Diamond vs Harmonize: What goes around...

We mpumbavu danganya wapumbavu wenzako!! Show ya South Sudan haikuwa ya Harmonize, bali yeye alikuwa ni mmoja tu kati ya watumbuizaji wengine including Chameleon na Weasley!! Jose Chameleon huyu hapa akiwasili S. Sudan:-

Yaani unachosema wewe ni sawa na leo hii aibuke mpumbavu wa aina yako halafu aseme Diamond alijaza watu kwenye show ya One Africa Fest! Hivi una akili kweli wewe pamoja na kupenda kutukana wenzako?!
Angalia ulivyo mpumbavu!! Huyo Harmonize mwenyewe unayemuona kama Mungu Mtu kazaliwa kwa walima mihogo!! Hivi una akili kweli wewe??! Na mara kwa mara hapa hata bila kuulizwa lazima useme kwamba upo Wasafi?! Ulivyo mpumbavu unasahau kwamba huyo Diamond mwenyewe katokea Tandale, Babu Tale Manzese, Sallam Morogoro, na Said Fella nipo nae kitambo tangia enzi za Rungwe Highway!!!Angalia unavyothibitisha ujinga wako!! Mwaka 2015 Diamond alikuwa underground?!! All in all, kupata show ya Fiesta kama underground ndo kwamba ametolewa na Ruge?! We jamaa lofa sijapata kuona!!
Kwa taarifa yako hata aliyemtoa huyo Mungu wako Harmonize nae ni mtu wa Tandale!!!
We lazima utakuwa mke mwenza wa Sarah, manake unavyojifanya kumfahamu Harmonize unamzidi hata Sarah mwenyewe. Halafu ona ulivyo Pimbi! Upande mmoja unasema Harmonize ananyonywa kishenzi halafu hapo hapo unatuambia jamaa ana mihela kishenzi hadi anafikia kumkopesha mnyonyaji wake Sh. 200M wakati Harmo mwenyewe kaanza muziki juzi tu hapa!! Au hizo 200M alizofikia kumkopesha Mnyonyaji wake zimetokana na biashara kuuza chai Kariakoo?! Sio tu nimezaliwa dar bali pia naifahamu game tangia kitambo kabla hata huyo Harmonize mwenyewe haijui hata Mtwara let alone Dar!! NIpo kwenye haya mambo hata kabla huyo Diamond mwenyewe hajatengeneza hata single moja!! Tafuta wapori pori wenzako ndo uwaletee hizo story ambazo huwezi kujenga hoja hadi utukane na ulivyo pimbi, ukidhani matusi yanauzwa
Mjinga wewe ,

Huyo Sallam Mimi nimekua nae mtaa Wa Forest morogoro (nimecheza nae chandimu mitaa ya forest hill , Osterbay ya morogoro ) wakati wewe unaishi Uswekeni Tandale au Magomeni .... Mbwa wewe...

Sasa turudi kwenye show ya harmonize ... Hiyo show ya Juba ilikuwa ni ya harmonize na ulikuwa ni mualiko kutoka kwa raisi Salva Kiir , sijui hata kama unamjua .. Utamjulia wapi umeishia darasa la saba B pale Maramba mawili shule ya msingi ..

Na kwa taarifa yako uwepo Wa harmonize ndio ulifanya hiyo show ifanyike kuanzia jion kutokana na umati kuwa Mkubwa wakitaka kumuona harmonize.. Watu Wa usalama wakataka show iwe jion ..

Mwisho Wa siku napoteza muda na mbwa ambae hajui lolote zaidi ya kubweka tu , hao wcb tunawajua in out sio kwa kuwaona IG Bali tunakutana nao kwenye some issues ...

Halafu wewe mpumbavu nimekupa assignment moja nenda pale clouds kaulize fiesta ya 2005 diamond hakupanda Kama underground yeye na sheta pale Viwanja vya posta, kijitonyama. Ukute enzi hizo ulikuwa huna hata nauli ya kutoka kwenue Uswekeni kwenda kijitonyama.. Shwain wewe.

Ndio maana nakuona mpuuzi sana unashangaa million 200 za uwekezaji za harmonize!!!../ nikikwambia vifaa na Bei zake alivyonunua harmonize kwenye kampuni ya Zoom Production chini ya Director Keny utabaki unatoa macho kama nyoka ....

Huna unalojua pumbavu wewe
 
Sasa turudi kwenye show ya harmonize ... Hiyo show ya Juba ilikuwa ni ya harmonize na ulikuwa ni mualiko kutoka kwa raisi Salva Kiir , sijui hata kama unamjua .. Utamjulia wapi umeishia darasa la saba B pale Maramba mawili shule ya msingi ..
We mbwa, umekazwa bure tu kwa kupigwa fix!! The Juba Monitor wakielezea hiyo show, hawa hapa:-
The Matatizo singer Harmonize from Tanzania will set foot in Juba today for the first time ahead of his show on Saturday.

