Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 378
Kapuyanga
Bora coz the truth sets you free, yuko huru sasa japo kaongea mengi sana
Kapuyanga
Unamwambia mtoa mada au zari .....kama zari mfate insta hapa sio mahala pakeMalipo hua ni hapahapa Duniani. Ulimtenda vibaya Ivan akapata depression na kupelekea umauti wake. Leo yako wapi!
Mna poteza muda wakati wenzenu clouds na management ya WCB wamesha ingiza hela ndefu YouTube na matangazo yaliyo tangazwa wakati hiko kipindi kipo hewani
Jiulizeni kwanini kipindi kilirushwa live kwenye media za clouds almost zote? Lkn pia refer kwa kauli ya Saidi Fela siku ambayo Diamond alikuwa clouds fm anaongelea swala la Ommy dimpoz na Q-boy.
Shame on them maana hawajali watu walioumia ili wao wapate hela. Victims hapo ni Zari na Hamisa.
Ulishuhudia wapi msikiti gani au kwa DC gani wakifunga ndoa?? Uyo no mzazi mwenzie km alivyo hamisa tu
Watu wamehamishwa kifikra kutoka kwa Lissu kwenda kwa Diamond
hahahahahahahhaahha haya ni ya digital mkuuNowadays private shit gets played out on social media.
It's a new age indeed....
Kuna jamaa yangu anakanuni yake, halazi mwanamke kwenye kitanda anacholala na mkewe (anafanya kazi nchi tofauti na mkewe) . Pili, anasisitiza hakuna kosa kubwa kama mwanaume kukubali kwa mkeo kwamba umemsaliti. Haitatoka kwenye kumbukumbu zake maisha yote.
BBC? kweli huyu kijana kaja juu na makucha yake haswaaaaNew age indeed...the moment I heard it on BBC, I was like...what?!
Both Zari na Hamisa ni waislam.
Na Nassib hajaoa.
Cha kufanya awaoe tu ili wazae watoto wa halali.
Maana wale watoto 3 alozaa na hao wanawake kisheria si wa Nassib ni wa hao wanawake.
Awaoe ili waanze kuwazaa watoto wa halali
Ulitaka aikane damu yake?
Mwanaume anayejiamini hawezi kumkana mtoto
Mbona Zari hawakani watoto wake wakubwa?
Ukweli daima unakuweka huru
Hongera Diamond!
Bado muoaji ana maamuz baada ya kushauriana na muolewajiWasimsahau na Wema jamani amuoe na yeye
Mondi mnafiki tu na kamchoka Zarina.Najua Diamond ataonekana mjinga ila kwa watu waelewa wenye utashi wa kutambua mambo, kamwe unapothibitisha mtoto ni wako huna cha kuficha zaidi ya kupokea hayo majukumu, watu wengi wanasema Zari atamtimua Diamond lakini wanasahau Zari kaja bongo kamkuta Diamond anatafuta na alikuwa vizuri tu,
Diamond ana historia ya kukosa malezi ya baba yake kutokana na tofauti za wazazi wao na kila mtu anafaham na hakuna aliyefurahia hilo lakini hajapenda hilo litokee kwa mwanae.
Sasa Diamond ambacho hakupenda kufanyiwa na mzazi wake na mpaka leo hawaelewani hajapenda kimtokee mwanae na hii inathibitisha kuwa usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzio.
Diamond ameteleza kuzaa na mwanamke mwingine zaidi ya Zari lakini hilo halimpi haki ya kukana mtoto asiye na hatia amabalo wengine walikuwa wanashabikia.
Kila la kheri Diamond, lea damu yako! Hujui kesho mwanao baada ya haya maisha yenu ya ustaa yanayopita atakuwa mtu gani katika Jamii!
Kapuyanga mbayaaaaDiamond kaamua kuwa accountable, japo hakutakiwa ku disclose kila jambo to that extent kwenye media lakini hii imedhihirisha kiasi gani amethamini mwanamke aliyekubali kubeba ujauzito wake mpaka kuzaa, wangapi wangeweza ku abort?
Mimi siyo fan wa Diamond but for this he has draw my attention! I support him
Hakuna mwanaume mwenye ubavu wa kuwa na mwanamke mmoja tu hapa duniani, jambo hili liliwashinda babu zetu, wanyama, ndege na hata wadudu. Kumbukeni kuwa katika uumbaji Mungu alikusudia wanawake wawe wengi kuliko wanaume, hivyo mwanaume amekusudiwa kuwa na wanawake wengi sawa ilivyo kwa jogoo, beberu, fahari (dume la mbegu), n.k. Mwanaume kuonekana ana mwanamke mmoja tu ni nidhamu ya woga na unafiki, kufanya hivyo ni sawa na kuamua kwenda against nature sawa na kuamua kuacha kwenda haja ndogo, kula chakula au kulala usingizi. Diamond ni nani hadi aweze kwenye against nature? Kama mitume (Mohamed, Seleimani, Ibrahim, n.k) wafalme, marais, mawaziri, na watu maarufu walishindwa kuwa na mke mmoja Zari ni nani hadi mshinde Queen of Sheba aliyekwenda kuolewa na nabii Suleiman mwenye wake wengi? Zari asepe tu kama akitaka lakini Diamond kumkubali mtoto wake hadharani ni sawa na sahihi kabisa, maana hakuna mtoto asiyekuwa na baba. Huyo mtoto ni damu ya Diamond ana haki ya kutambulishwa na kutambuliwa kama mtoto wa Diamond. Diamond alikwepa kufanya kosa la pili wakati wa kurekebisha kosa la kwanza alilofanya. Kumfisha huyo mtu kwa kumuogopa Zari atasema nini ingekuwa sawa na kutenda kosa la pili.View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisa na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tu na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila ya yeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya, kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick! Kisa mtoto umebugi.
Sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu, makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama na wewe ulikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa ila kama siyo umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Bado muoaji ana maamuz baada ya kushauriana na muolewaji
Mondi mnafiki tu na kamchoka Zarina.
Huwez kaa kimya muda wote huo bila kumuweka mwenzako sawa na gafla unakimbilia media. Kama sio kumvua mwenzako nguo hadharani ni nini!?
Kaboa sana