Diary ya mpenzi wangu (unahitaji moyo wa chuma)

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,391
Reaction score
1,963
mimba alizotoa kabla ya kuwa na mimi,number za xboyfriends wote,guest na mahali zilipo mikoani,number za mabosi wake hata alipoacha kazi,wanaume aliyolala nao,zawadi alizo wahi pewa,wanaume anaowachukia na kuwapenda,bar zake za weekend,wame za watu na number zao,password za bank za watu,business cards,appointments..Dah subiri Kwanza maana hii diary inaniumiza sana na hajui kama naisomaga

thanks GOD hana ukimwi na tunaishi wote happily ila on myside 50%*50%
 
Si ushukuru hata huyo abkiyeweka na kumbukumbu. Wengine ni aibu.
 
Mi ndio maana naamini sana akili yangu kuliko kuandika na kuacha historia kwa watu wengine
 
Kama ni chaguo lako mpende tu,mavi ya kale hayanuki......
 
Ni mzima kichwani?
Kwa nini aweke hadi matukio mabaya kabisa kwenye diary
 
mimba alizotoa kabla ya kuwa na mimi,number za xboyfriends wote,guest na mahali zilipo mikoani,number za mabosi wake hata alipoacha kazi,wanaume aliyolala nao,zawadi alizo wahi pewa,wanaume anaowachukia na kuwapenda,bar zake za weekend,wame za watu na number zao,password za bank za watu,business cards,appointments..Dah subiri Kwanza maana hii diary inaniumiza sana na hajui kama naisomaga

thanks GOD hana ukimwi na tunaishi wote happily ila on myside 50%*50%

unampango wa kumuacha nini..
 
Back
Top Bottom