The singer famous for his happy birthday song and many other hits is the guest artist for the grand opening of the Space Lounge on the 22nd of June.

Promoter K2 aka Koryom Kuol told Juba Monitor that Harmonize requested to come to South Sudan two days before the show so that he can tour around the city
.
Hiyo ni show yake ya kwanza, na hakukuwa na cha rais wala nini, bali ni ya uzinduzi wa hiyo lounge !

Baada ya hiyo show ambayo kulikiwa pia na akina Chameleon, akaenda tena South Sudan kwenye show ya uzinduzi wa "Airtel Money" ya South Sudan inayofahamika kama MGURUSH!!! Hiyo show ndiyo ya pili ndiyo ambayo ilijaa sana watu!! KWANINI SHOW ILIZAJA SANA? Sababu ni hii hapa:-

Harmonize.png

Harmo2.png

ILIKUWA NI SHOW YA BURE halafu eti unadanganya watu hapa kwamba ulikuwa ni mwaliko wa rais!!!

Kwahiyo narudia: Kadanganye wapumbavu wenzako!!! Hata hivyo siwezi kushangaa! Hivi wewe si ndo ulimuulizaga ONTARIO kuhusu mchongo wa kuuza mahindi kwa Mo-Dewji wewe?!!
Mkuu Ontario Hongera Kwa moyo ulionao wa kutaka RAIA wa Tanzania tuwe na mafanikio: Hiyo imejidhihirisha katika Majibu yako, Sijaona jibu la mkato. Hongera.

Nina maswali na kuhitaji maelekezo kwa baadhi ya uliyojibu

1. Naomba uniwekee hapa orodha ya baadhi ya mashirika yanayowezesha vijana wajasiliamali kwenye Kilimo in terms of funds. Mimi Nina eneo la heka 3 ila kutokana na kukosa Hela ya kutosha najikuta nalima heka moja tu ya mahindi. Nina ndoto ya kulima heka kwa maheka ila tatizo ni misuli yangu kiuchumi haiko vizuri.

2. Je, ninaweza kuingia share na Mo Dewij Kumuuzia Mahindi kutokana na yeye kuwa mzarishaji wa unga wa mahindi ???. By your experience Nitumie njia zipi niweze kuwa in partnership with Mo Dewij or Bakhresa?
Yaani ulivyo mpumbavu, ukaingizwa King hata na simulizi za Ontario!!! Aidha juzi tu hapa unalilia wanaume wakupe mchongo wa kupata pesa ya kukuwezesha kulima ekari 3 za mahindi halafu leo hii unakuja na nyodo za kujifanya mtoto wa kishua uliyekulia uzunguni!! We pimbi kweli wewe!!

Kwanza nahisi najidhalilisha kubishana na mtu mwenye akili mbovu kama wewe, ambae unadanganyika kirahisi kuliko hata ma-house girl!!
 
Nazani timu ya Konde Gang itajifunza kupitia hizi kelele ili wawe vizuri
 
Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu harmonize kuondoka WCB baada ya kuvuna fadhila nyingi alizopewa na Diamond kama rais wa WCB pamoja na timu nzima.Kila mmoja yupo busy kumlaumu Harmonize kuhusu kuondoka wcb.wengine wakienda mbali na kusema atashuka kimziki.mara ndo mwisho wake..Nimeandika haya kuwakumbusha Watanzania sisi wasahaulifu ya kwamba "what goes around comes around "amini hivyo.
Diamond baada ya kuvuna fadhila za kutosha kwa Bob junior producer wake wa kwanza kumtoa . Wote tuliona namna ambavyo aliondoka kwa ugomvi..tena wa kutokusemeshana.
Watanzania hawa hawa wakasema mara atashuka kimziki mara mziki wake umefikia mwisho..kwani nyie mmekuwa manabii mpaka muwatabilie watu yajayo..
Diamond baada ya kuvuna fadhila alizopewa na meneja wake wa kwanza Papaa Misifa..aliondoka pale kwa ugomvi mpaka kudaina pesa. Diamond akaja kumlipa papaa baadaye akiwa na meneja mwingine
Diamond baada ya fadhila alizopewa na marehemu Ruge.kumuandalia shows,kumtangaza na mengine tuliona kilichotokea.mpaka anafariki Ruge,maelewano baina yao yalikuwa hamna.
Kuna na habari zisizokuwa rasmi kuwa hata Ali kiba aliwahi msaidia Diamond katika harakati za mziki. Vipi mawasiliano yao leo.
Kwa hiyo basi hapana jipya linalotokea WCB analolifanya harmonize. Ndo yale yale aliwahi kuyafanya Diamond kwa watu waliombeba na kumfadhili lakini alipopata alichokihitaji aliwaambia wanamdhulu,mara wanamnyonya,hawataki afike mbali.mwisho akaondoka na kwenda kunzisha maisha yake.jambo ambalo ni jema.
Suala la msanii kuachana na menejimenti yake hata kama ilimpa kila kitu .yeye akaenda kuanzisha maisha yake nje ya hiyo management sio Dhabi. Mbona hata America inafanyika tumemuona Lil Wayne alivyoachana na birdman. Kumbuka birdman kamlea Lil Wayne akiwa bado kinda mpaka anakuja kuwa msanii mkubwa. Walipopishana Lil Wayne akaondoka chini ya lebo ya Cash money.
Mwisho harmonize ni msanii mkubwa kwa sasa anahitaji nyumba yake na sio kuwa chini ya nyumba ya mtu. Jambo la kutoka WCB ni busara za juu na maamuzi magumu lakini yenye tija.Awekee bidii tu atafika. Anapopalenga .
Ahaaaah unamuongelea ruge mnyonyajia na mzalilishaji wanawake eboooooh shut up.
 
