Hao malaika walikuwa na miili kama yetu...Hawa watu (MIJITU) asili yao ilikua ni malaika waasi ambao waliwatamani wanawake wa kibinadamu wakaja kufanya nao sex na baada ya hapo ndo ikaanza kuzaliwa mijitu hii mikubwa (GIANT) na inavosemekana hawa jamaa walipenda sana uasherati na mambo mengine mengi ya kumuudhi MUNGU na ndipo hapo MUNGU akaamua kuwaangamiza kwa galika ya Noah.
Lakini sina hakika kama waliangamizwa wote kipindi cha noah kwasababu kama ingekua wameangamia wote basi tusinge wasoma kwa Joshua huku kanani.
Mkuu nimekisoma ila kuna tofauti ya kusoma na kuelewa!! Nimekielewa tu pale mwanzoni yaani book of watchers alipoengelea wale malaika walioasi ila kule kwenye VISIONS zake sijaelewa kabisa maana anaongelea mambo mazito ya kiunabii labda utupe mchanganuo kidogo ulichoelewa na ssi tujifunze coz it's complicated hasa kule mwishoniMimi msomaji na najifunza hapa kutoka kwenu..........!
Hivi kitabu cha Henok umekisoma ???
Biblia inasema yesu alizaliwa japo kwa miujiza, hamna sehemu roho ya yesu iliingilia mtu, bali alizaliwa na mama yake alipata mimba..Mkuu maraika ni roho, wanauwezo wa kuvaa mwili wa mwanadam. Wwkishavaa basi wanaweza fanya yote sisi tunayofanya. Mfano mzuri ni YESU!
Wewe umekielewa basi tu unazingua hapa....!Mkuu nimekisoma ila kuna tofauti ya kusoma na kuelewa!! Nimekielewa tu pale mwanzoni yaani book of watchers alipoengelea wale malaika walioasi ila kule kwenye VISIONS zake sijaelewa kabisa maana anaongelea mambo mazito ya kiunabii labda utupe mchanganuo kidogo ulichoelewa na ssi tujifunze coz it's complicated hasa kule mwishoni
hahaaaHujajibu swali hata wewe kwa kutumia kiwango chako cha elimu ya sunday school, bado huwezi kujibu swali langu, jibu swali twende sawa.
hahaaa "" kama paja lako kwa Me ..na kama mfano wa sufuria ya kupika kg1.½ kwa KESipati picha genital parts zao zilikuwaje
Jamani nyie wenzetu biblia hua mnaisoma vp?Biblia inasema yesu alizaliwa japo kwa miujiza, hamna sehemu roho ya yesu iliingilia mtu, bali alizaliwa na mama yake alipata mimba..
Nataka nijue process ya kuupata mwili kwa hao malaika, roho ziliingiaje kwenyr miili na kufanya watakayo??
Asante mkuu"" hizi nondo sio mchezo "" kwakweli sijutii kufunga ndoa na hili Jukwaa""Nadhani ukisoma vitabu kadhaa utaona dunia mwanzo ilikuwa ni moja bila kuwepo mabara hivyo ikarahisisha wakazi wake kuhama bila shida kwa kutumia ngamia na punda (vitabu vya dini vimeeleza baadhi ya misafara)ambayo leo ukiona jinsi dunia ilivyo utajiuliza walifikaje kwa usafiri wa punda na ngamia?
Tunasoma kwamba baadae kulitokea tetemeko lililoigwanya dunia vipande vipande ambavyo leo tunaita Mabara
Kifupi ni kuwa mkiwa eneo moja mtachangia hali ya hewa moja na mtazoea mabadiliko yake lakino ukihama kwenda eneo jingine lazima mwili wako utakabiliana na changamoto
Hivyo basi niseme kwamba wakati dunia inaumbwa ilikuwa moja kabla ya kugawanywa vipande na watu kujitenga kimabara baada ya kupata elimu so nadhani huko ndo kutanuka kwa dunia yaani ilisogea baada ya mpasuko ule tunaoambiwa na wanasayansi wetu
Nadhani umenielewa kama bado basi ngoja usingizi uniishe kesho tuelewashane
Asalaam kudo
Mkuu zile vision sio mchezo maana anaongelea malaika sijui majini na usomaji nyota kma haupo deep na maarifa huwezi kung'amua hata concept moja ndio maana kuna sehem nliachwa njiapandaWewe umekielewa basi tu unazingua hapa....!
Hahaha mkuu UMAGA amna kitu pale bora ata KHALIIKuna jamaa Alikua anapigana mieleka anaitwa UMAGAAAAAAA
Mkuu umeshawahi ona mtu akiwa na mapepo?? Je yanaingiaje ndani ya mtu anyhow??Biblia inasema yesu alizaliwa japo kwa miujiza, hamna sehemu roho ya yesu iliingilia mtu, bali alizaliwa na mama yake alipata mimba..
