DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

Hawa watu (MIJITU) asili yao ilikua ni malaika waasi ambao waliwatamani wanawake wa kibinadamu wakaja kufanya nao sex na baada ya hapo ndo ikaanza kuzaliwa mijitu hii mikubwa (GIANT) na inavosemekana hawa jamaa walipenda sana uasherati na mambo mengine mengi ya kumuudhi MUNGU na ndipo hapo MUNGU akaamua kuwaangamiza kwa galika ya Noah.


Lakini sina hakika kama waliangamizwa wote kipindi cha noah kwasababu kama ingekua wameangamia wote basi tusinge wasoma kwa Joshua huku kanani.
Hao malaika walikuwa na miili kama yetu...

Na je waliumbwa na tamas ya nhoni kama binadamu?
 
Mimi msomaji na najifunza hapa kutoka kwenu..........!
Hivi kitabu cha Henok umekisoma ???
Mkuu nimekisoma ila kuna tofauti ya kusoma na kuelewa!! Nimekielewa tu pale mwanzoni yaani book of watchers alipoengelea wale malaika walioasi ila kule kwenye VISIONS zake sijaelewa kabisa maana anaongelea mambo mazito ya kiunabii labda utupe mchanganuo kidogo ulichoelewa na ssi tujifunze coz it's complicated hasa kule mwishoni
 
Mkuu maraika ni roho, wanauwezo wa kuvaa mwili wa mwanadam. Wwkishavaa basi wanaweza fanya yote sisi tunayofanya. Mfano mzuri ni YESU!
Biblia inasema yesu alizaliwa japo kwa miujiza, hamna sehemu roho ya yesu iliingilia mtu, bali alizaliwa na mama yake alipata mimba..

Nataka nijue process ya kuupata mwili kwa hao malaika, roho ziliingiaje kwenyr miili na kufanya watakayo??
 
Mkuu nimekisoma ila kuna tofauti ya kusoma na kuelewa!! Nimekielewa tu pale mwanzoni yaani book of watchers alipoengelea wale malaika walioasi ila kule kwenye VISIONS zake sijaelewa kabisa maana anaongelea mambo mazito ya kiunabii labda utupe mchanganuo kidogo ulichoelewa na ssi tujifunze coz it's complicated hasa kule mwishoni
Wewe umekielewa basi tu unazingua hapa....!
 
Biblia inasema yesu alizaliwa japo kwa miujiza, hamna sehemu roho ya yesu iliingilia mtu, bali alizaliwa na mama yake alipata mimba..

Nataka nijue process ya kuupata mwili kwa hao malaika, roho ziliingiaje kwenyr miili na kufanya watakayo??
Jamani nyie wenzetu biblia hua mnaisoma vp?
Kama unasoma biblia kama unavosoma jarida la Fema hutakaa uelewe..
 
Nadhani ukisoma vitabu kadhaa utaona dunia mwanzo ilikuwa ni moja bila kuwepo mabara hivyo ikarahisisha wakazi wake kuhama bila shida kwa kutumia ngamia na punda (vitabu vya dini vimeeleza baadhi ya misafara)ambayo leo ukiona jinsi dunia ilivyo utajiuliza walifikaje kwa usafiri wa punda na ngamia?

Tunasoma kwamba baadae kulitokea tetemeko lililoigwanya dunia vipande vipande ambavyo leo tunaita Mabara

Kifupi ni kuwa mkiwa eneo moja mtachangia hali ya hewa moja na mtazoea mabadiliko yake lakino ukihama kwenda eneo jingine lazima mwili wako utakabiliana na changamoto

Hivyo basi niseme kwamba wakati dunia inaumbwa ilikuwa moja kabla ya kugawanywa vipande na watu kujitenga kimabara baada ya kupata elimu so nadhani huko ndo kutanuka kwa dunia yaani ilisogea baada ya mpasuko ule tunaoambiwa na wanasayansi wetu

Nadhani umenielewa kama bado basi ngoja usingizi uniishe kesho tuelewashane

Asalaam kudo
Asante mkuu"" hizi nondo sio mchezo "" kwakweli sijutii kufunga ndoa na hili Jukwaa""
 
Wewe umekielewa basi tu unazingua hapa....!
Mkuu zile vision sio mchezo maana anaongelea malaika sijui majini na usomaji nyota kma haupo deep na maarifa huwezi kung'amua hata concept moja ndio maana kuna sehem nliachwa njiapanda
 
Biblia inasema yesu alizaliwa japo kwa miujiza, hamna sehemu roho ya yesu iliingilia mtu, bali alizaliwa na mama yake alipata mimba..

