Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

Mmmh! Kuna watu humu ndo nawaona Leo toka JF imeumbwa!

Kwani nyie vijiwe vyenu huwa ni kuhusu kusema maisha ya watu?

Hafu mnalalamika hari ngumu, Pogba anakaba....kumbe hamnaga muda wa kuzungumza kuhusu vitu ila watu!
 
Mna poteza muda wakati wenzenu clouds na management ya WCB wamesha ingiza hela ndefu YouTube na matangazo yaliyo tangazwa wakati hiko kipindi kipo hewani

Jiulizeni kwanini kipindi kilirushwa live kwenye media za clouds almost zote? Lkn pia refer kwa kauli ya Saidi Fela siku ambayo Diamond alikuwa clouds fm anaongelea swala la Ommy dimpoz na Q-boy.

Shame on them maana hawajali watu walioumia ili wao wapate hela. Victims hapo ni Zari na Hamisa.
 
View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari! Hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisaaa!! na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tuu!,na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila yayeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya,kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick!kisa mtoto umebugi! sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu! Makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama nawewe ulilikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa!ila kama siyo Umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Ulishuhudia wapi msikiti gani au kwa DC gani wakifunga ndoa?? Uyo no mzazi mwenzie km alivyo hamisa tu
 
Domo ana akili za kishamba sana yaani sijui washauri wake akina nani..zari anajidhalilisha sana kumpa k huyu tabulalasa
 
View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari! Hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisaaa!! na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tuu!,na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila yayeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya,kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick!kisa mtoto umebugi! sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu! Makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama nawewe ulilikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa!ila kama siyo Umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Diamond hajakosea kitu kufanya vile, asingekiri na kueleza ameilea mimba na hadi kugharamia kujifungua basi jua Hamisa angepata mapembe ya kuendelea kuwa na jeuri.

Kama kujua Zari anajua kitambo tu tangu Hamisa alivyolala madale. Bibie alimfuata DM huko insta na kumwambia kuhusu kulala na bwana wake. Kulichofuata Mobeto kaanza kumtukana akimwagiza amwambie jamaa apokee. Zari alifurumusha matusi si ya karne hii.

Sasa ilipofikia mtandaoni ni mwendelezo wa bifu hilo, Mond kaamua kulizima namna hiyo ili watu wanaompa kichwa Mobeto wakose la kusema. Madai yao yote kayapangua, angekaa kimya angeonekana katelekeza

Ugomvi ulianzia DM ya insta
Soma hapa kuna screenshot za chat ya Hamisa na Zari

Zari ukimya wake alichafukwa alipojua Hamisa kalala Madale
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Leaked Conversation Between Zari Hassan And Hamisa Mobetto
 
View attachment 591899
Katika vitu ukisikia umepuyanga ni hili la leo kukubali hadharini kuwa ulimcheet Zari! Hata kama presure ya ku-konfesi imetoka kwa Zari ungekataa kabisaaa!! na kama ulishamwabia ndo ungekaa kimya haya ya mitandao yanaisha tuu!,na baadae ungemwambia dada yako Esma amuite kimya kimya anakuja anakukuta bila yayeye kutarajia hivyo hanakuwa hana mtu wambea mnakuwa watatu namnayazungumza hata bila ya picha mnamaliza kimya kimya,kuliko leo ulivyoenda kwenye Media ndo umetia boko maana kama umemvua nguo mkeo Zari kwa sidechick!kisa mtoto umebugi! sasa unamkosa Zari hata kama utaendelea naye jiandae kisaikolojia utateseka tu! Makosa umeyafanya lazima akulipizie maana sasa hakuamini labda nasema labda kama nawewe ulilikuwa unalipiza kama unakitu alikufanyia hapo mmeenda sawa!ila kama siyo Umebugi.
Ni hayo tu.
Umebugi kawaida wanaume tukomaa tunakataa katakata hata kama umekutwa chumbani.
Hao wenzetu maisha yao na kula kwao ni mitandaoni thats why kila siku wanacreate matukio.
 
Kwan wanawake wa kiislam wivu wanautoa wapi siku hizi zari amsubiri mwenzie ye atakua bi mkubwa afu yy atakua bi mdogo na bado
Dah hata mi huwa nawashangaa sana wadada wa kiislam daah wanamoyo mgumu hatari usioumizwa na mapenzi wao hata sita kwa dume moja si nshu asa mi nilidhani hata diamond kutamka hivyo si nshu kwa zari, duh kumbe moyo wanao ni dini tu inawakandamiza hao warembo
 
Kashavua yale mapete yake aliyomvisha hata huko insta amehamia kwa Ali Kiba ghafla na amefuta mapicha yake yote kwa hiyo imekuwa zilipendwa tayari... Kijana kachemka sana ila nahisi alitaka kuweka wazi ili hata wakiona yupo na Hamisa basi wajue kuwa Zari hakumsamehe

Alikiba anabeba mzigo kiulaini
 
Kumbe kutafuta kick baada ya kutoa ile nibebe nibebe ya rose mhando
 
Nimekugongea "like" nitakataa nagaragara sikubali ng'ooooo!!!
Ujue hii issue ilikuwa ngumu,mchepuko ulisharecord kila kitu asingeweza kukataa
Alipokosea ni kuongea issue ya matunzo, sijui kununua gari etc
 
Mimi Mwanaume mwenzake nakuwa ' Malaya / Kicheche ' kwakuwa kila uchao nayapata tu Mademu ' manyang'unyang'u / wabaya ' lakini Yeye mwenzangu sijui anahangaika nini wakati Demu wake ' Zari ' ana kila kitu cha Kizuri na ' mvuto ' wa Kipekee.

Hivi ni kwanini Mwenyezi Mungu hizi bahati huwa unazipitisha mbali nami? Kwahiyo Mwenyezi Mungu unataka na unafurahia Mimi kuendelea tu na hii ' minyang'unyang'u ' ninayokutana nayo? Lini nami utanishushia ' Kitu ' cha uhakika kama ' Le Boss Lady ' Zari?
Mario hujiamini...
 
Sem 2 me,kama kuna xiku ambayo nimemshangaa jamaa ni leo coz hua namwona kama anajielewa vile but kwa mistake aliyo ifanya leo nimemshusha thamani na pengne kuanzia leo ni sio shabiki ake.
Wewe ulikuwa shabiki wa Zari siyo domo
 
Mpk hapo dogo kashapigwa hela ya kutosha, alivyotosa kuwa na huyo changu ndo kwanza akategeshewa mimba ikakamata.
Hapo hamna pa kuchomokea.
Wewe umezungumzia pesa ambazo zinatafutwa tu, imagine mzazi wako angefanya kwako hayo unayodhania ingekuwaje?
 
Zari analia sana anasema kinachomuuma zaidi ni hayo mambo kufanyika kwenye kitanda ambacho yeye kapatia watoto wawili.

Kuna jamaa yangu anakanuni yake, halazi mwanamke kwenye kitanda anacholala na mkewe (anafanya kazi nchi tofauti na mkewe) . Pili, anasisitiza hakuna kosa kubwa kama mwanaume kukubali kwa mkeo kwamba umemsaliti. Haitatoka kwenye kumbukumbu zake maisha yote.
 
Zari nae aache kimbelembele,yeye na mobeto ni sawa tu,hakuna ndoa ya diamond na zari,nae ni dem tu
 
Back
Top Bottom