Lakini hizo kaz ungekuwa tz usingefanya,kama sisi wana Dar unifanyishi kaz ya kuosha vyombo hata siku moja,Lakin kwa sababu upo mbele unaona kawaida sanaaaaa,Sema ndo hivyo kila la mtu na maisha yake na chaguo lake katika maisha,kama wanavyosema kaz ni kaz
diaspora kama mzee mwanakijiji hana faida yoyote eti anawaponda ukawa ateuliwe kuwa DCKatika kujenga Tanzania ya Viwanda tunatoa ombi sisi wana diaspora tuhusishwe kikamilifu kutoa ushauri na nguvu kazi maana tuna exposure ya kutosha kuliko wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.
NB: Iundwe WIZARA YA VIWANDA tu ikiwezekana tupate Diaspora mwenye uelewa na sekta hiyo ili kutukwamua hapa tulipo. Ni ushauri tu.
They fled Ethiopia amid war and privation. An economic boom is bringing them home.
Mkuu nimwonee wivu mtu anayeosha vyombo vya mzungu?
Nimwonee wivu mtu anayechambisha wazee wa kizungu?
Mimi nimempa changamoto anaweza kutengeneza pesa nzuri zaidi ya hiyo tena kwa kufanya shughuli yenye heshima ya uzalishaji huku ukiwa nyumbani unaishi kwa amani.
Mimi nimesoma huko so sioni kwa nini mnapenda kudanganya watu ilihali msoto wa huko unawazeesha hamna kitu. Kama ni maghorofa, malls, clubs nk hizo ni za wazungu kwenu ni huku kwenye vumbi na hela ipo nyingi sana huku. Heshima ya diaspora imepotea sababu mtu anategemea wa diaspora atakuwa ana maisha mazuri ila mkirudi mnaonekana mnajitutumua pesa hamna mmebakiza kujitambia kingereza na majina ya perfume, designers na mitaa ya ughaibuni.

thanks Bro it's kind of u to make way for me to heavily investSo who do you think will remove ccm regime if your not among the changers.
keep on waiting man... we gonna do it for you…!! u just stay there and relax okey…?
Na wazungu watapanguswa na nani makario wakiruduWabeba boksi. Hii nchi tutaijenga wenyewe,kama vp rudini tumuunge mkono rais wetu.
Kwani nani kakukataza kuleta vipesa vyako ukawekeza ? Hacha misifaa huna kitubring that pussy I show u the millions of pounds am worth of
ngoja niattach financial statement yang humu....anyways acha nikupotezee tu usije ukaanguka na preshaKwani nani kakukataza kuleta vipesa vyako ukawekeza ? Hacha misifaa huna kitu
Una hakika na unayosema au unabwabwaja tu?Mkuu njoo bongo tulime vitunguu, mpunga na kusindika asali uku tunafuga kuku tunasupply maisha ya kiume na pesa ipo ya kutosha . Acha maisha ya kitumwa wewe ni binadamu mwenye thamani.
Wenzako kina Kiranga wameshakata tamaa wameamua ata wakifa miili ichomwe kuepuka gharama za kusafirisha maisha ya ughaibuni ni utumwa.
hii ya vyombo siku ya kwanza ukionyesha ujuzi wa kupindua sahani NA mabakuli kwa kasi ya sahani nne kwa dakika moja unapewa permanent job hapohapo NA unakuwa NA uhakika wa shifs
Kuna madish washer kaka, wewe ni kutumbukiza tu vyombo sio ile kuosha kibongo kibongo, tena madish washer ya mahotelini ni heavy duties wewe ni kuweka na kutoa tu, sio kama vile unaosha kibongo bongo!!
Una hakika na unayosema au unabwabwaja tu?
Kaka hiyo kazi siwezi Sema siwezi fanya lakin kwa sasa naona kama siyo kazi labda kwa watu wanaotoka mikoani,hizi ndo kazi zao....
mimi ni mla vumbi (kama ulivyo sema) lakini 2025 ntanunua nyumba hapa safari city Arusha! kama itakua imeshakamillika wewe endelea kubeba boksi....kha!mnatumbuliwa huko hizo hela mtapata wap? Ridhiken na vipato vyen. Mnatupiga mizinga kishenz kwenye whatsap na fb maamae. Boksi inalipa kuliko bongo maamae