Nataka nijue process ya kuupata mwili kwa hao malaika, roho ziliingiaje kwenye miili na kufanya watakayo??
Mkuu umeshawahi ona mtu akiwa na mapepo?? Je yanaingiaje ndani ya mtu anyhow??

Ndio hivyo hivyo kabla mwili hujaweza kutembea duniani ni lazima uwe na roho na roho haiwezi kuishi duniani bila ya kuwa na mwili

Hivyo watoto wadogo wanawekewa roho ndio wanaweza kuzaliwa duniani hivyo hivyo Yesu naye ili aishi duniani ilibidi mwili wa kale kachanga tumboni mwa bikira maria kapewe ROHO ndio kaishi duniani.... Tofauti ni kwamba ROHO aliyopewa kale kachanga ni ya MUNGU-MWANA ambapo kwa duniani alifahamika kma Yesu sijui umepata mwanga

Kwa hao malaika kma walitaka kuzaa na wanadamu ni simple wanaweza kuvaa mwili wa mwanadamu flani au hata wenyewe wanaweza kujubadilisha umbo na kuwa wanadamu au mnyama mfano waliomtembelea Abraham... Wale malaika walikuwa wanaonekana wanadamu kabisa kwa muonekano kumbe ni malaika ndio maana hata walipoenda kwa Ruthu wenyeji waliwatamani sababu ya mauonekano wa kibinadamu!!!

Hivyo kwa ufupi malaika akitaka kutembea duniani either ajibadilishe awe katika mfumo wa mwili au aingie ndani ya mnyama au binadam ili awe kufunction humu duniani otherwise watu watamkimbia wakimuona!!
 
Mkuu zile vision sio mchezo maana anaongelea malaika sijui majini na usomaji nyota kma haupo deep na maarifa huwezi kung'amua hata concept moja ndio maana kuna sehem nliachwa njiapanda

Haya sawa mkuu....
Chanzo chako kikubwa (Credible Source) kinachozungumzia haya majitu kinachokubalika na wanataaluma wengi ni kipi ?? Au umetumia ushahidi wa Kihistoria kama hizo picha, Biblia na Kurani peke yake ??
 
Haya sawa mkuu....
Chanzo chako kikubwa (Credible Source) kinachozungumzia haya majitu kinachokubalika na wanataaluma wengi ni kipi ?? Au umetumia ushahidi wa Kihistoria, Biblia na Kurani pekee yake ??
Mkuu Mhe.Professor... Kiukweli nimetumia biblia tu pamoja na mythology nyingine kwa kiasi kikubwa kwa sababu moja kuu kwamba makabila mengi duniani kila mmojawapo lina story ya uwepo wa mtu mwenye futi zaidi ya 40?? Jamii zaidi ya 30 kuendana na nlipotafiti inaonyesha waliwahi shuhudia uwepo wa watu wa aina hiyo maeneo yao ndio maana inajenga taswira kwamba huenda hawa watu walikuwepo kweli sabab haiwezekani jamii za mexico mpka japan ziwe na michoro ya majitu haya ya kale kwenye fasihi zao haiwezekani wote wawe wamepotosha!! So its not credible source but it makes sense a bit

Kingine vitabu vya dini navyo vimeongelea ingawa sio credible ila kwa nchi ya watanzania ambao 80% wanaamini katika dini hizi hawawezi kubali concept mpaka iwe imeongelewa na imani zao hivyo biblia inaweza isiwe credible sana kwa watafiti ila nimeiweka hapa kma base kwa washika dini kuelewa hii hoja inapoanzia na kwamba sio ya kufikirika tu trust me nisingeweka bible wangesema hoja hii ni ya freemasons!!

