Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili.
Kwenye video nimeweza kuspoti mwanaume mmoja tu. Hawa wanawake sijui wana matatizo gani yaani.
 
Anzac kampuni na bar kwanza ndizo zenye kelele nyingi zikifuatiwa na misikiti usiku unaamshwa mtu usingizini na achana ya msikiti
Nilipo ili kuona ulivyovitaja inabidi kutembea si chini ya km 1 au zaidi lkn utakutana makanisa 6.
 
Mkuu wachungaji wengi , manabii , mitume ni matapeli wa kutupa wanatumia ulaghai , utapeli , ushirikina kuhadaa mbumbumbu ndio hakuna kiongozi wa dini hata mmoja aliyetoa tamko kulaani yanayofanywa empty set Zumaridi na wengine wen
 
Hili la huyu mama mungu ni kiki za kiccm kunapotokea jambo kubwa iliwatu wagawanyike propoganda nchi hii zimezidi usikute kitengo ndicho kilicho fadhili nguvu za huyu mungu mke kama lile gazeti la yule mdaiwa sugu wa Membe na shangazi!
Kwa Tanzania chochote chawezekana
Punguza mahaba na Mboowe!
Please.
 
Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili.

Msafara wa magari matatu aina ya difenda zilizolindwa na askari waliojihami kwa silaha umewasili katika mahakama hiyo saa 9:00 mchana kisha watuhumiwa hao kuamuriwa kuingia ndani ya mahakama hiyo.

Mbona ni wanawake tu na wapo 92?hilo kanisa haina waumini wanaume?​

Ninashauri busara, tumult wanawake wanaumizwa na familia zinaumia especially watoto
 
Mwachieni huyu mama, kama mnataka kukomesha uyoga wa haya makanisa ambayo mengi ni ya kitapeli basi wekeni sheria ili mtu anayetaka kuanzisha kanisa ni lazima awe na na elimu ya dini kwa kiwango cha Degree ( Degree of Theology ) kama ilivyo Rwanda na baadhi ya nchi duniani.

Huyu mama ananganga njaa mwachieni tu.
 
Hizi ibada za jumuia nazo ni mikusanyiko isiyo na kibali? Au Diana tu ndio alipaswa kaomba? Au Kwakuwa msalaba huwa tunauficha mfukoni
 
Hili la huyu mama mungu ni kiki za kiccm kunapotokea jambo kubwa iliwatu wagawanyike propoganda nchi hii zimezidi usikute kitengo ndicho kilicho fadhili nguvu za huyu mungu mke kama lile gazeti la yule mdaiwa sugu wa Membe na shangazi!
Kwa Tanzania chochote chawezekana
Punguza mahaba na Mboowe!
Please.
Hapa Mbowe katoka wapi!!
 
Karibu sinza Dar es salaam kwenye mtaa kila baada ya nyumba moja kuna bar
Toka nje ya box, unadhani nchi nzima iko hivyo? Tatizo likiwa sinza pekee hatuwez kutunga sheria kwa sababu ya sinza kawaone wenyeviti wa mtaa au diwani watalimaliza lkn la makanisa hata Mbunge au waziri pekee yake hawezi
 
Back
Top Bottom