Hahaha na ukakuta dudu yake tamu balaa.....nilikutaga diary ya xboy wangu ameandika wanawake alio wahi kulala nao ni mia moja sikuamini nililia sana harafu ndo kesha nigegeda duuuh.
Ni mzima kichwani?
Kwa nini aweke hadi matukio mabaya kabisa kwenye diary
mimba alizotoa kabla ya kuwa na mimi,........
Hapo tukio gani ni baya kwake unadhani...... Yote hayo yalikuwa maharakati ya kula ujana.
Diary zina mambo sana.....Binti aandike kwenye diary tarehe 21 arbotion....tarehe 30/09/2011 abortion...I don buy this piece of ----...unless she has some loose nuts.