Diaspora tuhusishwe kujenga Viwanda

Wala vumbi walio wengi wanaowaza kuiba na kugoma.....umeondoa ladha nzima ya kile ambacho umetaka kukifikisha kwa public. Njia yako ya mawasiliano inakupunguzia hata heshima ya kusikilizwa, jaribu kui edit hii thread. Sarcastically written.
 

Haaaaa there is no good place to raise kid like skendinevia,mtt anakuwa anatoboa masikio pande mbili heee??hiyo ndo good place???mtt anakuwa anaona kawaida ndoa ya wanaume wawili,hiyo ndo good place kwa mtt???mtt anaona kawaida kumshitaki mzazi wake pale akimchapa,hiyo ndo place nzuri???mtt kuwa na maadili ya ajabu ajabu tu,hiyo ndo good place heee???acha ujinga,hâta bongo ni good place ya kuraise kid kuliko huko
 

Acha upumbavu NA dharau.
Nani amekupa mamlaka ya kulinganisha akili za watu?
 

Acha kudanganya watu wewe,hayo masaa 14 mpka 15 unafanyaje kwa siku heee???
 
LEMUTUZ the akili kubwaz ndo diaspora atayepewa 1st priority on industrial investment.
 
Kumbe kawaida sana! Kodi 36% Chakula %? Gheto %? Huduma za kijamii %? n una save %?
mkuu nimetoka kuchek exchange rate sasa hiv Kumbe imepanda tena. Kwa saa nalipwa 156 DKK madaf 52000tzs na Kwa sik nakufanyia masaa 14-15 mara sita Kwa wik. Mosos hamna shida nafanya
ebwana mkuu Richard heshima yako . Huko pande zip? Norway ama Sweden? Ebwana nilishasafir had Estonia old city hadi vilnius lithuania nilifikia kwenye cheap hostel karib na supremarket flan inaitwa Prisma maisha ni very cheap kulinganisha na denmark. Mabint zao naskia wanadum sana kwenye ndoa. Yani hamna watu weus kabisa. Lithuania had dereva wa bus alinishaur sehem za kutokwenda. Next time nitatinga Riga
 

Acha upumbavu NA dharau.

Nani amekupa mamlaka ya kulinganisha akili za watu?

Wewe na Copenhagen hamlingani kwasababu wewe umelelewa kwa fedha ya walipa kodi NA ukapelekwa mpaka Ulaya. Yeye kaenda mwenyewe kwa juhudi zake binafsi.
 
Acha upumbavu NA dharau.

Nani amekupa mamlaka ya kulinganisha akili za watu?

Wewe na Copenhagen hamlingani kwasababu wewe umelelewa kwa fedha ya walipa kodi NA ukapelekwa mpaka Ulaya. Yeye kaenda mwenyewe kwa juhudi zake binafsi.
Dharau ipi haya tuambie basi wewe na huyo mwenzako mnayeshikina akili mnafanya kazi gani Ulaya?
 
Mkuu, madai yako si kweli kwani watoto wanakelewa kwa misngi ileile bila kijali wapi wamezaliwa.

Ni kasumba mbovu Tu ndiyo itawaharibu watoto. Cha msingi Ni lazima watoto watambue baba au mama anatoka Afrika.
 
Kukataa mzizi wa fitina tufahamishe unafanya kazi gani mkuu hapo Copenhagen?
 
Hakuna kitu hao wanaojita DIASPORA, waendelee kubaki huko waliko.
 
Mkuu, madai yako si kweli kwani watoto wanakelewa kwa misngi ileile bila kijali wapi wamezaliwa.

Ni kasumba mbovu Tu ndiyo itawaharibu watoto. Cha msingi Ni lazima watoto watambue baba au mama anatoka Afrika.

Okay sawa wanatambua wao wanatoka africa,Wanasoma na watt ambao baba zao ni jinsia moja,sasa hapo lazima Wataona kawaida tu,Wanasoma na watt wanatoboa masikio hapo wataona kawaida tu,Wanasoma na watt wanaosuka nywele(watt Wa kiume) wao wanaona kawaida tu,walimu wanawaambia wazaz wakiwapiga mtoe taarifa,kweli mkipiga akienda shule kila kitu anamwambia mwalimu wake,baada ya mda polisi hao,sasa hayupo unaona maadili kweli???na hiyo sehemu ni good place kwa kuraise mtt?Sema kweli,Usipende kutetea labda kwa sababu hupo dunia ya Kwanza,tell us the truth kaka
 
Dharau ipi haya tuambie basi wewe na huyo mwenzako mmnayeshikina akili mnafanya kazi gani Ulaya?

Mimi nilikuja Ulaya zamani sana nikasoma nikamaliza.

Nilisomea ICT na niko vizuri kwenya hardware.

Wakati nikisoma nimefanya kazi Kama Data Entry, systems configurations na Admin katika mashule ya Ulaya hivyo nafahamu setup na admin yaani scope.nzima.

Mshahara wangu kwa mwezi ulianzia na tshs 3m hivi sasa hivi upo kwenye 4m hivi za TZ kwa mwezi. Hili Ni eneo ambalo kazi zake haziishi.
Lakini wakti nikisoma nilipga mzigo kisawasawa NA nafahamu Copenhagen anachopitia.
 
Kwa nini unataka favor?
Kwa nini usi compete na wengine?

Swala la kutaka favor linaleta walakini kwenye uwezo wako!
 

Hivi Diamond hajatoboa masikio na pua??hivi Kinondoni hamna mshoga wanaotembea na kuonekana mchana kweupe?? Hivi mateja yanabwia unga mchana kweupe yako wapi?? sio Kinondoni?? Mie naona hapa ni jinsi wewe kama wewe unavyomlea mtoto ndio ina matter na sio mtoto kakulia wapi hayo mengine ni add ons katika life.
 
Kukataa mzizi wa fitina tufahamishe unafanya kazi gani mkuu hapo Copenhagen?
mkuu ritz mimi nafanya kazi tatu. Kaaz ya kwanza Naanza alfajir saa 11 namaliza saa 3 (masaa manne) kufagia supermarket usidhan natumia chelewa au fatuma ni mashine mkuu.

Nikimaliza faster nawahi treni kuingia kwenye mzigo mwengine maamae kuosha vyombo (the best job I like) wamenipachika the best dishwasher in Europe maamae kwasabab navyopiga vyombo kwa utaalam wakipekee ni restaurant ndan ya kampun flan tunahudimia 800+ customers maamae hapo napiga masaa sita maamae 10am to 16:00.

16:00 to 18:00 ninazuga center tu au sometimes nazuka ghetto. 18:00 to 23:00 naenda kusafisha gerej ya matrack ni kaz ya masaa 5 mimi maamae nakupigia manne sometimes matat na nus hasa sasa hiv summer si kuchaf sana winter balaa. Halaf kwenye hii kaz unaweza kuondoka kabla ya mda wake as long umetimiza wajib
 
NIwie radhi kama nimekukwaza....

Ila nadhani iko shida, watanzania tunapenda sana kulalama bila kujaribu; i know very successful dayasporaz wanaowekeza kimyakimya
Ukiona mtu anadai yupo vizuri kwenye maswala fulani halafu anaomba favor dhidi ya wengine kupata kazi katika sehemu anayodai yeye ni mtaalamu ana tatizo na hajitambui!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…