We mbwa, umekazwa bure tu kwa kupigwa fix!! The Juba Monitor wakielezea hiyo show, hawa hapa:-Hiyo ni show yake ya kwanza, na hakukuwa na cha rais wala nini, bali ni ya uzinduzi wa hiyo lounge !

Baada ya hiyo show ambayo kulikiwa pia na akina Chameleon, akaenda tena South Sudan kwenye show ya uzinduzi wa "Airtel Money" ya South Sudan inayofahamika kama MGURUSH!!! Hiyo show ndiyo ya pili ndiyo ambayo ilijaa sana watu!! KWANINI SHOW ILIZAJA SANA? Sababu ni hii hapa:-

View attachment 1189149

View attachment 1189152

ILIKUWA NI SHOW YA BURE halafu eti unadanganya watu hapa kwamba ulikuwa ni mwaliko wa rais!!!

Kwahiyo narudia: Kadanganye wapumbavu wenzako!!! Hata hivyo siwezi kushangaa! Hivi wewe si ndo ulimuulizaga ONTARIO kuhusu mchongo wa kuuza mahindi kwa Mo-Dewji wewe?!!Yaani ulivyo mpumbavu, ukaingizwa King hata na simulizi za Ontario!!! Aidha juzi tu hapa unalilia wanaume wakupe mchongo wa kupata pesa ya kukuwezesha kulima ekari 3 za mahindi halafu leo hii unakuja na nyodo za kujifanya mtoto wa kishua uliyekulia uzunguni!! We pimbi kweli wewe!!

Kwanza nahisi najidhalilisha kubishana na mtu mwenye akili mbovu kama wewe, ambae unadanganyika kirahisi kuliko hata ma-house girl!!
Wasted Sperms
 
Hahahaha we mwana noma....unajua kumaliza ubishi
Kumbe show yenyewe ilikua ya bure
Sasa kwanini watu wasijae
 
Kubishana na mjinga kama wewe ni kupoteza muda tu , unabisha Harmonize hakujaza uwanja .. Haya angalia hapa show yake alivyojaza uwanja .. Na kwa taarifa yako tangu south Sudan imepata uhuru haijawahi tokea gathering kubwa kama hiyo. wewe

Haya turudi kwenye mada.. Tuseme umezaliwa Dar. Nakubali. Unaweza kuwa umezaliwa dar na hujui lolote unaishi Tandale au Mbagala majimatiti (Uswekeni huko) hujui lolote .. Upo Upo tu.. Nimekwambia mfuate diamond akuambie fiesta yake ya kwanza kama underground aliifanyia wapi ... Alipata show yake ya kwanza kama underground viwana vya posta kijitonyama .. Sikumbuki vizuri ni mwaka gani but ni around 2015 hivi .. Wasanii undergrounds waliopewa nafasi ya kuimba kabla ya show kwanza ni Diamond na Sheta .. Sasa wewe endelea kusema umezaliwa dar wenziio wakina Hrmonize wamezaliwa Chitoholi wanakuja mjini wanatusua majumba na magari halafu nyie wazawa mnaendelea kubanana Tandale na Mbagala kwenye uchafu na dhiki...

