Diary ya mpenzi wangu (unahitaji moyo wa chuma)

Diary ya mpenzi wangu (unahitaji moyo wa chuma)

Kuna watu wana washwaaaaa.hivi diary no personal things y do u really have to read?I dont mean huyo mwenzi wako anaandika vitu vizuri but why do u guys like to go into details?the time I stopped checking phones,ask who called iam so happy in my marriage.acha hizo bwana
 
kama katulia shwari ila mashuti ya mbali lazima atakua anapiga,una moyo man!!!
 
Tafuta diary iliyojaa kabla ya hiyo ili upate details zaidi.
 
Wewe ndo wale wanaume wezi kwenye handbag za wake/wapenzi wao unapekua pekua nini?? Kwanini usiisome akiwepo??
 
Mapenzi ya siku hizi bwana
Watu wanaruhusiwa kushikana shikana kila sehemu lakini sio kushikiana simu.
Tabu kweli kweli
 
Baada ya kusoma yote hayo yanayoendelea maishani mwake lazima anakupatia pesa ndio maana upo kimya.
 
Back
Top Bottom