Nataka nijue process ya kuupata mwili kwa hao malaika, roho ziliingiaje kwenye miili na kufanya watakayo??
Mkuu zile vision sio mchezo maana anaongelea malaika sijui majini na usomaji nyota kma haupo deep na maarifa huwezi kung'amua hata concept moja ndio maana kuna sehem nliachwa njiapanda
Mkuu Mhe.Professor... Kiukweli nimetumia biblia tu pamoja na mythology nyingine kwa kiasi kikubwa kwa sababu moja kuu kwamba makabila mengi duniani kila mmojawapo lina story ya uwepo wa mtu mwenye futi zaidi ya 40?? Jamii zaidi ya 30 kuendana na nlipotafiti inaonyesha waliwahi shuhudia uwepo wa watu wa aina hiyo maeneo yao ndio maana inajenga taswira kwamba huenda hawa watu walikuwepo kweli sabab haiwezekani jamii za mexico mpka japan ziwe na michoro ya majitu haya ya kale kwenye fasihi zao haiwezekani wote wawe wamepotosha!! So its not credible source but it makes sense a bitHaya sawa mkuu....
Chanzo chako kikubwa (Credible Source) kinachozungumzia haya majitu kinachokubalika na wanataaluma wengi ni kipi ?? Au umetumia ushahidi wa Kihistoria, Biblia na Kurani pekee yake ??
Ndo maana nilisema ya kuwa stor ya mtu huyu ni pana sana tena lakini kuna watu wanajua ila waliamua kuipotosha ili Afrika tusiwe na cha kuzungumza kuhusu Biblia na QuranDuh nashkuru kwa darasa ila kwa upande wangu story ya huyu Unju Bin Unuq nliwahi kusimuliwa kidogo na mtu wa pwani alidai huyu jamaa alikuwa anaishi pwani ya afrika mashariki na ndio aliyemsaidia Nuhu kujenga safina kwa kumletea mbao ngumu kutoka afrika ya kati (DRC ya sasa) maana mashariki ya kati ilikuwa na asili ya jangwa hivyo jamaa alichukua miti huku na kuifanya mbao na kuwapelekea nuhu wajengee safina
Pia wanadai kwakuwa wanadamu walimuona Nuhu kma "mzinguaji" sababu alikuwa anawaambia habari za waache madhambi n.k kila wakitaka kumvamia kumpiga au kumsonga songa basi huyu Unju bin unuq alikuwa anajitokeza kumkingia kifua wengine wote wanakuwa wapole
Simulizi hiyo inaishia pale wakati wa gharika wanadai kwamba kwakuwa yeye alikuwa sio uzao wa asili wa kibinadamu(huenda uzao wa malaika/majini) hivyo asingekuwa msafi kuwepo baada ya gharika hivyo baada ya KUFUNGA mlango wa Safina basi alijua wakati wake wa kufa umefika
Ila advantage aliyopewa ni kwamba hatokufa wakati wa gharika ila alikufa mwanzoni kabisa kabla ya gharika lile kushika kasi.....inadaiwa wakati mvua inaanza yeye aliteleza kwenye ardhi yenye matope tope ukanda huu wa afrika mashariki(wakazi wanadai mtwara) na mwili wake kupigizwa kwenye bahari hivyo mwili wake upo baharini kuendana na simulizi hii na wengine wanadai unyayo wake ambao ulitengeneza kma bonde upo huko mtwara
Naweza kubaliana na kisa hiki kuliko hicho cha wayahudi kinachosema alipona gharika sababu haiingii akilini gharika na maji kujaa siku zaidi ya 120 huyo mtu apone kumbuka kulikuwa na upepo.... Mawimbi.... Radi..... Mavolcano n.k sioni kivp angepona hayo mapito!!! Kingine angekosa chakula lazima sababu bahari ilichafuka angekula wapi?? Mizoga ya wanadamu??
Kuhusu mfalme ogu ni kweli alikuwepo ila sidhani kma ndie huyo huyo mmoja na Uj sababu mfalme ogu alikuwa ni muamori mtoto wa canaan mjukuu wa ham na kitukuu cha Nuhu ila hyu UJ alikuwepo kabla ya gharika hivyo sidhani kma angehusishwa na kabila moja tu
Wajuvi zaidi mtupe story ya LIJIMTU hili la ajabu kuwahi kutokea
Cc Mitha
Vp kule kwa kiranga umetoka?hahaaa
hahaaa ..ndugu yako huyu haumuhitaji tena ""?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
kule mimi nilipita tu mkuu"" zile topic nilisha zifuatilia mnoo mkuu"" so kwa upande wangu sikuona kama kule kuna jipya zaidi""Vp kule kwa kiranga umetoka?