Unaongea tu hujui unachoongea .. Harmonize akiamua kuongea anavyonyonya pale WCB mpuuzi kama wewe utakuja hapa kubisha .. Hivi unajua Diamond alikopa hela kwa harmonize akimwambia kuwa atamtafutia Shares kadhaa Kwenye Wa safi media ??? Unajua mwisho wake ni nini ?? Unajua Diamond amekuwa akijibu nini Harmonize akiulizia hela zake ?? Unajua hizo hela so chini ya million 200?? .. Unajua hizo shares zikoje kwa sasa kwa upande Wa harmo? .. Tukisema tuweke mambo mengine hapa mtabaki kusema sisi ni haters Wa diamond ...

Tulia Dogo umezaliwa dar ila you know nothing of anything ..

Harmonize sio mjinga kukaa kimya ..

Wewe kijana nae ni muchknower
 
We mpumbavu danganya wapumbavu wenzako!! Show ya South Sudan haikuwa ya Harmonize, bali yeye alikuwa ni mmoja tu kati ya watumbuizaji wengine including Chameleon na Weasley!! Jose Chameleon huyu hapa akiwasili S. Sudan:-

Yaani unachosema wewe ni sawa na leo hii aibuke mpumbavu wa aina yako halafu aseme Diamond alijaza watu kwenye show ya One Africa Fest! Hivi una akili kweli wewe pamoja na kupenda kutukana wenzako?!
Angalia ulivyo mpumbavu!! Huyo Harmonize mwenyewe unayemuona kama Mungu Mtu kazaliwa kwa walima mihogo!! Hivi una akili kweli wewe??! Na mara kwa mara hapa hata bila kuulizwa lazima useme kwamba upo Wasafi?! Ulivyo mpumbavu unasahau kwamba huyo Diamond mwenyewe katokea Tandale, Babu Tale Manzese, Sallam Morogoro, na Said Fella nipo nae kitambo tangia enzi za Rungwe Highway!!!Angalia unavyothibitisha ujinga wako!! Mwaka 2015 Diamond alikuwa underground?!! All in all, kupata show ya Fiesta kama underground ndo kwamba ametolewa na Ruge?! We jamaa lofa sijapata kuona!!
Kwa taarifa yako hata aliyemtoa huyo Mungu wako Harmonize nae ni mtu wa Tandale!!!
We lazima utakuwa mke mwenza wa Sarah, manake unavyojifanya kumfahamu Harmonize unamzidi hata Sarah mwenyewe. Halafu ona ulivyo Pimbi! Upande mmoja unasema Harmonize ananyonywa kishenzi halafu hapo hapo unatuambia jamaa ana mihela kishenzi hadi anafikia kumkopesha mnyonyaji wake Sh. 200M wakati Harmo mwenyewe kaanza muziki juzi tu hapa!! Au hizo 200M alizofikia kumkopesha Mnyonyaji wake zimetokana na biashara kuuza chai Kariakoo?! Sio tu nimezaliwa dar bali pia naifahamu game tangia kitambo kabla hata huyo Harmonize mwenyewe haijui hata Mtwara let alone Dar!! NIpo kwenye haya mambo hata kabla huyo Diamond mwenyewe hajatengeneza hata single moja!! Tafuta wapori pori wenzako ndo uwaletee hizo story ambazo huwezi kujenga hoja hadi utukane na ulivyo pimbi, ukidhani matusi yanauzwa

Huyu kijana anachokiweza ni ku post zile image zao za kupakua fedha mtandaoni na kujitamba kwamba acc zao zimejaa madolari.
 
Nilisikiliza interview harmonize ndiye alimuomba diamond aingize mistari baada ya kuwa ngumu kifanya na davido katika wakati huo
Kubaniwa some time ni blessings angefanya na davido sidhani iyo ngoma ingekuwa kubwa kiivyo
 
POle sana! Endelea kuamini kwamba Diamond kafika pale kwa ajili ya Ruge! Kwa sababu ni Ruge ndie alilipa pesa iliyomfanya Diamond kutoa first album ambayo ndani yake kulikuwa na hits kadhaa including Mbagala!!! Au labda mnataka kutuambia Papa Misifa alikuwa anapewa pesa na Ruge kwa ajili ya kumtengeneza Diamond!!!

Ajabu ya watu kama nyie wala hamtaki kujiuliza, ikiwa watu kama akina Barnaba, Mwasity, Rachel, Amin; au akina Jide na Ray C enzi za Smooth Vibes, na wengine wengi wala haikuwahi kuwa siri wao kuwa chini ya Ruge; kwanini iwe siri suala la Diamond hadi alazimike kum-manage kwa mlango wa nyuma?!!!
hawatajiuliza,, ID zingine za mawingu hao juu,,
 
Back
Top Bottom