Tatu nimeweka hapo kisa cha huyo anthropologist wa kifaransa aliyegundua mfupa unaosadikiwa kuwa wa binadamu (Neanderthal) unaonyesha kuwa ana mfupa mkubwa wa mguu kuliko wa binadam wa sasa hivyo kwa ushahidi wa kisayansi uliopo ni huu tu ingawa wengine wanaweza kudai mfupa huo labda sio wa binadam ila mnyama wa kale!!!

Je kwa upande wako unaona claim hizi zina uhalisia wowote au ni myth tu za kufikirika

Ahsante
 
Duh nashkuru kwa darasa ila kwa upande wangu story ya huyu Unju Bin Unuq nliwahi kusimuliwa kidogo na mtu wa pwani alidai huyu jamaa alikuwa anaishi pwani ya afrika mashariki na ndio aliyemsaidia Nuhu kujenga safina kwa kumletea mbao ngumu kutoka afrika ya kati (DRC ya sasa) maana mashariki ya kati ilikuwa na asili ya jangwa hivyo jamaa alichukua miti huku na kuifanya mbao na kuwapelekea nuhu wajengee safina

Pia wanadai kwakuwa wanadamu walimuona Nuhu kma "mzinguaji" sababu alikuwa anawaambia habari za waache madhambi n.k kila wakitaka kumvamia kumpiga au kumsonga songa basi huyu Unju bin unuq alikuwa anajitokeza kumkingia kifua wengine wote wanakuwa wapole

Simulizi hiyo inaishia pale wakati wa gharika wanadai kwamba kwakuwa yeye alikuwa sio uzao wa asili wa kibinadamu(huenda uzao wa malaika/majini) hivyo asingekuwa msafi kuwepo baada ya gharika hivyo baada ya KUFUNGA mlango wa Safina basi alijua wakati wake wa kufa umefika

Ila advantage aliyopewa ni kwamba hatokufa wakati wa gharika ila alikufa mwanzoni kabisa kabla ya gharika lile kushika kasi.....inadaiwa wakati mvua inaanza yeye aliteleza kwenye ardhi yenye matope tope ukanda huu wa afrika mashariki(wakazi wanadai mtwara) na mwili wake kupigizwa kwenye bahari hivyo mwili wake upo baharini kuendana na simulizi hii na wengine wanadai unyayo wake ambao ulitengeneza kma bonde upo huko mtwara

Naweza kubaliana na kisa hiki kuliko hicho cha wayahudi kinachosema alipona gharika sababu haiingii akilini gharika na maji kujaa siku zaidi ya 120 huyo mtu apone kumbuka kulikuwa na upepo.... Mawimbi.... Radi..... Mavolcano n.k sioni kivp angepona hayo mapito!!! Kingine angekosa chakula lazima sababu bahari ilichafuka angekula wapi?? Mizoga ya wanadamu??

Kuhusu mfalme ogu ni kweli alikuwepo ila sidhani kma ndie huyo huyo mmoja na Uj sababu mfalme ogu alikuwa ni muamori mtoto wa canaan mjukuu wa ham na kitukuu cha Nuhu ila hyu UJ alikuwepo kabla ya gharika hivyo sidhani kma angehusishwa na kabila moja tu

Wajuvi zaidi mtupe story ya LIJIMTU hili la ajabu kuwahi kutokea

Cc Mitha
Ndo maana nilisema ya kuwa stor ya mtu huyu ni pana sana tena lakini kuna watu wanajua ila waliamua kuipotosha ili Afrika tusiwe na cha kuzungumza kuhusu Biblia na Quran

Utaona hata wao walivyomweleza ni kama hawamfahamu Uj ila wameeleza matukio ya Uj
Bado kuna jambo halipo sawa pahali ila kifupi ndo hivyo ulivyoona Chief na mwingin ajuae basi atusaidie tunaeza pata kitu
 
Back
Top Bottom