Diary ya mpenzi wangu (unahitaji moyo wa chuma)

mimba alizotoa kabla ya kuwa na mimi,number za xboyfriends wote,guest na mahali zilipo mikoani,number za mabosi wake hata alipoacha kazi,wanaume aliyolala nao,zawadi alizo wahi pewa,wanaume anaowachukia na kuwapenda,bar zake za weekend,wame za watu na number zao,password za bank za watu,business cards,appointments..Dah subiri Kwanza maana hii diary inaniumiza sana na hajui kama naisomaga

thanks GOD hana ukimwi na tunaishi wote happily ila on myside 50%*50%

Mkuu ebu angalia mm ameniweka kund gan la wakupendwa au kuchukiwa?
 
nawewe amekuandiakaje au haumo,nakama haumo atakuja kukuwe baada akisha patika mwenzio.
 
Kam ina mamb ya siri makubwa kuliko ww hawez kuiacha ovyoovyo kias ich mkuu ila ndo Ukubwa huo mr utafika tuu
 
ana mimba yangu now ila past yake ni stress mwanzo mwisho
 
Ndo maan ukaubwa uwe wa kiume ss mkuu ukisema.umuache haina sabab maan ana kiumbe chako unaweza enda pata mwngne ndo ukute yy aliua kabsa
 
hiyo diary ukisoma sijui maana hujaiona inavurugu asikuambie mtu
 
We kaa umdadisi.kuhusu maisha yake ya nyuma.akikuficha tumia man power
 
mimba alizotoa kabla ya kuwa na mimi,number za xboyfriends wote,guest na mahali zilipo mikoani,number za mabosi wake hata alipoacha kazi,wanaume aliyolala nao,zawadi alizo wahi pewa,wanaume anaowachukia na kuwapenda,bar zake za weekend,wame za watu na number zao,password za bank za watu,business cards,appointments..Dah subiri Kwanza maana hii diary inaniumiza sana na hajui kama naisomaga

thanks GOD hana ukimwi na tunaishi wote happily ila on myside 50%*50%
BP zakujitakia hizo... utakufa siku si zako..
 
Back
Top Bottom