sam leon
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 890
- 1,191
Mkuu kwenye biblia mtu alieishi miaka mingi ni Enoko, na umri wake unakadiriwa ulifika miaka 900 na zaidi kidogo. ila haikufika elfu mojaNi kweli mkuu hii hoja yako hata mafuvu ya wanyama wa zamani sio kma ya hawa wa sasa sielewi kwanni
Mfano kwenye bible Ayubu anamuongelea mnyama anaitwa BEHEMOTH ambao wengine wanadai ni dinosaur.....huyo kiumbe kwa maelezo yake anasema ndio mnyama mkubwa duniani na alikuwa na mifupa kama CHUMA na anatema cheche!!! Hao wanyama sahvi hawapo sijui wametoweka wapi.... Ipo Ayubu 40 sura nzima anamsifia mnyama huyo
Ukijuliza sana mwanadamu kuishi miaka 1000 kweli sio jambo la kitoto lazima mwili wake uwe ''umejibeba'' haswaa ili aweze kuhimili magonjwa na mabadiliko ya hali ya hewa kwa miaka yote hiyo