Diamond vs Harmonize: What goes around...

Yaani watu mnavyomu-overate Ruge!! Hivi baada ya Nenda Kamwambie, ikaja Mbagala ikafuata Nitarejea iliyokuwa ndani ya albamu halafu bado mnataka kutuaminisha ni Ruge ndie alimtangaza Diamond?!

Diamond akiwa mpya kabisa, akapata mchongo wa kuzunguka Tanzania mzima na CCM huku mwaka huo huo akizoa tuzo za kutosha za akili lakini bado mnataka kutuaminisha hiyo ilikuwa ni kazi ya Ruge?!

Swali ambalo sasa cjajibiwa ni moja! Hivi huyu Ruge ambae alikuwa na uwezo mkubwa kiasi hicho kwanini hadi kifo chake alishindwa kufanya hayo kwa Barnaba ambae uwezo wake kila mtu anaujua?!

Guys, acheni uongo! Ruge kaanza kujipeleka kwa Diamond wakati Diamond tayari keshakuwa lulu! Nasema kujipeleka kwa sababu THT iliyokuwa chini ya Ruge iliwahi kumkataa Diamond kwa hoja kwamba hajui kuimba!!

Kuhusu kuondoka Harmonize WCB, ni mtu wa ajabu tu ndie atapinga kuondoka kwake! Mimi binafsi, aondoke asiondoke hanipunguzii chochote kwa sababu mimi sio shabiki wake! Na tatizo langu kwake namuona ni kama copy tu ya Diamond kwa kila kitu, kuanzia kuimba hadi lifestyle!!

Hata hivyo nimekuwa too concerned na uondokaji wake, hoja ikiwa ni: Anaondoka kwa sababu anaamini anakoenda kutamwendeleza zaidi kwa career yake au anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona yeye ni mkubwa!

Kama anaondoka kwa kuvimba tu na kujiona he's too big basi atakuwa stupid manake hata wasanii wakubwa duniani na wenyewe wapo chini ya label!. This is not about being TOO BIG au kuwa mkali kwenye mic bali uwezo wa wanaomuzunguka kwenye tasnia mzima ya muziki!
Kwa mziki wa kitanzania asikudanganye mtu juu ya uhusika wa the late Ruge, ukiwa karibu na watu walioko kwenye industry hii ndo wanajua umuhimu wake katika mafanikio ya msanii mmoja mmoja. The man was born tactics and strategist.
 
Hoja ni kwamba Diamond alikuwa chini ya Ruge na alitolewa na Ruge!! Issue sio kuhusika kwa Ruge! Ruge alikuwapo kwenye entertainment industry kwa muda mrefu, na kwahiyo amehusika kwa namna moja au nyingine kwa wasanii wa mbali mbali! Kinyume chake, nawe nakuona ni kama wengine wote! Ruge! Ruge! Lakini nikiwauliza maswahili kuhusu Ruge, hamjibu!!!
 
Umewashika bapaya mkuu wanabakia kutukana.
 
Kubishana na mjinga kama wewe ni kupoteza muda tu , unabisha Harmonize hakujaza uwanja .. Haya angalia hapa show yake alivyojaza uwanja .. Na kwa taarifa yako tangu south Sudan imepata uhuru haijawahi tokea gathering kubwa kama hiyo. wewe

Haya turudi kwenye mada.. Tuseme umezaliwa Dar. Nakubali. Unaweza kuwa umezaliwa dar na hujui lolote unaishi Tandale au Mbagala majimatiti (Uswekeni huko) hujui lolote .. Upo Upo tu.. Nimekwambia mfuate diamond akuambie fiesta yake ya kwanza kama underground aliifanyia wapi ... Alipata show yake ya kwanza kama underground viwana vya posta kijitonyama .. Sikumbuki vizuri ni mwaka gani but ni around 2015 hivi .. Wasanii undergrounds waliopewa nafasi ya kuimba kabla ya show kwanza ni Diamond na Sheta .. Sasa wewe endelea kusema umezaliwa dar wenziio wakina Hrmonize wamezaliwa Chitoholi wanakuja mjini wanatusua majumba na magari halafu nyie wazawa mnaendelea kubanana Tandale na Mbagala kwenye uchafu na dhiki...

Unaongea tu hujui unachoongea .. Harmonize akiamua kuongea anavyonyonya pale WCB mpuuzi kama wewe utakuja hapa kubisha .. Hivi unajua Diamond alikopa hela kwa harmonize akimwambia kuwa atamtafutia Shares kadhaa Kwenye Wa safi media ??? Unajua mwisho wake ni nini ?? Unajua Diamond amekuwa akijibu nini Harmonize akiulizia hela zake ?? Unajua hizo hela so chini ya million 200?? .. Unajua hizo shares zikoje kwa sasa kwa upande Wa harmo? .. Tukisema tuweke mambo mengine hapa mtabaki kusema sisi ni haters Wa diamond ...

