Diamond vs Juliana Shonza - Plan ya kutusahaulisha 26/04/2018

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,320
4,696
Je hii vita baridi kati ya Diamond vs Juliana Shonza yaweza kuwa plan ya kuwatoa watanzania kwenye mstari kuwasahaulisha sikukuu ya muungano tarehe 26/04/2018? Diamond anapata huo ujasiri wa kujibishana na Naibu Waziri? Support ya mlezi wao? Promo ya album? Hatujui ila tunachokijua kuwa Sikukuu ya muungano itakua moto
 
Je uliwahi kuona ama kusikia usemi ufuatao .... building castles in the air
 
Movie ndo kama hivi. Mambo ni motrooo
IMG_20180320_210012.jpg
 
Je hii vita baridi kati ya Diamond vs Juliana Shonza yaweza kuwa plan ya kuwatoa watanzania kwenye mstari kuwasahaulisha sikukuu ya muungano tarehe 26/04/2018? Diamond anapata huo ujasiri wa kujibishana na Naibu Waziri? Support ya mlezi wao? Promo ya album? Hatujui ila tunachokijua kuwa Sikukuu ya muungano itakua moto
Mwakyembe ana akili sana, alikuwa anajua kumvaa Diamond ni risk, akamtupia mpira mtu tusiejua alipotokea na amepataje mamlaka(Juliana Shonza),kumbe nae alikuwa anatafuta umaarufu akaona kumvaa Simba ni fursa, kwa taarifa yake umaarufu hapati labda fedheha, Kweli viti maalum sio viti na kamwe siwezi kuwa na imani na wabunge viti maalum.
 
Diamond ana meneja wake na producer wake siakamwone waziri ampe ufafanuzi.
 
Je hii vita baridi kati ya Diamond vs Juliana Shonza yaweza kuwa plan ya kuwatoa watanzania kwenye mstari kuwasahaulisha sikukuu ya muungano tarehe 26/04/2018? Diamond anapata huo ujasiri wa kujibishana na Naibu Waziri? Support ya mlezi wao? Promo ya album? Hatujui ila tunachokijua kuwa Sikukuu ya muungano itakua moto
Shonza katumwa kumtibua Dai kwakuwa Mond analike sana post za Mange za maandamano.. Na Dai awe makini kweli kweli kama anachofanya sio bongo movie
 
Back
Top Bottom