mwili

Sijui it makes sense now ila all in all nakubaliana na ww malaika HAWEZI kumzalisha mwanadamu ila inawezekana kwa exception nlizotaja hapo juu

Ni hayo tu labda tuwaite na wajuvi wengine watusaidie

Cc : SALA NA KAZI @Malcom Lumumba [USER=113939]Palantir hearly Eiyer Kudo900 Mshana Jr[/USER]
 
poa tuu haina kwere na noma. Yani hata mimi kunitag tuu.

Jestkilla
 
Mkuu mvyosema malaika hawawezi kuzaa na mtu sababu ni roho mpaka wawe na mwili wa kibinadamu,
Vipi kuhusu majini mahaba wanaoingilia watu ndotoni? Tena inasemekana wengine wanazaa kabisa watoto na binadamu..
Majini nao si roho?
 
Wadau niliwahi soma kwenye kitabu flani hivi, kulikuwa na mimea ambayo ilikuwa na km mikono au tentacles mfano wa pweza ilikuwa ukipita karibu inakukamata na kukufanya msosi. Kuna vitabu out of bibble viliandikwa kuhusu haya mambo. Kila siku huwa najiuliza kuna Majengo yako Thailand, India, Vietnam yaani tofari moja km corolla, nani alikuwa na uwezo wa kubeba kwa miili yetu hii bila Nyenzo za Kisasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…