DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

DID GIANTS EXIST? Historia ya Majitu ya Kale

Kwahiyo yesu ni malaika?
Roho inazaliwa?
ww unatulazimisha kuelewa alichokukalilisha padre
Jibu swali
Roho haizaliwi ila inazaliwa kwa mwanadamu kama ikiwa ndani ya mfumo wa mwili kwa hiyo Yesu ni Roho kweli ila kwakuwa alipokuja duniani hakuja kma MZIMU ila MWANADAMU hivyo aliweza kuzaliwa sababu alikuwa kwenye form ya MWILI

Hata wewe una Roho ndani ya mwili na siku ukifa Roho inatoka na mwili unabaki hivyo kabla hujazaliwa unakuwa roho ila ili uingie duniani unavaa mwili same case kwa Yesu

Pia Yesu si malaika ila wote ni ROHO/DIVINE BEINGS so wana tabia zinazofanana

Moja kauliza kama malaika wana sex?? Wakiwa kwenye form ya malaika hawawezi ila wakivaa mwili kma wwe ulivyovaa mwili basi wanaweza kusex na mwanamke au mwanaume

Hata kwenye biblia tunaona malaika wakimtembelea Abraham walikula,waliomba maji,walipumzika,walinawa n.k hivyo wakishavaa miili ya kibinadam wana uwezo wa kufanya kila kitu ambacho unaweza kufanya

Hope nmeeleweka
 
HAWA WATU inaonekana walibaki.bibi yangu alyefariki 1986 akiwa na umri miaka 100 au pungufu kidogo alinisimulia juu ya mtu mkubwa. Alikuwa anabeba mti mzima uliojauka kwa ajili ya kuni kwa familia. ujira wake ulikuwa unamchomea mikungu 3 ya ndizi na maziwa ya mgando. bibi alikuwa ni msichana wakati wa vita ya kwanza ya dunia. baba alizaliwa 1923 kwa rekodi za misheni
Duuuu uu ilo linalokula mikungu mitatu ya ndizi litakua ni limoja wapo,,,,bibi hakusema hata lilizkwa wap labda watu wanaweza kulifuatilia?
 
Mkuu kwenye biblia mtu alieishi miaka mingi ni Enoko, na umri wake unakadiriwa ulifika miaka 900 na zaidi kidogo. ila haikufika elfu moja
Hapana Henoko aliishi miaka mia tatu na sitini na mitano tu (365) halafu Mungu akamtwaa
Soma Mwanzo 5 : 21 - 24.
Aliyeishi miaka mingi kutokana na Biblia ni Methusela mtoto wa Henoko, yeye aliishi miaka mia tisa sitini na tisa (969)
Mwanzo 5 : 25 - 27.
 
Hapana Henoko aliishi miaka isiozidi 360 ndio akapotea!!! Ila aliyeishi zaidi kuendana na biblia Methuselah... Alikaribia miaka elfu tena hakufa kifo cha kawaida bali Mungu ndio aliamua kumtoa uhai ili gharika lisimkute hivyo angefika miaka 1000 kweli maana alikufa miezi sita tu kabla ya gharika!!

Kingine watu waliofika elfu wapo mkuu maana biblia haijaongelea kila mtu mkuu mfano haijaonyesha cain alikufa lini?? Haielezi shem alifariki vipi?? Tubal-Cain huyu muanzilishi wa freemasons kwenye biblia haisemi aliishi miaka mingapi?? So tusiconclude tu kwa kuangalia maandiko machache if at all tunataka kupanua maarifa

Ni hayo tu mkuu,ubarikiwe
ahsanteh kwa maarifa mkuu
 
Kadri teknolojia inavyoongezeka wanadamu watazidi kudumaa kimaumbo, hata ukichukulia miaka ya zamani watu waliishi kwa kupambana na mazingira wakitumia nguvu nyingi sana hivyo kuwaimarisha miili yao kuwa imara zaidi.

Ndio maana hata umri wa kuishi unazidi kufifia kizazi kwa kizazi,

Lishe duni mfano chips yai, soda, ambapo watu/wa zamani walitumia vyakula vyao vya asili kama asali, nyama, vyakula jamii ya mizizi na matunda pori kwa wingi.

Modern mankind is a weakest creature ever existed!!
huo ni mpango wa mungu binadamu kuwa ktk umbile lililofikia hapa na hata umri miaka 70 ukiona 100 ni kwa uchache

Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
 
Hu
Duuh aseee huyu jamaa anakidhi viwango vya kuitwa JITU maana sio kwa maguvu hayo

Kwa mtu kma huyo anakuwa amezaliwa na hizo nguvu au mazoezi???
Huyu wammongo alikua mazoezi Na mwili alikua nao.huyu wajuu ambae sikuwahi kumshudia mwilimkubwa wa asili bila mazoezi
 
Back
Top Bottom