mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,469
Wema ndo mzuri hazai huyo mwingine watajikuta wanazaa tena.Anatafuta huruma tu hapo hamna jipya si bora arudi kwa Hamisa walee mtoto vzr kuliko huyo mhenga
Wema ndo mzuri hazai huyo mwingine watajikuta wanazaa tena.Anatafuta huruma tu hapo hamna jipya si bora arudi kwa Hamisa walee mtoto vzr kuliko huyo mhenga
We jamaa, umenichekesha balaa, hivi haya maneno hua munayatoa wapiHe he he he
Wema naona japo anazeeka ila nyota yake haizeeki...
Kweli mganga wa Wema kiboko.
Ng'ombe hazeeki maini mzeeHe he he he
Wema naona japo anazeeka ila nyota yake haizeeki...
Kweli mganga wa Wema kiboko.
*****....[emoji54] [emoji54] [emoji54]Ila Wema mpaka kesho anakiri kwamba hakuna mwanaume aliyempenda kama marehemu Kanumba...
Cc: mahondaw
Nyota nazo huzeeka kaka!He he he he
Wema naona japo anazeeka ila nyota yake haizeeki...
Kweli mganga wa Wema kiboko.
Broda usimuonee huyo kijanaDomo zile Sala za kumuomba Mungu akupe mtoto kipindi kile unaitwa tasa shukrani yako kwa Mungu ni umalaya na kumdhalilisha zari, hakika utalipwa chozi la zari halitaenda bure Mungu hadhihakiwi.
Mnajimu, sio SheikhNyota nazo huzeeka kaka!
muulize sheikh
Goes around comes hit back harder!!!Domo zile Sala za kumuomba Mungu akupe mtoto kipindi kile unaitwa tasa shukrani yako kwa Mungu ni umalaya na kumdhalilisha zari, hakika utalipwa chozi la zari halitaenda bure Mungu hadhihakiwi.
[emoji3] [emoji3] [emoji2] kajala ana bwawa na yeye,Diamond hakutegemea km atakua maarufu kias cha kuwala Bongo Celebrities kirahis hvyo!!Ila domo malayaaa asee...si kwa kiborooo chake kuzurura kila shimo!
Ila da mange alisema kiko kama sindano eti aliambiwa na kajala