Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,294
- 8,855
Uraia pacha sio sababu pekee...!Akili kubwa za Watanzania zipo kukesha makanisani na kusubiri kupokea miujiza ambayo italeta fursa. Wengi wapo busy kuibia serikali na kuwekeza katika kujenga vijumba vya kupangisha hawana akili za ufanisi kama za Wakenya ama Waganda, wenzetu mmoja mmoja mtu mweusi ni matajiri sana tofauti na sisi huku ambao akina GSM na MO ndio matajiri. Uraia pacha unafaida sana ila CCM kwa kuminya haki za binadamu wanaongoza.
Una taka uraia pacha wakati tanzania huna ata shamba la mkonge...
Huo uraia pacha ni kwa ajili ya nini? Kusoma? Kutibiwa? Kupata posho? Kuishi kifahari?
Kama ni hivyo una ukana tu na kuendelea na mishe zako ughaibuni... wapo wengi wamekana uraia wa Tz na watoto wa vigogo ndio wengi zaidi kuliko mnavyo fikiria...