Diamond: Wema ndo mwanamke aliyekuwa akiniliza

Teh hapo kwa kajala inasemekana lakini, nlisikia clip moja mdada anasema kajala kiboko alikalia kitu ya kanyau, wakati kanyau ana dude la kijeshi yani punda akasome, huyo dada anasema alikua kapewa hela akasarenda akaacha na hela jinsi dude lilivo heavy duty ila kajala alilikalia.... Kama ni kweli shkamoo kajala
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] looh!!jamanii!!bas ana bwawa!!
 
Atafia labor!!

Bila shaka wewe kama ni wa kike, basi si ridhiki (kichwani). Wewe unatabiri mwanamke mwezako afe kwa ajli ya uzazi . Anazaa nguruwe? Hivi ni wanawake wangapi sasa hivi wenye sifa kama Zari na bado wanathamini sana uzazi, kuheshimu thamani ya watoto ikiwa ni pamoja na taasisi ya familia?

Unafurahia wanawake malaya wanaobeba mimba na kuzitoa kama wema? Bila shaka wew eni tasa. Ukitaka kujua thamani ya watoto na kwamba Zari ni mwanamke wa thamani sana, nenda kamwulize Wema.

Ni akili za mbweha tu ndizo zinaweza kumtkama mwanamke mwenye uwezo na upendo wa dhati anayetamani azae wwatoot wengi.

Umeniiudhi sana pumbauvu wewe!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] povu vepeeeee...!!!!

Kama umemaliza matusi tuma salamu kwa watu watatu usiowajua!!!!

ATAFIA LABOR!!!!!!
 
Kumbe hamjui jinsi jina linavyotakiwa kuendelezwa midomoni mwa watu?ili lisififie lazima kila siku liwepo jipyaaa,Asante Diamond wacha tukutangaze tu tena bureee
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] povu vepeeeee...!!!!

Kama umemaliza matusi tuma salamu kwa watu watatu usiowajua!!!!

ATAFIA LABOR!!!!!!
Dadeeeki sio kwa mineno hii
 
Na Mwanamke aliyeishia kumuoa ni ZARI.

Hayo maneno anaropoka sasa ni maumivu tu ya kuachwa na kutaka kumuumiza Mkewe aliyemdampia hukoooooo

Anajisumbua tu.. bora angefunga mdomo.. anajaribu akifikiri Zari atapata wivu na kurudi.. mwisho wa siku na mapenzi yao watajiju.. muhimu Zari mwanamke mwenzangu nione ana furaha kama sasa.. ana amaniiiiii no maisha ya kuwaza asubuhi utasikia kamlala nani.. shaaaa
 
Na Mwanamke aliyeishia kumuoa ni ZARI.

Hayo maneno anaropoka sasa ni maumivu tu ga kuachwa na kutaka kumuumiza Mkewe aliyemdampia hukoooooo

Anajisumbua tu.. bora angefunga mdomo.. anajaribu akifikiri Zari atapata wivu na kurudi.. mwisho wa siku na mapenzi yao watajiju.. muhimu Zari mwanamke mwenzangu nione ana furaha kama sasa.. ana amaniiiiii no maisha ya kuwaza asubuhi utasikia kamlala nani.. shaaaa
Halafu wale wanaojiita team yake ajabu hawalioni hili wanafurahia tu drama za Mond na Boss wao.

Muda utasema[emoji3]
 
Kabisa

Ila wamebuma walitegemea itawika wamechemshaaaaa.. Dee haamini.. eeeh.. Zari katoka mshindi.. vya uzalendo sijui nini wameumbuka kisa album.. duh!!
 
Wanawake hawapendani mkuu. Huyu unayemjibu ni mama wawili ila ana chuki balaa

Back
Top Bottom