afu utakuwa wangu ama?
mimba alizotoa kabla ya kuwa na mimi,number za xboyfriends wote,guest na mahali zilipo mikoani,number za mabosi wake hata alipoacha kazi,wanaume aliyolala nao,zawadi alizo wahi pewa,wanaume anaowachukia na kuwapenda,bar zake za weekend,wame za watu na number zao,password za bank za watu,business cards,appointments..Dah subiri Kwanza maana hii diary inaniumiza sana na hajui kama naisomaga
thanks GOD hana ukimwi na tunaishi wote happily ila on myside 50%*50%
password za bank za watu,
hadith nyingine bwana............!