Tulia Dogo umezaliwa dar ila you know nothing of anything ..

Harmonize sio mjinga kukaa kimya ..

hivi kweli unajua unachokiongea mdogo wangu?
 
Wewe ni Matusi,Matusi na wewe
 
Habari azipendazo Mondi kuongelewa ni kama hii sio mnazojadili...

Screenshot_20190830-204437.jpg
 
Diamond alikuwa underground 2015??unajua unachokiandika kweli??
 
Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu harmonize kuondoka WCB baada ya kuvuna fadhila nyingi alizopewa na Diamond kama rais wa WCB pamoja na timu nzima.Kila mmoja yupo busy kumlaumu Harmonize kuhusu kuondoka wcb.wengine wakienda mbali na kusema atashuka kimziki.mara ndo mwisho wake..Nimeandika haya kuwakumbusha Watanzania sisi wasahaulifu ya kwamba "what goes around comes around "amini hivyo.

Diamond baada ya kuvuna fadhila za kutosha kwa Bob junior producer wake wa kwanza kumtoa . Wote tuliona namna ambavyo aliondoka kwa ugomvi..tena wa kutokusemeshana.

Watanzania hawa hawa wakasema mara atashuka kimziki mara mziki wake umefikia mwisho..kwani nyie mmekuwa manabii mpaka muwatabilie watu yajayo..
Diamond baada ya kuvuna fadhila alizopewa na meneja wake wa kwanza Papaa Misifa..aliondoka pale kwa ugomvi mpaka kudaina pesa. Diamond akaja kumlipa papaa baadaye akiwa na meneja mwingine

Diamond baada ya fadhila alizopewa na marehemu Ruge.kumuandalia shows,kumtangaza na mengine tuliona kilichotokea.mpaka anafariki Ruge,maelewano baina yao yalikuwa hamna.

Kuna na habari zisizokuwa rasmi kuwa hata Ali kiba aliwahi msaidia Diamond katika harakati za mziki. Vipi mawasiliano yao leo.

Kwa hiyo basi hapana jipya linalotokea WCB analolifanya harmonize. Ndo yale yale aliwahi kuyafanya Diamond kwa watu waliombeba na kumfadhili lakini alipopata alichokihitaji aliwaambia wanamdhulu,mara wanamnyonya,hawataki afike mbali.mwisho akaondoka na kwenda kunzisha maisha yake.jambo ambalo ni jema.

Suala la msanii kuachana na menejimenti yake hata kama ilimpa kila kitu .yeye akaenda kuanzisha maisha yake nje ya hiyo management sio Dhabi. Mbona hata America inafanyika tumemuona Lil Wayne alivyoachana na birdman. Kumbuka birdman kamlea Lil Wayne akiwa bado kinda mpaka anakuja kuwa msanii mkubwa. Walipopishana Lil Wayne akaondoka chini ya lebo ya Cash money.

Mwisho harmonize ni msanii mkubwa kwa sasa anahitaji nyumba yake na sio kuwa chini ya nyumba ya mtu. Jambo la kutoka WCB ni busara za juu na maamuzi magumu lakini yenye tija.Awekee bidii tu atafika. Anapopalenga .
Hatimae daah🙌🙌🙌
 
Nafkr kubaniwa kolabo na Davido kwenye wimbo wa Kwangwaruu ndo kulimuumiza Sana Harmonize, Ila still mi naona kama kaingia Choo cha kike, ni kweli Jembe amempigia chapuo kwenye baadh ya shooo za nje hvi karibuniii ikiwemo na south Sudan, n hvyo kumwaminisha dogo kuwa ataweza kumvusha ....

Ushauri wangu Konde boy angetafuta Manager ambaye anadil na music pure, kama Salam Sk hv mda wote yeye anawaza mziki ,anakula ana analala yeye anawaza connection Tu , sasa huyu Jembe na huyo Manzi nafkr wana issue zao nzito na miradi mikubwa , hawawezi kusacrifice issue zao ili kumpambabania harmonize, yaani hao ni kupe, wanamnyonya tuu, ng'ombe akifa wote wanasepa....

kwa sasa tension kubwa itakuwa Kwa harmonize ,na watapiga pesa mbaya lakn badae issue itarudi kwenye equilibrium,na hapo ndo tutaanza kutafutana
Hapa ukiwa na akili zako timamu
 
Back
Top Bottom